Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Wewe unacho?
 
hivi huu udini utakusaidia kitu gani??

mwanakijiji kumbuka wengi wanayaona mabandiko yako,,

unaonekana wazi wazi ni mtu wa mrengo wa kushoto,inakuvunjia heshima sana we mzee..

Jaribu kutumia kidogo hizo chembe za Ubongo juu ya mabega yako; hoja nzima ya Mohammed Said iko kwenye dini. Sijui hata kama unajua kichwa cha habari cha kitabu chake cha Sykes kinaitwa nini. Huwezi kuzungumzia hoja za Said bila kuzungumzia dini na kuzungumzia dini siyo udini. Kwa taarifa kitabu kinaitwa:

MAISHA NA NYAKATI ZA ABDUL WAHID SYKES (1924 -1968)

Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika na Mohamed Said


Said hakuandika historia ya wazee wa Dar-es-Salaam au wa Gerezani walioshirki katika harakati za Uhuru; msisitizo wake uko kwenye "Waislamu" na ndio maana swali langu ni muhimu sana katika kuangalia historia hiyo.
 

Hao ndiyo waliyoiuwa hii nchi.
 
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Kenya African National Union[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: logo, colspan: 2, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founder[/TH]
[TD="class: agent"]James Gichuru
Oginga Odinga
Tom Mboya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founded[/TH]
[TD]1960
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]African National Congress[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: logo, colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founder[/TH]
[TD="class: agent"]JohDube,
Pixley ka Isaka Seme,
Sol Plaatje
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founded[/TH]
[TD]8 January 1912[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Tanganyika African National Union[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: logo, colspan: 2, align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Leader[/TH]
[TD="class: agent"]Julius Nyerere[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founded[/TH]
[TD]July 1954[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 

sasa hii siyo heshima; sasa ukiona mtu anaitwa "Ally" basi unajua ni Muislamu? Ninaishi maeneo yenye Waarabu wengi hapa na utakutana na mtu anaitwa Ally na kumbe ni Mkristu! Swali langu bado linasimama kwani kusema ana jina la Kiislamu halijibu swali linaashiria tu.
 

Ni jana tu tulikupa darsa la hasad, leo umeshasahau.
 


nyerere, nyerere, nyerere, nyerereeeeeeeeeeee

Dah.................Namuachia Mungu
 

hapa sawasawa kwa hiyo Abdallah Sykes alipopigana na kina Mkwawa alikuwa tayari ni Muislamu. I got it.
 

MM,

Utaniwia radhi.
Mimi si mtu wa namna yako wa nipe nikupe.

Napenda kustahiana na kufanya mjadala wa heshima.
 


mzee mwanakijiji,,ambae mimi nakuita ni mzee mfia dini,,
usijaribu kuuvaa uhusika wa mbuni na kukimbia uhalisia wa kitu kilichopo ndani ya moyo na fikra zako,kuhusu uhalisia wa kitabu cha ndug moh said hakuna asiefaham,kila aliepata bahati ya kukisoma kwa fikra huru ameuelewa uhalisia wa maudhui yake,
wewe huoneshi kuhoji ukweli wa kile kilichoandikwa,
mimi nadhan unazeeka vibaya sana mwanakijiji,wewe umeonesha wazi wazi kwenye post zako nyingi kuziacha hoja za kuyakosoa maandishi ya ndug moh said na kuipambanua chuki yako dhidi ya uislam na waislam wazi wazi,au unapinga hilo?
Na ndio kwa maana nikakuuliza,huu udini unaouendekeza mwanakijiji utakusaidia nini??

Zaid zaid unazid kukuvunjia heshima yako na kuwafanya wale wanaokufaham wajue uhalisia wako,chuki chuki,chuki mzee zimekujaa..,
haitakusaidia..
 
hapa sawasawa kwa hiyo Abdallah Sykes alipopigana na kina Mkwawa alikuwa tayari ni Muislamu. I got it.

MM,

Nimekuwekea post mbili kukujibu lakini naona unasoma kwa haraka
mengine yanakupita.

Abdallah Sykes ni Kleist Sykes baba yake Abdu, Ally na Abbas.
Aliyepigana na Mkwawa ni Sykes Mbuwane baba yake Kleist.
 
Tatizo mtu akisoma kidogo anatumia furs hiyo kuwahadaa jamii yake kubwa ambayo haina kisomo cha kisayansi.. Anawabwatukia .. Mnanyonywaa.. Mnakandamizwaa...!!! Maskini hao basi wanamwaminii wanachotwachotwa tu.. Zambi mbaya sana.. Jehanam itawatafuna

ubaya zaidi hawa ndugu zetu huwa hawaangalii nani wa kumuamini; hadi sheikh ilunga hassan kapungu nae wanamkubali
 

Hata alipostaafu kanisa katoliki lilimpa masista "do" kuwa ndio ma hausigeli wake, nini kinakushangaza?
 
WAPIIII!!!!! Watazitoa wapi historia hiyo???? MashaAllah. Mungu Akupe Nguvu Na Afya njema Maalim wangu.
Msamehe huyo mchochezi, hajui alitendalo!
 

kosa ni kumsema "mtakatifu". Hizi zama nyingine kaka, kutisha kumepita na wakati.

 
Duh! mkuu Ngongo, nifahamishe, wagalatia ndio watu gani?
 

WildCard,

Hii hapa picha nimekuleta kulia kwa Nyerere ndiyo mweka hazina wa TANU Idd Faiz.

Hapo wanamuaga Nyerere kwenda UNO.

Huyo mwanamke peke yake ni Bibi Titi Mohamed, cha kuchekesha hao wote hawamo katika waasisi wa TANU.

Kusoma hujui hata picha huoni.
 
Last edited by a moderator:


Angalia wazee wa Kariakoo walivyokuwa na mahaba na Nyerere leo wanaitwa wanywa kahawa wazee wa vibarazani.

Tuwaombee dua hawa wazee wazalendo wametangulia mbele ya haki Allah hawazidishie.
 
hivi huu udini utakusaidia kitu gani??

mwanakijiji kumbuka wengi wanayaona mabandiko yako,,

unaonekana wazi wazi ni mtu wa mrengo wa kushoto,inakuvunjia heshima sana we mzee..
Mkuu THE BIG SHOW, mbona swali hili humuulizi mzee Mohamed Saidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…