Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Yericko Nyerere,

Unaweza kuwa na hoja nzuri lakini kauli zako za kejeli na kibri zinakuvunjia.
 
Last edited by a moderator:

Yericko,

Ikiwa unaamini hivyo hapana neno.
Wewe utabaki na kauli yako nami nitabaki na yangu.

Ila kumbuka wewe ndiye uliahidi kuleta hiyo clip na
mimi nilionya wengi humu wasishangilie goli kabla mpira
haujagusa wavu.

Uzee ni dawa.
Huja na uzoefu wa dunia.
 
Jibu maswali hapo mkuu msianze kutafuta mlango wakutokea hapa! Twende mwanzo mwisho mpaka Yesu arudi

Wewe ndiyo unatakiwa ujibu au tukukumbushe.

1) Ulisema utatuletea ushahidi wa waasi waliopewa msamaha na Nyerere na wengi kupewa vyeo na wengine wakapelekwa kuwa mabalozi.

2) Ulisema utaleta ushahidi wa kiasi cha pesa alichotoa Mariale kwa Nyerere kwenda UNO ambaye wewe unasema ndiyo alikuwa mfadhili wake.

3) Ulisema utaleta picha ya gari la kwanza la Nyerere alipewa na Mariale.

Ulisema mengi sana kukutajia yote kwa pamoja yanaweza kukuchanganya kujibu tuanza na hayo mkuu wangu kisha yatafuata mengine.
 

Mkuu yaelekea ulikuwepo kimwili tu hapa na kiakili hatukuwa pamoja tangu tangu mnakasha huu ulipoanza!

1)....,Nilishajibu hapahapa!

2).....Hakuna swali la hivyo lililoulizwa hapa jamvini kwenye uzi huu likiniilenga mimi nijibu!

3).....Nilisema wazi mwezi ujao (huu) nitakwenda Butiama hivyo nitaleta hapa picha ya mabaki ya gari hilo hapa ikiwa kutakuwa na ulazima, kwa Mohamed Said!
 

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa UZEE dawa!

Lakini uzee wa wewe sio dawa bali ni SUMU inayoliangamiza taifa letu Takatifu!
 

Haya ndiyo majibu ya Yericko bahati nzuri watu wanakusoma.
 
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa UZEE dawa!

Lakini uzee wa wewe sio dawa bali ni SUMU inayoliangamiza taifa letu Takatifu!

mzee huyu YERICKO NYERERE ni janga la taifa tena unatakiwa umuogope kama ukoma na nilisha kwambia kwamba hana adabu sijui haja barikiwa au hajapewa kipaimara naanatabia za kiyahudi kwamaana wayahudi wanaroho mbaya sana na huyu jamaa anapepo mchafu
 
Hivi kweli kuna Great Thinker hapa JF ambae hajaona uchochezi wa Mohamed Said NILIOUTHIBITSHA katika UZI huu na anahita kuonyeshwa zaidi kwa kidole?
yani ww ndio mbulula kweli kuna mtu mchochezi kushinda Dr slaa mbona hilo hulizungumzi au kwasababu ww ni PRO CHADEMA
 
Haahaa duuuh sasa hapa Dr Slaa kaingiaje kwenye mjadala huu?

unajua unakuwa kwenye mnakasha lazima pawepo na mifano tena mifano yenyewe iwe hai mzee hakuwa hata siku moja kuwaabia watu wakavamie kituo cha polisi kwenda kumtoa sheikh ponda lakini dr slaa aliwaambia wafuasi wa chadema wakamtoe mwenyekiti wao pale central Arusha na palitokea mauuaji ya watu je nani mchochezi? MZEE MOHAMED ANATUPA FAIDA NA UKWELI WA MAMBO KWA SISI ABAO TULIKUWA HATUPO NA HATUJUI HISTORIA YA KWELI
 

But thats what you did sir... you accuses others of doing what you yourself are doing... incredible double standard.
 
But thats what you did sir... you accuses others of doing what you yourself are doing... incredible double standard.

Umeona kumbe mzee huyu anaugomvi na waandishi wa chuo cha Kivukoni, sasa kaamua kuliangamiza taifa kwa uzushi wake!
 

so unataka Mzee Mohamed afanane na ww???
 

mimi naomba uniwekee kitabu kilichowataja Mzee Waikela, Sheikh Hassan Bin Amir, Sheikh Nurdin Hussein and Sheikh Abdallah Chaurembo,Jaffari Idd, Ramadhani Abdallah Singo, G. B. Somji, Elias Kissenge, Julius Mwakasanyangi, Idd Tosiri, Hadari Mwinyimvua, Idd Tulio.n.k

 


the big show>> unawajuwa vijana wa catholic old boys (coba)??????
 
Na mika 25kabla ya uhuru mambo yalikuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…