Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Katuwacha wote hatuna njaa wala uchu na mali zote hizo, isipokuwa aliwaacha wazungu tu pale Williamson Diamond wajichotee. Na mabenki aliyotuwachia yalikuwa yana utajiri mkubwa wa ajabu na ya kimataifa. Na akaliwacha kanisa katoliki linahodhi ardhi kubwa zaidi Tanzania baada ya Serikali, au sio? Na nyadhifa zote Serikalini zimeshikiliwa na wakatoliki kwa asilimia 80 na zaidi au sio?

Na mpaka anaachia madaraka msaidizi wake mahsusi (personal secretary) ni mzungu, huyo ndio Nyerere.
 
Uongo mwingine huu hapa, yani unatuaminsha kuwa bosi wako alikuchukia kwasababu ya dini yako?katika barua aliyokuandikia alisema anakuchukia kwasababu ya dini yako?


Mzee usiwe muongo kiasi hicho utalaaniwa usiione pepo ya fildausi wewe.
 
Kanisa Katoliki wanajua kukamata ardhi kwa malengo ya mbali na ya baadae. Hawakamati ardhi kujenga kanisa tu. Misikiti inajengwa kwenye viwanja vya watu. Ukitoa kiwanja baadae unakuwa sheikh wa msikiti!
Alikuja Mmasai mmoja nilikokuwa nikifanya kazi enzi hizo. Akakuta hakuna Mmasai hata mmoja katika ofisi ya umma ya waajiriwa kama 1000. Nikamuuliza kwa nini hali iko hivi? Akasema kabila yetu tunadharau ELIMU hadi kesho. Wamasai wote unaoona wamesoma na wako makazini walikamatwa kwenda shule enzi za Mwalimu!

Tatizo hili haliko kwa Waislam na Uislam wenyewe?
 

...Sidhani kama waislamu walinyimwa ardhi, maana by then ardhi ilikuwepo ya kumwaga. Zomba, kuna tofauti kubwa sana kimtazamo na malengo baina ya viongozi wa kiislam na wa kikristo. Kama waislam hawana ardhi sio kwa sababu Nyerere aliwanyima, na kama wakatoliki wana ardhi sio kwa sababu aliwapendelea. Sababu kuu ni kuwa dini hizi zina malengo na mitazamo tofauti katika kumhudumia mwanadamu. tofauti za malengo na mitizamo hii hupelekea kuwa na mikakati tofauti, na utofauti wa mikakati ndio huzaa tofauti ya nani ana nini na nani hana nini.
Kama dini ina mtazamo wa kumhudumia mwanadamu kimwili na kiroho, itahitaji ardhi kujenga jengo la ibada, lakini pia litahitaji ardhi kujenga shule na hospitali vyuo n.k. Lakini kama dini mtazamo wake ni kumhudumia mwanadamu kiroho tu, basi itaridhika na kujenga nyumba ya ibada na darasa lakuwafundishia watoto dini yao. ndio maana hata madhehebu ya kikristo yapo mengi tu hayana ardhi lakini hawamlaumu Nyerere wala wakatoliki. kama yupo wa kumlaumu basi ni wao wenyewe.
 
Tangu nchi hii ipate uhuru, sifa ya mtu kutumiks taifa ni uzalendo na elimu tu sio dini kama unavyotaka kutuaminisha uzushi wako.
 
WildCard,

Kila Siku mnapenda kujitapa kuwa nyie wakiristu ni wasomi hapa Tanzania lakini mimi binafsi naona Tanzania hakuna wasomi maana ya wasomi kuna waganga njaa tu.

Labda nifahamishe wewe hao wasomi wa kikiristu ambao wapo serikalini toka enzi za Nyerere wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbwi la umasikini duniani na vita dhidi ya ufisadi.
 
Last edited by a moderator:
Chako kimo? Hata Tanganyika library sijui kuna hata kijikaratasi chako mule wacha kitabu.

Uliingia kwenda kutafuta huko ulikoweka link ukatahayari.

Tatizo hujajua hata ktabu cha kichochezi kinachoongelewa ambacho ni "islamic movement and christian hegemony - the rise of muslim militancy in Tanzania 1979-2000" hicho hakipo maktabani na hata kingekuwepo si ishu, je unafahamu kuwa hata shigongo ana kitabu ndani ya the library of congress?
 

C,

Inaelekea hujui hali ya mambo yalivyo nchini kwa sasa.

Kuwa Nyerere na Kanisa Katoliki wamedhulumu Waislam
hivi sasa si jambo la kuwekewa baraza watu wakazungumza.

Waislam wamefanya mihadhara ya wazi nchi nzima wakizungumza
kuhusu mfumokristo.

Hii si mada tena ya kuwekewa mjadala.
Waislam tunasubiri majibu ya serikali kuhusu shutuma hiyo.
 
Watu wa akili na misimamo kama ya zomba, Mohamed Said,..., wakipata tatizo hawaanzi kujitazama na kujidadisi wao wenyewe KWANZA. Wanatafuta mchawi wao ni nani. Wanakuwa na majibu ya haraka na mepesi kwa matatizo makubwa. Wasipojipa majibu wanayatafuta hata kwa waganga wa kienyeji. Watu wenye ELIMU na uelewa duni kuliko hata wao. Matatizo ya elimu nchi hii kwa baadhi ya MAKABILA yetu na DINI zetu yako wazi kabisa. Mtu anakimbilia kwenye Ukatoliki wa Mwalimu! Ukiwauliza Mwalimu alitaifisha shule za madhehebu ya DINI( nyingi za Wakatoliki wenzake) kwa sababu gani? Utasikia wanavyojikanyaga.
 
Last edited by a moderator:
Uongo mwingine huu hapa, yani unatuaminsha kuwa bosi wako alikuchukia kwasababu ya dini yako?katika barua aliyokuandikia alisema anakuchukia kwasababu ya dini yako?


Mzee usiwe muongo kiasi hicho utalaaniwa usiione pepo ya fildausi wewe.

Y,

Huyu bwana tukifahamiana sana.
Alikuwa anahangaishwa na hasad.
 

WC,

Unajua huko tumeshapita miaka mingi.

Waislaam wa sasa wanazungumza lugha
nyingine.

Siyo hiyo shule zimetaifishwa kisha
wanasoma wenyewe.

Inatia uvivu kuchangia hii.

Sasa Waislam wana taarifa za NECTA.
Inasubiriwa muda tu ziwekwe hadharani.
 
Jibu atalitoa nani sasa. Jakaya? Gharib Bilal? Dr Shein? Hivi bado madai haya yana uzito wowote? Wewe Mzee Mohamed endelea kuwa-brainwash Waislam wenzio badala ya kutafuta ardhi mjenge vyuo vikuu vingi tu.
 
WC,

Unajua huko tumeshapita miaka mingi.

Waislaam wa sasa wanazungumza lugha
nyingine.

Siyo hiyo shule zimetaifishwa kisha
wanasoma wenyewe.

Inatia uvivu kuchangia hii.

Sasa Waislam wana taarifa za NECTA.
Inasubiriwa muda tu ziwekwe hadharani.
Wewe, Barubaru na Jakaya mlisomaje hadi Chuo KIkuu ndani ya mfumo huu? Mlibadili majina kwa muda? NECTA, NECTA, huko Lindi na Mtwara madarasa hayana wanafunzi!
 
Last edited by a moderator:
Mohamedi said,huu mjadala nimeufatilia kwa karibu sana,kwa ufupi nilichogundua nikuwa kumbe mfumo kristo una mkono mrefu,nyerere alikuwa ni kibaraka wa vatican nchini tanganyika,kumbe vatican wameza kutengeneza vibaraka nchi nyingi za africa ili kulinda kanisa kwa siku za baadae,kwa kila nchi zenye tamaduni za kiislam basi falsafa ya devided & rule ilichukua hatamu (e.g z'br,somalia,mali)basi ujue hapo kanisa linafanya kazi ya kunyonga waislam,kwa vile mjadala unaendelea wachanisubiri kuyashuhudia mengine yanayokuja.
 

N,

Hapana nalijua sana hili kuwa kuna jeshi pia la Wamanyema waliingia Tanganyika
kama askari wa Wajerumani.

Mmojawapo ni babu yangu mkuu Samitungo Mwekapopo na alikuwa pale Shirati Bomani.
Ukipenda babu yangu mkuu alikuwa mmluki na alipigana dhidi ya wananchi wa Tanganyika.

Huu ni ukweli wa historia ya ukoloni.

Ila watoto wa hawa mamluki walikuja kufanya makubwa katika maendeleo ya siasa Tanganyika.

Ndiyo hawa akina Kleist Sykes, Schneider Abdillah Plantan, Ramadhani Mashado Plantan, Thomas
Sauti Plantan, Ibrahim Hamisi, Salum Abdallah na wengine wengi.

Kleist Sykes akaasisi African Association na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika, babu yangu akaasisi
Tanganyika Railway African Union (TRAU) na alikuwa mwanachama wa African Association na TANU
nk. nk.

Sisi wajukuu wa watu hawa hatuna la kuonea haya katika historia ya wazee wetu.
 
Y,

Huyu bwana tukifahamiana sana.
Alikuwa anahangaishwa na hasad.
Sipendi kuamini kuwa hili ndio jibu la mtu anajikweza kuwa ni msomi aliyebeba matarajio ya waislamu.

Hivi kujuana na mtu inaleta maana gani hasa kama kwenye barua rasmi ya kikazi inayokutaka ujieleze (huenda kwakukiuka miiko yakazi) hajahusisha kujuana kwenu?

Unaonyesha wazi kuwa ngano zako karibu zote hata hao mababu zako unaodai walikusimulia hunda umewalisha maneno yako vinywani mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…