Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Yericko,
Sijasema historia imeanza na kuishia mitaa ya Kiungani, Kipata, Somali, Kirk nk.
Mimi nimeeleza habari za wazee wangu.
Si zaidi si pungufu.
Nitafuta vipi historia hii na mimi nishangia Cambridge Journal of African History na Library of Congress
Washington, DC?
Na hapo Library of Congress nishafika na kitabu changu nakala chungu nzima zipo hapo.
Mtu unafutaje mambo haya?
Ndiyo nakwambia Yericko kusanya kundi la watu mfano wa wewe ndiyo labda...
Wewe peke yako huiniwezi ng'o.
Ni kweli mzee hawezi kukufikia wewe na yeye ni sawa na mchanga na nyota inshaalah mwenyezi mungu atakupa maisha marefu
