THE BIG SHOW,
Julius Kambarage Nyerere amefariki kaacha watoto saba tu. Haya hapa chini majina yao wote.
1) Andrew Nyerere
2) Anna Nyerere
3) Magige Nyerere
4) John Nyerere
5) Makongoro Nyerere
6) Madaraka Nyerere
7) Rosemary Nyerere
Yericko Nyerere siyo mtoto wa Kambarage la mtoto wa Nyerere mwingine.
Ni vizuri yeye mwenyewe ndiyo aseme ni mtoto wa Nyerere yupi.
Aaah, Mwenyeezi Mungu awarehemu waliotangulia, nawaona hivi, Maalim Sakina nilikuwa sitoki kwake mtaa wa Pemba wakati wa darsa la Al-Marhum Al Faqir Ahmed Sheikh, maaruf "Sheikh Ahmed Polisi" na hapo ndipo nilipoonana kwa mara ya kwanza na Alhabib Mwinyi Baraka.
Tahia Mwenyeezi Mungu amlaze pema, nakumbuka kuna siku AlMarhum Sheikh Kassim bin Juma katokea kwake pale Mchikichi, sisi tumesimama nje Mchikichi na Lumumba miongoni mwetu alikuwepo Tahia na Amne (aliyekuja kuwa mkewe Marehem Mbaraka Mwinshehe, gwiji la mziki kutokea Morogoro,) Sheikh Kassim kama kawaida yake ya utani-utani na sauti yake ya juu akasema "Tahia na Amne kama hamkutazama jinsi mnavyokuwa warefu haraha haraka, itabidi watokee kina Unju bin Unuku wengine kuja kuwaoa nyinyi, hao wote wafupi kwenu" akimaanisha sisi.
Aaah, umenikumbusha mbali Maalim Mohamed, mitaa yangu hiyo. Furaha ilioje kuwasoma watu nnaewajuwa fika.
Ahsante sana Nyambala. Hii inazidi kuthibitisha kama tulivyosema huko mwanzo kwamba Mohamed Said anasubiri watu watangulie mbele ya haki halafu aanze kuwawekea maneno mdomoni ili kuipa uzito hoja yake.By Nyambala
Nilimuuliza Mohammed Said ni kwa nini Haroub Othman aliendelea kutoa lectures kuhusu intellectualism na uongozi wa mfano wa Nyerere????? Hii ni baada ya MS kutuambia HO alikasirika sana (In a sense alianza kukosa imani na Nyerere) baada ya kujua ukweli wa historia ya uhuru wa Tanganyika kama isimuliwavyo na yeye Mohammed Said. Mfano wa lectures za HO inazozingumzia ni ile aliyoitoa October 14, University of Cape Town, South Africa Mwalimu Julius Nyerere: An intellectual in power (Unaweza bofya juu ya hiyo title kupata ziada ya kilichosemwa). Mohammed Said hajajibu mpaka leo?
Lakini baadaye tena Mohamed Said anasema. Hapana, siyo kwamba Nyerere hakujibu, hiyo kazi ya kujibu aliachiwa Prof. Haroub Othmnan. Leo tunaona lecture aliyoitoa Prof. Horoub Othman miaka sita baada ya Baba wa Taifa, Julius K Nyerere kutangulia mbele ya haki .The late Prof. Haroub Othman after reading Sheikh Ali Muhsins book Conflict and Harmony in Zanzibar and the writers book The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press, London 1998 and having come across hitherto unknown information on Nyerere was devastated because he was a great admirer of Nyerere as a patriot and a nationalist . The two books had painted him differently. Prof. Haroub confronted Nyerere and told him that the allegations in those two works have tarnished his image and he advised him to respond to them. Nyerere never did
Huyu ndiye aliyepewa kazi ya kujibu kitabu cha Mohamed Said 1998. Miaka saba baadaye tunaona Lecture yake.Pambazuka News brings to you the first Mwalimu Nyerere Memorial Lecture delivered by Haroub Othman on 14 October 2005 at the University of Cape Town, South Africa. Pambazuka - Mwalimu Julius Nyerere: An intellectual in power
Zomba,
Umenikumbusha mbali sana na mimi.
Mkabala wa nyumba ya akina Tahia ni nyumba ya bibi yake Sagaf.
Sagaf alikuwa umri sawa na mimi.
Palikuwa mzee mmoja akipiga pasi barazani pale katika 1960s.
Huyu mzee alikuwa rafiki sana na baba yangu toka utoto wao.
Hawa wameona kila kitu katika harakati za uhuru.
Tahia ni umri wangu pia.
Tahia ananihadithia anasema yeye hakuchaguliwa kuingia form one.
Basi siku hiyo Abdu Sykes kapita kwao kamkuta kakaa barazani akamuuliza,
''We Tahiya wenzako wako shule we unafanya nini hapa?'
Akamjibu, ''Sikuchaguliwa.''
Basi Abdu Sykes akamchukua kwenye gari yake hadi Aga Khan Girls.
Unajua Abdu Sykes alikuwa kwenye board ya Aga Khan Education Committee
toka ukoloni.
Tahiya anasema deski lililetwa lilikotolewa akawekewa darasani akaanza kusoma.
Mambo mengine yakafuta baadae.
Tahiya tukielewana sana na kustahiana sana.
Wakati nafanya utafiti wa kitabu hiki cha Abdu Sykes nilifanya mahojianonae na kisha
na mama yake mkubwa Maalim Sakina.
Alfakir Ahmed mimi pia alikuwa sheikh wangu yeye mtu wa tarika na akimuhusudu sana
Mwinyibaraka.
Ile darsa kwa Mama Nuru naijua sana.
Wakati umepita sana.
Mwinyibaraka alikuwa na Sheikh Hassan bin Amir katika ile safari ya Misri 1964 iliyoleta
mpango wa Chuo Kikuu kilichomuuma roho Nyerere.
Ah! Umenirudisha mbali sana.
Siku ya Eid saa kumi na moja tushavalia na akina Tahia wameshavalia tunatoka kuja Mnazi
Mmoja.
Karagosi kalewa tembo!
Juma Mlevi.
Huyu Juma Mlevi alikuwa katika TANU Bantu Group na alihudhuria mkutano wa Kura Tatu
Tabora 1958.
Those girls were smashing.
Mashaallah.
Nasi tumevaaa ''dandy'' si mchezo.
We where kids so innocent...
Nina paper nilitoa Kenyatta University 2006 kuhusu maisha ya Sheikh Kassim.
Insha Allah iko siku nitaibandika hapa.
Utamuona Nyerere ndani ya Sheikh Kassim.

Mohamed SaidE,
Fungua uzi mpya.
Hii mada nzuri sana.
Umekisoma kitabu cha Dk. Harith Ghassany "Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru?"
Kina mengi.
Fungua uzi tumwage mchele kwenye kuku wengi.
Utastarehe na nafsi yako.
Huu uwanja ushajaa.
Mohamed Said
Wewe na Harith Ghassany ni kama magazeti ya uhuru na mzalendo. Muelekeo mmoja tu. In fact ulimsaidia kumpa story zako za uongo alizoingiza kwenye kitabu chake. Wote mna chuki kwa Nyerere, ila yeye anamchukia zaidi kwa suala la muungano. Wewe unamchukia Nyerere kwa sababu babu yako aliwekwa ndani kwa u-radical wake. Ghassany ni mwarabu koko ambaye hakupenda utawala wa kisultani kupinduliwa, na anachukia waarabu kuhusishwa na biashara ya utumwa na yeye katika ujanja wake (kama wako) ametumia kuzifanya chuki zake ziwe pia chuki za waislam. Nyie wote wawili ni wajanja wajanja wa kutumia mambo ya ukweli mengi, na kupandikiza hisia zenu hasi ndani ya hayo mambo ili hisia hizo zionekane kama sehemu ya ukweli na wakati huo huo, lengo lenu la kuigawanya jamii likifanikiwa.
Kwa hiyo mtu hawezi kutafuta kitu cha kukupinga kutoka kwenye kitabu cha Ghassany, na hali kadhalika mtu hawezi kumpinga Harith Ghassany (kama gazeti la uhuru) kwa kutumia maandiko yako Moh Said (kama gazeti la mzalendo). Ni wale wale tu...

Jazba za nini? Umeshaanza kogopa mapema?
Jazba ziko wapi hapo, Mzee "system at work"?
Ritz"Mwarabu koko"
Kweli hoja zimeisha sasa hivi tusoma matusi na kejeli.
Ritz
Hebu nisahihishe kwa kunipa neno sahihi ambalo ningetumia hapo.
Mimi nafikiri halfcaste wa mzungu na mwafrika, ambaye atajitambua zaidi kuwa ni mzungu (kuliko mwafrika) ilhali huko uzunguni hakubaliki kama mzungu, huyo ni mzungu koko. The same applies kwa waarabu koko, wahindi koko. Of course kama ninakosea, nisahihishe.

Bahati mbaya kwako kuwa sita jibu habari unazothibitishia jukwaa kuwa ni:
"Kuna wakati Nyerere alipewa sifa mitaani ya kuwa ni "mchonga",
Kitendo tu chakuwa ni habari za MITAANI kwangu kinaniondolea sifa ya kujibu!
Huwa sijibu wala kujishughulisha na habari za mitaani/vijiwe vya kahawa kama afanyavyo Mohamed Said!
Lete hoja ya msingi kwa taifa letu achana na NGANO hizo kijana!