Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Sasa Mzee wangu Mohamed, hivi vyeo unavyotaja wazee wako wamewahi kuvishika vilitokana na nini kama sio KATIBA hizo? Au walikuwa wanagawana vyeo na madaraka haya kama njugu au vikombe vya kahawa? Na haya ya ku-copy na ku-paste toka kwenye katiba ya Nkrumah uliyaona wapi au na yenyewe ulisimuliwa na wazee wako?
Dosari nyingine kubwa ya simulizi zako hizi ni hii ya kutozihusisha KATIBA hizi. Mzee Ally Sykes bado yupo. Tuombee kwake. Atakuwa nazo document hizi muhimu. Inawezekana wewe kuna mambo yanakusuta mle.
WC,
Kila ulisomalo katika kitabu changu pamoja na hilo la katiba.
Kauli ya wazee wangu.
Narudia yote niliyoandika ni kauli toka kwa wazee wangu.
Hilo swali la katiba mimi halinishughulishi.
Ikiwa wewe unaona hilo ni jambo muhimu tafuta hizo katiba
na tuandikie utakayokuta humo ya manufaa.