Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ni vizuri watu tukapewa darsa jinsi serikali na vyombo vyake inavyofanya kazi. Sio kila aliyewekwa ndani au kutiwa msukosuko kidogo kafanyiwa hivo na Rais wa nchi. Mnataka tuamini kuwa aliyemweka ndani na kumnyima dhamana Sheikh Ponda ni Rais wetu Jakaya? Kwa nini kila aliyewekwa ndani au kufungwa wakati wa utawala wa Mwalimu lawama zinamwangukia yeye bila hata kutaka kujua sababu?

Jamani, kujenga NCHI MOJA isiyo na KABILA wala DINI haikuwa kazi ndogo kama unakuwa na watu kama zomba, Mohamed Said, THE BIG SHOW, ..., ambao DINI ni kila kitu kwao.
 
Last edited by a moderator:
Mze Saidi..wale Wazuru kina Sykes walipokuja na Weissman walikuwa tayari wameshasilimu?

MM,

Maswali yako kwa kweli sijui nisemeje...

Hebu soma hapa chini ujionee mwenyewe.

Inatoka katika kitabu changu:

''Baada ya kifo cha Mbuwane, Ally, kaka yake mkubwa Kleist alirudishwa Msumbiji
mwaka 1902 akifuatana na baba yake mdogo, Kattini Mbuwane ambae alikuwa kipofu.''

Huyu Ally alikuja pamoja na Weissman kutoka Msumbiji ni mtoto wa Sykes Mbuwane.
Hilo jina la ''Ally'' kapewa na baba yake toka wako kwao.

Jina la Ally ni jina la dini gani?
 

WC,

Lakini Tanzania inaendeshwa na Mfumokristo.
Hili ndilo tatizo.
 
dah!
akili yako iko kwenye udini tu
huna unachowaza ni udini tu
huna unachofikiri ni udini tu
hata ushabiki wako wa siasa una mtazamo wa dini pia
Angalia post zako za miaka ya nyuma
wakati cuf kikiwa chama kikuu cha upinzani
upande wako ulikuwa wapi
na sasa upande wako wa kisiasa upo wapi
aina ya watu kama nyinyi ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi
post zako nyingi zilionesha ni mfia dini,
lakini 'uzi' huu umekuweka wazi zaidi udini wako
Mze Saidi..wale Wazuru kina Sykes walipokuja na Weissman walikuwa tayari wameshasilimu?
 
Yaani Mzee Mohamed hukawii kujipa raha mwenyewe duh! Umesafiri kuliko hata Jakaya wetu, kuliko hata Hillary Rodham Clinton wa Marekani,...! Kumbe mfumokristo umekunufaisha sana halafu unawadanganya Waislam wenzako kuwa ni mfumo mbaya ili wewe pekee uendelee kunufaika! Kote huko ulikotembelea ndiko mifumo-mama ya kikristo.
 

Kweli,
Binafsi sipendi sana mambo yanayoleta chokochoko zinazoelekeza udini! Sizipendi kama nini!
Ni watu wasiokuwa na mawazo mbadala, hawajui wanafanya nini,
Yaani ni watu walioishiwa fikra vichwani mwao. Dini ni kuhusu roho yako mwenyewe na si kkuwalazimisha wengine waamini kuwa wewe ndo u sahihi!
 
WC,

Lakini Tanzania inaendeshwa na Mfumokristo.
Hili ndilo tatizo.
Uingereza hadi serikali ni ya ki-Anglican, USA hawataki Rais Mkatoliki, kote ulikopewa heshima ni mfumokristo unatawala. DINI ya baba ya Baraka Obama ilikuwa imkoseshe Urais wa Marekani. Ukitembelea huko unajisikia raha kabisa na unarudi kututambia!
 
Uingereza hadi serikali ni ya ki-Anglican, USA hawataki Rais Mkatoliki, kote ulikopewa heshima ni mfumokristo unatawala. DINI ya baba ya Baraka Obama ilikuwa imkoseshe Urais wa Marekani. Ukitembelea huko unajisikia raha kabisa na unarudi kututambia!


Huko si kutamba.
Nikitamba utanisikia.

Hizo ni taarifa.
 

Mtwa,

Hakuna atakae mambo haya lakini tuna tatizo la udini katika nchi.
Tunaitahadharisha serikali.
 

WC,

Nduguyo kaona Library of Congress pakubwa siwezi kufika.
Ndiyo nikampa taarifa hizo.
 
WC,

Hapana ugomvi.
Hilo lichukulie utakavyo.
Mzee Mohamed,
Mimi nilidhani ulipokuwa ukipinga kuwa TAA hakikuwa chama cha starehe nilidhani umesimamia ndani ya katiba ya chama hiki kumbe ulikuwa unapinga tu kwa kuwa Mwalimu alisema hivo! Uliwezaje kuifahamu TAA na baadae TANU bila ya kuziona na kuwa nazo katiba za vyama hivi? Kumbe wewe ni mtu wa kuhangaika na watu na majina yao tu!

Tupatie katiba ya mwisho ya TAA na ile ya KWANZA ya TANU. Itatupatia majibu mengi tu ya hoja hizi.
 
Mtwa,

Hakuna atakae mambo haya lakini tuna tatizo la udini katika nchi.
Tunaitahadharisha serikali.

Yawezekana kabisa Mkuu Mohamed,
Jambo hili si kwa Tanzania tu kama ni udini, na unajua popote inapotokea kuna dini 2 ikiwemo uislam lazima tofauti ziwepo, ndo maana mimi sipendi kwa sababu mimi najua Dini ni jambo la roho ya mtu na jinsi anavyojiandaa na siku ya hukumu (Kama wote tunaimani hiyo) sasa inakuwaje watu tunajiandaa na hilo halafu tuwe tunafanya reference na dini nyingine??

kuna mambo yasiyotaka udinii lakini watu wanapindisha hadi iende kwenye udini.
Kinachoniuma mimi mkristo na rafiki zangu wengi waislam na hatuna shida, pia mambo mengi yanafanyika tu hakuna tabu. Kumbe kuna roho za watu bado ni chafu dhidi ya mtu mwingine ati "dini"
 
Mze Saidi..wale Wazuru kina Sykes walipokuja na Weissman walikuwa tayari wameshasilimu?


MM,

Nakuongeza hiyo kutoka katika hifadhi zangu.
Starehe pamoja na wanaukumbi wengine.

''My name is Ally Kleist Sykes. I was born in Dar es Salaam on 10 th September 1926
from Kleist Sykes Mbuwane, the son of a Zulu mercenary, Sykes Mbuwane and Bibi
Mruguru bint Mussa who my father married in February 1923.

My father’s other name is Abdallah but he never identified himself by this name.
This is the name written on his tombstone, which today identifies his grave at
the Kisutu Muslim graveyard in Dar es Salaam.

I was named Ally after my father’s elder brother Ally Sykes...''

Wameingia Tanganyika Pangani waliposhuka katika meli ya kivita na Uislam wao.
 


willcard,,
nashukuru kwa kutunyooshea kidole ili hali vingine vinakugeukia wewe mwenyewe..

Hii list ya udini uliyoiweka ingea kuwa na maana kama ungejumuisha na wengine kama,,mzee mwanakijiji,yericko "x",wilcard,ghwalihenzi,n.k.
 
Huko si kutamba.
Nikitamba utanisikia.

Hizo ni taarifa.
Bahati nzuri uliyonayo ni kwamba hivi unavyoandika ndivyo unavyoongea pale Radio Imani. Haukawii kujisifia kwa sana tu ili kuziba mapungufu yako. Hii ni kwa watu wengi tu wanaodhani akili na mawazo yao yako juu zaidi ya watu wengine! Ubarikiwe sana.
 
WC,

Lakini Tanzania inaendeshwa na Mfumokristo.
Hili ndilo tatizo.
Siyo Tanzania tu, bali dunia mzima inaendeshwa na kutawaliwa na mfumo kristo...na mfumo kristo utakutawala wewe,mimi,na hadi wajukuu zetu. Kama unabisha waulize Osama,Sadam na Gadaffi. Poleni sana wafia dini.
 
Labda katiba ya TAA na ya TANU hazimo katika rundo la nyaraka alizoachiwa na wazee wake...
 
WC,

Nduguyo kaona Library of Congress pakubwa siwezi kufika.
Ndiyo nikampa taarifa hizo.

Mzee Mohamed hapo ndiyo unanichosha, yaani hoja ikija imenyooka hujibu ikinyumbuliwa nyumbuliwa unarukia kamstari kamoja kutengeneza hoja yako.

Hoja yangu inabaki vile vile na haipingiki "Kuwa na kitabu au kuingia library of congress haimaanishi kitabu chako ni hadithi sahihi, au kina uzito unapuport kukipa". There is a lot of stupid books in there na pia kuna wajinga wengi tu wana vitabu mle nikautolea na mfano wa Todd Akin. Hili hujawahi kuambiwa na nadhani ulikuwa hulijui, ulifikiri kuwa na kitabu mle ni umahiri. To you it's a big deal, oh yeah it is!!!!ndiyo maana huishi kulizungumzia kila kwenye mjadala humu JF kuhusu kitabu chako. Na kwa taarifa yako vitabu kibao hutupwa kila mwaka, very likely hata chako kilishaondolewa mle loooong tyme!!!!! Lakini wewe bado unaendeleza tambo tu, ndiyomaana nikasema haya mambo mengine muendelee kudanganyana hukohuko Tanganyika.
 
Yericko Nyerere,

Next time kama unatuahidi jambo flani, you better be damn sure that you can deliver, or else kaa kimya.

Hotuba mpaka leo hakuna

Majina ya wahaini mpaka leo hakuna

Facts kutoka "nyumbani kwenu" hakuna

Hard evidence kutoka "nyumbani kwenu" hakuna

Hakuna, hakuna, hakuna..

Tutendee haki na sisi tunaosoma huu mnakasha wiki inaenda ya tatu hii.
 
Last edited by a moderator:

Mtwa,

Ndiyo maana nikaandika historia ya uhuru wa Tanganyika ili
kuonyesha tulikotoka na kuonyesha fitna hii ya udini kaileta
nani na nini ilikuwa sababu yake.

Soma kitabu changu ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...''
Kuna mengi ya faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…