Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Yericko,
Sijasema historia imeanza na kuishia mitaa ya Kiungani, Kipata, Somali, Kirk nk.
Mimi nimeeleza habari za wazee wangu.
Si zaidi si pungufu.
Nitafuta vipi historia hii na mimi nishangia Cambridge Journal of African History na Library of Congress
Washington, DC?
Na hapo Library of Congress nishafika na kitabu changu nakala chungu nzima zipo hapo.
Mtu unafutaje mambo haya?
Ndiyo nakwambia Yericko kusanya kundi la watu mfano wa wewe ndiyo labda...
Wewe peke yako huiniwezi ng'o.
mzee ms kama unayo wewe si uiweke? Na vipi kujibu baadhi ya maswali mepesi kwako halafu yale ya maana unayapotzea?
Hebu mzee tutendee haki jibu maswali yote ya mmm, nguruvi3, jasusi, mag3, nk.
Tutendee haki mzee ms.
Ni kweli mzee hawezi kukufikia wewe na yeye ni sawa na mchanga na nyota inshaalah mwenyezi mungu atakupa maisha marefu
M,
Sikiliza bwana.
Mimi nimendika kitabu hiki ni ''serious work.''
Laiti ningefanya ''doctoring'' ya aina yoyote wale wahariri wangenikamata.
Acha hao wahariri hata hapa nyumbani wasomi wa historia pale Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam wasingeniachia khasa kwa kuwa historia hii inahusu historia
ya Nyerere.
Hiyo hotuba nimeiskia na siko peke yangu wengi wameisikia na hivyo nilivyosema
ndivyo hivyo.
Nyerere alisahau cheo cha Abdu katika TAA.
Sina sababu ya kuongopa.
Hii hotuba ningelikuwanayo ningeiweka siku nyingi.
Kuhusu maswali mimi siko hapa kufanya ubishi na yeyote yule.
Ushindi katika JF hauna maana yoyote kwangu.
Isitoshe hiki kitabu mbona ni cha zamani sana na historia hii ndiyo inachukuliwa
kuwa historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.
Sasa mimi kipi kinihangaishe?
Ila huwa maswali mengine nayapuuza kwa sababu mbalimbali.
Sababu zenyewe nishazieleza hapa jamvini.
Wamanyema wana kiburi kama gorila hivyo?
Uchaguzi ule wa 17 April 1953 ninaufahamu na ninaelewa kuwa Abdu Sykes alibwagwa kwa kishindo na ndio chimbuko la chembe za chuki za makundi ya Abdu wakitumia dini kama vile ufanyavyo wewe leo!
Kwahiyo unataka kusema Abdu alimuachia Nyerere ashinde uchaguzi huo kama sehemu ya mwendelezo wa fadhira zake kwa Nyerere?
Zomba kumbe ushafika pale.
Nilipokuwa mwanafunzi nikija London lazima nende nikamuona rafiki yangu
Yusuf mtu karim sana.
Mungu amlaze pema.
Amin.
Mimi aliniwekea simu ya bure nisitoe hela yangu ya uanafunzi kumpigia simu
nikawa simu nampigia ''toll free'' tunasogoa mastori ya Dar.
Masikini Shufaa siku ya kwanza nakwenda kwao address ninayo lakini kafanya
wasiwasi huyu mshamba wa Kariakoo asije hangaika hapa Surrey nimekutananae
njiani na wanawe wananifata train station.
Watu wema sana.
Nina miaka sijamwona Shufaa.
Yericko,
Sijasema historia imeanza na kuishia mitaa ya Kiungani, Kipata, Somali, Kirk nk.
Mimi nimeeleza habari za wazee wangu.
Si zaidi si pungufu.
Nitafuta vipi historia hii na mimi nishangia Cambridge Journal of African History na Library of Congress
Washington, DC?
Na hapo Library of Congress nishafika na kitabu changu nakala chungu nzima zipo hapo.
Mtu unafutaje mambo haya?
Ndiyo nakwambia Yericko kusanya kundi la watu mfano wa wewe ndiyo labda...
Wewe peke yako huiniwezi ng'o.
Nimekupinga wazi na kwakukuumbua zaidi kwa ngano zako nimekupa hotuba ile ya kuaga taifa unayodai wewe kuwa Mwalimu alisema hakumbuki Abdul Sykes alikuwa na heo gani!
Sasa tumethibitisha wazi kupitia hotuba hiyo niliyoiweka pale juu kuwa Mwalimu alisema Abdul alikuwa KATIBU mkuu wa TAA!
Kama unaipinga hii tuletee hiyo hotuba yako wewe inayoeleza vingine!
Yericko,
Hebu jitulize na usome historia vizuri umjue baba yako.
Iko siku utaalikwa wewe umzungumze baba yako Insha Allah.
Ikiwa hutamueleza sawa utafedheheka wewe na nduguzo.
Nyerere hakumshinda Abdu kwa kishindo.
Wewe husomi posting zangu?
Mbona hili nishakuwekea?
After Abdulwahid and Nyerere had gone out, voting began. Abdulwahid lost the election-the first loss in his whole political career-and Nyerere won by a very small margin.[1]
Hayo mengine siwezi kukujibu.
Nakuonea huruma.
Wewe ni tofauti sana na kaka zako.
Tukijuana sana na nduguzo katika 1960s tukiwa shule.
Tukenda ''picnic'' kule Kigamboni kwenye ile
nyumba iliyokuwa ikitumiwa na Gavana kwa mapumziko.
Nawajua ndugu zako vizuri sana.
Wazee wetu walitoka mbali pamoja.
Naona umeshtuka.
Mimi nikija na Kleist Sykes, Ebby Sykes, Lilian Sykes na huyu
Yusuf (marehemu) wa London, Magombe mtoto wa Chief Makongoro
na rafiki zetu wengine...
Waulize kaka zako...
[1] See Listowel, op. cit. p 221 also Iliffe, A Modern History... op. cit. p 510.
MS kuwa na kitabu katika library of congress haimaanishi lolote kuhusu facts za kitabu ulichoandika, au kwamba mwandishi ni mtu mahiri, intelligent, intellectual whatsoever. Haya mambo mdanganyane huko huko Tanzania nakupa mfano kuhusu mpuuzi huyu hapa chini:
Library of Congress has a book for Akin (bonyeza hiyo link)
The Library of Congress can suggest a book or two that might enlighten Todd Akin about how women get pregnant.
In its current exhibit "Books That Shaped America," one of the 88 books highlighted is the classic "Our Bodies, Ourselves," which the library calls a "groundbreaking publication that presented accurate information on women's health and sexuality based on their own experiences."
The book came out in a new edition last year for its 40th anniversary.
Akin has asked "forgiveness" for his stupidity in claimingwomen's bodies can "shut that whole thing down" during rape to prevent pregnancy. The GOP wants more than Akin's backtracking for using the "wrong words" while making his case against legal abortion. (Only 20 percent of Americans agree with Akin and Rep. Paul Ryan that abortion should be outlawed in all circumstances. )
As easy as it would be to mock Akin, perhaps we need to take his words at face value: Maybe his statement is one supporters believe.
So, they too, might want to educate themselves with some of the books the Library of Congress highlights (it includes one from Ryan's nightstand, "Atlas Shrugged" and an early pamphlet on preventing pregnancy, Margaret Sanger's 1914 "Family Limitation").
Several others are by folks with Missouri roots (including Mark Twain, Dale Carnegie, Irma Rombauer). The list is a mixture of fact ("Our Bodies") and fiction ("Atlas Shrugged").
It never hurts for voters to remind themselves of the difference. For the complete list, click here.
C'moon bro! JF si mahali pa kuleta porojo.
MS kuwa na kitabu katika library of congress haimaanishi lolote kuhusu facts za kitabu ulichoandika, au kwamba mwandishi ni mtu mahiri, intelligent, intellectual whatsoever. Haya mambo mdanganyane huko huko Tanzania nakupa mfano kuhusu mpuuzi huyu hapa chini:
Library of Congress has a book for Akin (bonyeza hiyo link)
The Library of Congress can suggest a book or two that might enlighten Todd Akin about how women get pregnant.
In its current exhibit "Books That Shaped America," one of the 88 books highlighted is the classic "Our Bodies, Ourselves," which the library calls a "groundbreaking publication that presented accurate information on womens health and sexuality based on their own experiences."
The book came out in a new edition last year for its 40th anniversary.
Akin has asked "forgiveness" for his stupidity in claimingwomen's bodies can "shut that whole thing down" during rape to prevent pregnancy. The GOP wants more than Akin's backtracking for using the "wrong words" while making his case against legal abortion. (Only 20 percent of Americans agree with Akin and Rep. Paul Ryan that abortion should be outlawed in all circumstances. )
As easy as it would be to mock Akin, perhaps we need to take his words at face value: Maybe his statement is one supporters believe.
So, they too, might want to educate themselves with some of the books the Library of Congress highlights (it includes one from Ryan's nightstand, "Atlas Shrugged" and an early pamphlet on preventing pregnancy, Margaret Sanger's 1914 "Family Limitation").
Several others are by folks with Missouri roots (including Mark Twain, Dale Carnegie, Irma Rombauer). The list is a mixture of fact ("Our Bodies") and fiction ("Atlas Shrugged").
It never hurts for voters to remind themselves of the difference. For the complete list, click here.
C'moon bro! JF si mahali pa kuleta porojo.
Kwa kweli Yericko,
Hili la hotuba nilishakupa msimamo wangu hatuna haja ya sie kunasa hapa.
Mzee wewe unamatatizo tena unahitaji msaada wa kiutu haraka sana,
Tangu tulipo anza mjadala huu ukiulizwa kitu unakijibu kwa rejea za ngano ama wajibu KIHUNI
Simama kwenye hoja, jibu hoja kama iilivyouliza, ikiwa hupendi kujibu nyamaza acha kuleta porojo zisizo na mafaa kwa watazamaji!
Unataka tuendelee kwa matakwa yako?
Tuendelee kufuata ngano zako?
Nikusifu kwa moyo mmoja wa uandishi wa NGANO uliotukuka, kwakweli naamini Shigongo kwako haoni ndani!
Lakini kinyume chake ninakupuuza na kukulaani kwa kugeuza ngano zako za Gerezani kuwa historia ya Uhuru wa nchi hii takatifu!
Ninaamini nchi hii ngekuwa ya mfumo kristu kama unavyodai wewe, leo hii tungeshakusahau kwenye uso wa dunia!
Ungeshanyongwa siku nyingi sana hata matanga wangeshasahau nduguzo!
Lakini kwakuwa nchi hii ni tambarale iliyowekwa wima na kujengwa imara na Mtakatifu Julius Nyerere, wewe leo hii umesoma na unaendelea kulichonganisha taifa bila kufinywa wala kusonywa!
Yericko,
Watu wanatusikiliza.
Wewe umesema Nyerere ameshinda kwa kishindo uchaguzi
wake na Abdu Sykes 17 April 1953 pale Arnautoglo.
Mimi nimekuwekea rejea ya Listowel na Iliffe inayosema Nyerere
kashinda kwa ''small margin.''
Unasema nimejibu kihuni na ninahitaji msaada.
Unasema Listowel na Illife rejea zao ni za ngano.
Kwa kweli kama hali ni hii anaehitaji msaada si mimi bali ni wewe.
Kwani huwajui hao akina Listowel na Iliffe?
Nilikwambia siku nyingi mtego wako umekamata chui.
Na chui mwenyewe ndiyo mimi.
Basi umeshindwa hata kusema neno zuri kuhusu kaka zako?
La mwisho.
Huu uchaguzi Nyerere hakupata kuusema popote hadi anaingia kaburini.
Hata waandishi wa historia hawajautaja popote katika vitabu vyao ukiwatoa
hao wawili niliokuwekea kama rejea.
Siku zote huwa ''Nyerere kachukua uongozi wa TAA 1953.''
Kachukua uongozi kutoka kwa nani?
Hilo halisemwi.
N,
Lakini mimi siyo Akin wala si mpuuzi na kitabu changu kipo hapo pamoja na vitabu
vya waandishi wengine.
Wala siko hapa JF kwa porojo kwani porojo si sifa yangu.
Labda hujui.
Miaka mingi sana nyuma nilipewa heshima ya kuwa member wa Libary of Congress
na Tanzania nzima tuliopata bahati hiyo tulikwa watu watano tu.
Hiki ni kisa chake ukipenda nitakiweka hapa jamvini.
Umekasirishwa na historia hii.
Hili nalielewa sana.
Watu wanaoifurahia historia hii hivi sasa ni Waislam pele yao.
Sishangai na hamaki ulizoshukanazo.
Yericko,
Chembelecho Zomba.
Wewe una ''viroja'' huna hoja.
Umeshusha hadhi yangu mimi ningefananishwa na Ernest Hermingway
Mark Twain au Irving Wallace ingekuwa kitabu kile ni ''fiction.''
Unawajua waandishi hawa au ndiyo hiyo ''conspiracy book.''
Kwa kweli nakupa mji.
Wewe huwezekani ni kiboko khasa.
Ndugu yangu umeathiriwa na Nyererephobis mpaka unabadili maana ya kushinda nakuwa kuchukua?
Nikitabu kipi kinachosema Mwalimu Nyerere "alichukua" uongozi badala ya kushinda uchaguzi ule?
Usianze kuwadanganya watu kwa vitu wanavyovijua mkuu, hata historia ya TANU ya pale Kivukoni imesema wazi kuwa "Mwalmu alishinda uchaguzi ule wa TAA 1953 na kuwa RAIS wa TAA hadi kuelekea TANU"
Unaelewa maana ya andiko la Listowel na Iliffe inayosema Nyerere
kashinda kwa "small margin?"
Au unadhani neno small margin ni ushindi wa mezani?
Usipoteze hoja. Mzazi hata akikukaripia huwezi kumwita jina lolote. Labda kama nyie watu wa "kariakoo" mnaweza kujibizana na wazazi wenu. Nimekupa maana mbili za neno "koko" kwa kiingereza. Nimebainisha kuwa nilipoandika kuwa Harith Ghassany ni "mwarabu koko" inaweza kumaanisha a "wild arab" au "unconventional arab" ambapo katika taratibu za kawaida za interpretation, hapa unafuata "Golden rule", na busara itakuonesha kuwa maana iliyotakiwa ni "unconventional arab".
Naomba yaishie hapa ili tusiharibu uzi huu wa Yericko Nyerere. Chochote utakachoandika, nitakubalina nacho ili tuache kubishana. Asante sana zomba aka "system at work"
Mohamed Said nitakuwa mjivi wa fadhila ikiwa kwa medula yangu iliyosimama wima nitaanza kukulinganisha wewe na Ernest Hermingway
Mark Twain au Irving Wallace,
Nimekupa stahiki yako kuwa ni SHIGONGO sio hao wengine!