Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hilo tu? Kwa hiyo fisadi Rostam Aziz ni muhimu sana kwa URAIS wa Rais wetu JK?

Ana historia ipi ya wapigania Uhuru wa Tanganyika, hapa hata Mkapa wala Kikwete hawaongelewi isipokuwa mnapojaribu kuwapachika, kuna mafisadi zaidi ya "wasomi" wakatoliki waliokuwa madarakani kila nyanja waloiuwa nchi kwa miaka 44 mfululizo?
 
Mzee Mohamed hapo ndiyo unanichosha, yaani hoja ikija imenyooka hujibu ikinyumbuliwa nyumbuliwa unarukia kamstari kamoja kutengeneza hoja yako.

Hoja yangu inabaki vile vile na haipingiki "Kuwa na kitabu au kuingia library of congress haimaanishi kitabu chako ni hadithi sahihi, au kina uzito unapuport kukipa". There is a lot of stupid books in there na pia kuna wajinga wengi tu wana vitabu mle nikautolea na mfano wa Todd Akin. Hili hujawahi kuambiwa na nadhani ulikuwa hulijui, ulifikiri kuwa na kitabu mle ni umahiri. To you it's a big deal, oh yeah it is!!!!ndiyo maana huishi kulizungumzia kila kwenye mjadala humu JF kuhusu kitabu chako. Na kwa taarifa yako vitabu kibao hutupwa kila mwaka, very likely hata chako kilishaondolewa mle loooong tyme!!!!! Lakini wewe bado unaendeleza tambo tu, ndiyomaana nikasema haya mambo mengine muendelee kudanganyana hukohuko Tanganyika.

Mbona nimekujibu kuwa sina mzozo na hilo?
Sijategemea wote mkubaliane na mimi.
 
Labda katiba ya TAA na ya TANU hazimo katika rundo la nyaraka alizoachiwa na wazee wake...

Hakuna shida ndugu yangu.
Mdomo haumkatai bwana wake.

Utasema kama unavyouamrisha.
Iwe matusi au kejeli.
 
Mzee Mohamed hapo ndiyo unanichosha, yaani hoja ikija imenyooka hujibu ikinyumbuliwa nyumbuliwa unarukia kamstari kamoja kutengeneza hoja yako.

Hoja yangu inabaki vile vile na haipingiki "Kuwa na kitabu au kuingia library of congress haimaanishi kitabu chako ni hadithi sahihi, au kina uzito unapuport kukipa". There is a lot of stupid books in there na pia kuna wajinga wengi tu wana vitabu mle nikautolea na mfano wa Todd Akin. Hili hujawahi kuambiwa na nadhani ulikuwa hulijui, ulifikiri kuwa na kitabu mle ni umahiri. To you it's a big deal, oh yeah it is!!!!ndiyo maana huishi kulizungumzia kila kwenye mjadala humu JF kuhusu kitabu chako. Na kwa taarifa yako vitabu kibao hutupwa kila mwaka, very likely hata chako kilishaondolewa mle loooong tyme!!!!! Lakini wewe bado unaendeleza tambo tu, ndiyomaana nikasema haya mambo mengine muendelee kudanganyana hukohuko Tanganyika.

Ueleweki unataka kusema nini mara vitabu vinatupwa mara kuna vitu vingi vya kipuuzi vimejaa mara kitabu cha Mohamed Said kimeishatupwa long time...kweli JF kuna vituko hii ndiyo unaona hoja iliyonyooka.
 
Mzee Mohamed hapo ndiyo unanichosha, yaani hoja ikija imenyooka hujibu ikinyumbuliwa nyumbuliwa unarukia kamstari kamoja kutengeneza hoja yako.

Hoja yangu inabaki vile vile na haipingiki "Kuwa na kitabu au kuingia library of congress haimaanishi kitabu chako ni hadithi sahihi, au kina uzito unapuport kukipa". There is a lot of stupid books in there na pia kuna wajinga wengi tu wana vitabu mle nikautolea na mfano wa Todd Akin. Hili hujawahi kuambiwa na nadhani ulikuwa hulijui, ulifikiri kuwa na kitabu mle ni umahiri. To you it's a big deal, oh yeah it is!!!!ndiyo maana huishi kulizungumzia kila kwenye mjadala humu JF kuhusu kitabu chako. Na kwa taarifa yako vitabu kibao hutupwa kila mwaka, very likely hata chako kilishaondolewa mle loooong tyme!!!!! Lakini wewe bado unaendeleza tambo tu, ndiyomaana nikasema haya mambo mengine muendelee kudanganyana hukohuko Tanganyika.

Good argument kaka, lakini swali moja tu

1. Wewe mtunzi kufanya extensive reading of books, of which some of them have been published by the likes of Oxford University Press and Cambridge University Press

2.Publisher kukubali kukipublish

3.Kitabu kinaenda toleo la tatu

4.Vyuo vikubwa duniani, kwa mitaala ya African Studies, wakakifanyia review

5.Ukaalikwa na vyuo tofauti tofauti duniani ukatoe public lectures na a session of Q and A baadae (of which kuna mtu mmoja kasema eti `public lectures hizo hazikuwa wa mfumo huo´)

Alafu anatokea mtu anakwambia "umetunga" hizi ni "ngano". "Umehadhithiwa na wazee wako, ukajifungia ukaanza kuandika". Jamani hii ndo hoju ya kukipinga kitabu?

Hutomwona huyu mtu ni kichekesho?

Ninawasilisha
 
Bahati nzuri uliyonayo ni kwamba hivi unavyoandika ndivyo unavyoongea pale Radio Imani. Haukawii kujisifia kwa sana tu ili kuziba mapungufu yako. Hii ni kwa watu wengi tu wanaodhani akili na mawazo yao yako juu zaidi ya watu wengine! Ubarikiwe sana.

WC,

Kwani wewe bado hujagundua kuwa mimi ni ''above average?''
 
Mzee Mohamed hapo ndiyo unanichosha, yaani hoja ikija imenyooka hujibu ikinyumbuliwa nyumbuliwa unarukia kamstari kamoja kutengeneza hoja yako.

Hoja yangu inabaki vile vile na haipingiki "Kuwa na kitabu au kuingia library of congress haimaanishi kitabu chako ni hadithi sahihi, au kina uzito unapuport kukipa". There is a lot of stupid books in there na pia kuna wajinga wengi tu wana vitabu mle nikautolea na mfano wa Todd Akin. Hili hujawahi kuambiwa na nadhani ulikuwa hulijui, ulifikiri kuwa na kitabu mle ni umahiri. To you it's a big deal, oh yeah it is!!!!ndiyo maana huishi kulizungumzia kila kwenye mjadala humu JF kuhusu kitabu chako. Na kwa taarifa yako vitabu kibao hutupwa kila mwaka, very likely hata chako kilishaondolewa mle loooong tyme!!!!! Lakini wewe bado unaendeleza tambo tu, ndiyomaana nikasema haya mambo mengine muendelee kudanganyana hukohuko Tanganyika.

N,

Ndugu yangu na tujaalie si kuwa kimetupwa hata kufika huko
hakikupata kufika.

Tatizo liko wapi?
 
N,

Ndugu yangu nimefika Library of Congress.
Ikiwa huamini basi.

Si jambo kubwa.
Mimi Allah kanifungulia dunia Alhamdulilah.

Nimetembea kwingi sana.

Mimi na kaka yangu sote tumezaliwa Kipata.
Yeye ni Prof. Ph D Genetics.

Iko siku tunakula dinner Cape Town na wake zetu.
Nikamwambia, ''Kaka from Kipata to Cape Town...''

Tuliangalia tulikotoka Kipata, Gerezani leo tuko Cape Town...

Ngoja nikuage na hii.

Nimewahi kuzuiwa Heathrow kuingia Uingereza kwa sababu tu passport yangu
ilikuwa imeingia nchi nyingi sana.

Walidhani mie Mzungu wa Unga...
Baada ya kujiridhisha wakaniachia.

Wewe inakutisha hiyo Washington DC kuwa sijaingia Library of Congress...

Nimefika hadi New York Columbia University kwenda kuona alikosoma shemeji yako...
Nilipokelewa na walimu wake na walinialika hadi nyumbani kwao New Jersey...

Mie si limbukeni nijisingizie nijikwaze...
Haya naeleze kukata kibri chenu.

Kwa kawaida sie huwa hatujinasibu.
mzee ms ww na kakako elimu mliipa tz au nnje ya nchi?
Au mlitumia majina ya wakristo kusomea? Ukizingatia nchi yetu kwa mfumo kristo na inavyo wafelisha wote wenye majina ya kiislam.
 
Hakuna shida ndugu yangu.
Mdomo haumkatai bwana wake.

Utasema kama unavyouamrisha.
Iwe matusi au kejeli.
Matusi au kejeli kivipi mkuu wangu? Wewe mpaka sasa umetuonyesha picha tu unazotamba ndiyo umeziweka mtandaoni.
Tulitegemea labda utakuwa una nyaraka nyingine muhimu kama katiba ya TAA/TANU kwa sababu wazee wako walishiriki kikamilifu kwenye uanzishwaji wa vyama hivyo.
 
Mtwa,

Ndiyo maana nikaandika historia ya uhuru wa Tanganyika ili
kuonyesha tulikotoka na kuonyesha fitna hii ya udini kaileta
nani na nini ilikuwa sababu yake.

Soma kitabu changu ''Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes...''
Kuna mengi ya faida.

Mohamed,

Nakubali kukitafuta na kukisoma.
 
Hivi ingekua mgala kitabu chake kipo Library of Congress, kimepata reviews Oxford na Cambridge, mtunzi anaitwa na vyuo vikubwa vikubwa duniani, alafu waislam tunasema hizo ni ngano tu, hivi ingekuaje?
 
N,

Ndugu yangu na tujaalie si kuwa kimetupwa hata kufika huko
hakikupata kufika.

Tatizo liko wapi?

Hizi sasa hasira, tatizo ni kuwa mzee wetu wewe kuna baadhi ya mambo ambayo ni ya kawaida mno lakini ukiwa maeneo yako ya kujidai unatumia hoja hizo kama ndiyo authority ya ukweli wa hoja zako. Kwenda nchi tofauti tofauti wengine ni sehemu ya kazi zetu so would be a lot of others, lakini siwezi kuja hapa kuelezea hayo maana ni nje ya mada.

Mzee wetu wewe ukighafirika kidogo tu lazima utumbukize tambo. Si nia yangu kudiscredit kazi yako ila pale unapopotosha umma makusudi kwa kutuletea hadithi zisizothibitishwa tutakuhoji tu and that is the meaning of a forum.
 
Mzee Mohamed,
Mimi nilidhani ulipokuwa ukipinga kuwa TAA hakikuwa chama cha starehe nilidhani umesimamia ndani ya katiba ya chama hiki kumbe ulikuwa unapinga tu kwa kuwa Mwalimu alisema hivo! Uliwezaje kuifahamu TAA na baadae TANU bila ya kuziona na kuwa nazo katiba za vyama hivi? Kumbe wewe ni mtu wa kuhangaika na watu na majina yao tu!

Tupatie katiba ya mwisho ya TAA na ile ya KWANZA ya TANU. Itatupatia majibu mengi tu ya hoja hizi.

WC,

Wala using'ang'anie katiba.
Wala sikupata kuitafuta.

Ikiwa wewe unaona katiba ni kitu muhimu vyema itafute utuandikie
tufaidike na elimu yako.

Mimi nilishughulishwa na majina ya wazee wangu na yale walofanya.

Wala sikuhangaika na hiyo katiba ya AA kwangu ilinitoshakuwa Kleist
Sykes babu yangu ndiyo alikuwa katibu muasisi mwaka 1929.

Kama unadhani kuhangaika na majina ya wazee wangu ni kasoro
kwangu si kasoro ndiyo kazi yenyewe khasa iliyonishughulisha.

Ila napenda kukufahamisha kuwa uongozi wa TAA haukurasimu katiba
mpya.

Katiba ya TANU ilinukuliwaneno kwa neno kutoka ConventionPeople's
Party (CPP) ya Kwame Nkrumah, kwa kuweka TANU mahali pa CPP.
 
Hizi sasa hasira, tatizo ni kuwa mzee wetu wewe kuna baadhi ya mambo ambayo ni ya kawaida mno lakini ukiwa maeneo yako ya kujidai unatumia hoja hizo kama ndiyo authority ya ukweli wa hoja zako. Kwenda nchi tofauti tofauti wengine ni sehemu ya kazi zetu so would be a lot of others, lakini siwezi kuja hapa kuelezea hayo maana ni nje ya mada.

Mzee wetu wewe ukighafirika kidogo tu lazima utumbukize tambo. Si nia yangu kudiscredit kazi yako ila pale unapopotosha umma makusudi kwa kutuletea hadithi zisizothibitishwa tutakuhoji tu and that is the meaning of a forum.

N,

Nami nakujibu kadri ya ufahamu wangu.
 
Mkuu wangu Mohamed Said kati ya mabandiko yako mengi pengine hili naweza kukubaliana na wewe.Sipingi kwamba Mwl Nyerere alikuwa hakosei hapana najua alikuwa na madhaifu yake mengi kama walivyo binadamu wote.Wakuu Ritz zomba Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Mchambuzi Mkandara... Tazameni kwa makini hiyo list ya madaktari utabaini wote ni wagalatia sasa nauliza swali rahisi sana Mwl Nyerere alikuwa akiwagandamiza wagalatia wenzake !.

Kuhusu Dr. Mwanjisi, ni kweli huyu alitofautiana na Mwalimu; Huyu Dr alisoma na Mwalimu Makerere na alikuwa mtu wake wa karibu kuliko watanganyika wote pale Makerere akifahamu kila jambo la Mwalimu kwani pia alikuwa ni mshauri mkuu wa Mwalimu kuhusu Tanganyika ya baadae; Baada ya Tanganyika huru, siasa kwake zikawa ngumu, na baadae akateuliwa kuwa Medical Officer wa Jimbo la mikoa ya huko kusini, lakini bado alizidi kupata misuko suko na baadae akaamua kuachana na kazi za serikali na kujifungulia hospital binafsi au kuajiriwa sekta binafsi maeneo ya dodoma/morogoro; huko nako akaja kupata msuko suko mwingine baada ya kumtoa mwanafuzi mimba kama sehemu ya shughuli zake za udaktari, taarifa zika leak, akakamatwa ba kufunguliwa mashitaka na kuhukumiwa kifungo; baadae aliweza kutoroka na kukimbilia Kenya ambapo kutokana na uwezo wake (elimu na uzoefu), Kenyatta akampa cheo cha provincial medical officer - Coastal Province; alikuja kufa huko huko baadae;
 
WC,

Wala using'ang'anie katiba.
Wala sikupata kuitafuta.

Ikiwa wewe unaona katiba ni kitu muhimu vyema itafute utuandikie
tufaidike na elimu yako.

Mimi nilishughulishwa na majina ya wazee wangu na yale
walofanya.

Wala sikuhangaika na hiyo katiba ya AA kwangu ilinitosha
kuwa Kleist Sykes babu yangu ndiyo alikuwa katibu muasisi
mwaka 1929.

Kama unadhani kuhangaika na majina ya wazee wangu ni
kasoro kwangu si kasoro ndiyo kazi yenyewe khasa iliyonishughulisha.

Ila napenda kukufahamisha kuwa uongozi wa TAA haukurasimu katiba
mpya. Katiba ya TANU ilinukuliwaneno kwa neno kutoka Convention
People's Party (CPP) ya Kwame Nkrumah, kwa kuweka TANU mahali pa
CPP.
Sasa Mzee wangu Mohamed, hivi vyeo unavyotaja wazee wako wamewahi kuvishika vilitokana na nini kama sio KATIBA hizo? Au walikuwa wanagawana vyeo na madaraka haya kama njugu au vikombe vya kahawa? Na haya ya ku-copy na ku-paste toka kwenye katiba ya Nkrumah uliyaona wapi au na yenyewe ulisimuliwa na wazee wako?

Dosari nyingine kubwa ya simulizi zako hizi ni hii ya kutozihusisha KATIBA hizi. Mzee Ally Sykes bado yupo. Tuombee kwake. Atakuwa nazo document hizi muhimu. Inawezekana wewe kuna mambo yanakusuta mle.
 
Yericko Nyerere,

Next time kama unatuahidi jambo flani, you better be damn sure that you can deliver, or else kaa kimya.

Hotuba mpaka leo hakuna

Majina ya wahaini mpaka leo hakuna

Facts kutoka "nyumbani kwenu" hakuna

Hard evidence kutoka "nyumbani kwenu" hakuna

Hakuna, hakuna, hakuna..

Tutendee haki na sisi tunaosoma huu mnakasha wiki inaenda ya tatu hii.

Na kwa kukumbushia tu, ametuahidi atatuletea ushahidi mwingine kutoka kwa Chifu Mkwawa na akaahidi atatuletea historia ya Abushiri. Mpaka leo ana madeni kibao ya ahadi.

Naomba ajitokeze mtu ampe darsa la alama za unafik.

cc Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Hivi ingekua mgala kitabu chake kipo Library of Congress, kimepata reviews Oxford na Cambridge, mtunzi anaitwa na vyuo vikubwa vikubwa duniani, alafu waislam tunasema hizo ni ngano tu, hivi ingekuaje?

Kilipokuja kitabu nakala ya Kiingereza mwaka 1998 kanifata mtu kuniuliza kama kweli
kitabu hiki nimeandika mimi.

Kisha akaniuliza kama niliandika kwa Kiswahili halafu kikafanyiwa tafasiri.

Hawa ndiyo wenzetu wanavyotuona.

Kila jambo zuri likiwa kwetu watahoji.

Je nina ID ya Library of Congress?
Nilifanya ''lecture'' au ''public talk Northwestern University?''

Kitabu kimeingia kwenye ''journal'' zenye hadhi duniani...
Hawakubali...

Sharti wachokonoe...

Vyeti katika jalada la kazi haamini anaona vimegushiwa...
 
Good argument kaka, lakini swali moja tu

1. Wewe mtunzi kufanya extensive reading of books, of which some of them have been published by the likes of Oxford University Press and Cambridge University Press

2.Publisher kukubali kukipublish

3.Kitabu kinaenda toleo la tatu

4.Vyuo vikubwa duniani, kwa mitaala ya African Studies, wakakifanyia review

5.Ukaalikwa na vyuo tofauti tofauti duniani ukatoe public lectures na a session of Q and A baadae (of which kuna mtu mmoja kasema eti `public lectures hizo hazikuwa wa mfumo huo´)

Alafu anatokea mtu anakwambia "umetunga" hizi ni "ngano". "Umehadhithiwa na wazee wako, ukajifungia ukaanza kuandika". Jamani hii ndo hoju ya kukipinga kitabu?

Hutomwona huyu mtu ni kichekesho?

Ninawasilisha

1. Mkuu sina tatizo kabisa na kitabu cha Mohamed Said kutumika kama reference, au kutolewa editions zaidi ya moja. Tatizo ni baadhi ya anazooziita facts ndani ya kitabu chake si kweli mfano

Pg 80 A

"After the removal of Prof. Malima from the ministry the ministry reverted back into marking examination using names of candidates instead of numbers. Muslim student admission to secondary school once again dwindled"

Hoja kama hizi ambazo si kweli na hajaweza kuzisubstantiate ni sehemu ya kitabu chake.

2. Asili ya tulichokuwa tukijadili katika kurasa hizi mbili ni pale MS aliposema kwamba kitabu chake kimefika mpaka library of congress which is true na si kimoja nimethibitisha hilo, unaweza bofya hapa for reference. Au hapa Library of Congress online Catalog, type jina kwenye search la Mohamed Said utaona vitabu vyake. Hilo sina tatizo, lakini hoja yangu ni kuwa kuwa na kitabu mle si evidence ya facts ndani ya kitabu chako au umahiri, ujuzi na ujuvi wa mwandishi. Hizi dilly dallying nyingine zimekuja baada.
 
Back
Top Bottom