Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Tatizo hujajua hata ktabu cha kichochezi kinachoongelewa ambacho ni "islamic movement and christian hegemony - the rise of muslim militancy in Tanzania 1979-2000" hicho hakipo maktabani na hata kingekuwepo si ishu, je unafahamu kuwa hata shigongo ana kitabu ndani ya the library of congress?

Wewe unacho?
 
hivi huu udini utakusaidia kitu gani??

mwanakijiji kumbuka wengi wanayaona mabandiko yako,,

unaonekana wazi wazi ni mtu wa mrengo wa kushoto,inakuvunjia heshima sana we mzee..

Jaribu kutumia kidogo hizo chembe za Ubongo juu ya mabega yako; hoja nzima ya Mohammed Said iko kwenye dini. Sijui hata kama unajua kichwa cha habari cha kitabu chake cha Sykes kinaitwa nini. Huwezi kuzungumzia hoja za Said bila kuzungumzia dini na kuzungumzia dini siyo udini. Kwa taarifa kitabu kinaitwa:

MAISHA NA NYAKATI ZA ABDUL WAHID SYKES (1924 -1968)

Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza katika Tanganyika na Mohamed Said


Said hakuandika historia ya wazee wa Dar-es-Salaam au wa Gerezani walioshirki katika harakati za Uhuru; msisitizo wake uko kwenye "Waislamu" na ndio maana swali langu ni muhimu sana katika kuangalia historia hiyo.
 
WildCard,

Kila Siku mnapenda kujitapa kuwa nyie wakiristu ni wasomi hapa Tanzania lakini mimi binafsi naona Tanzania hakuna wasomi maana ya wasomi kuna waganga njaa tu.

Labda nifahamishe wewe hao wasomi wa kikiristu ambao wapo serikalini toka enzi za Nyerere wamelisaidiaje taifa letu kutoka kwenye dimbwi la umasikini duniani na vita dhidi ya ufisadi.

Hao ndiyo waliyoiuwa hii nchi.
 
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Kenya African National Union[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: logo, colspan: 2, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founder[/TH]
[TD="class: agent"]James Gichuru
Oginga Odinga
Tom Mboya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founded[/TH]
[TD]1960
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]African National Congress[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: logo, colspan: 2, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founder[/TH]
[TD="class: agent"]JohDube,
Pixley ka Isaka Seme,
Sol Plaatje
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"][/TH]
[TD="class: agent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founded[/TH]
[TD]8 January 1912[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: center"]Tanganyika African National Union[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="class: logo, colspan: 2, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Leader[/TH]
[TD="class: agent"]Julius Nyerere[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Founded[/TH]
[TD]July 1954[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

 
MM,

Maswali yako kwa kweli sijui nisemeje...

Hebu soma hapa chini ujionee mwenyewe.

Inatoka katika kitabu changu:

''Baada ya kifo cha Mbuwane, Ally, kaka yake mkubwa Kleist alirudishwa Msumbiji
mwaka 1902 akifuatana na baba yake mdogo, Kattini Mbuwane ambae alikuwa kipofu.''

Huyu Ally alikuja pamoja na Weissman kutoka Msumbiji ni mtoto wa Sykes Mbuwane.
Hilo jina la ''Ally'' kapewa na baba yake toka wako kwao.

Jina la Ally ni jina la dini gani?

sasa hii siyo heshima; sasa ukiona mtu anaitwa "Ally" basi unajua ni Muislamu? Ninaishi maeneo yenye Waarabu wengi hapa na utakutana na mtu anaitwa Ally na kumbe ni Mkristu! Swali langu bado linasimama kwani kusema ana jina la Kiislamu halijibu swali linaashiria tu.
 
Sipendi kuamini kuwa hili ndio jibu la mtu anajikweza kuwa ni msomi aliyebeba matarajio ya waislamu.

Hivi kujuana na mtu inaleta maana gani hasa kama kwenye barua rasmi ya kikazi inayokutaka ujieleze (huenda kwakukiuka miiko yakazi) hajahusisha kujuana kwenu?

Unaonyesha wazi kuwa ngano zako karibu zote hata hao mababu zako unaodai walikusimulia hunda umewalisha maneno yako vinywani mwao

Ni jana tu tulikupa darsa la hasad, leo umeshasahau.
 
Bwana Nyerere,
Vipi Chief Kidaha Makwaia.

Kasota sana Tunduru kizuizini.

Unazo taarifa zake kuwa alikuwa
anaandaa majeshi kupindua serikali?

Je, Chief Msabila Lugusha...
Dr Wilbard Mwanjisi...
Dr Michael Lugazia...


Walii wa Allah Maalim Mohamed Matar
Mtu ambae hakujishughulisha na lolote katika
mambo ya kidunia ila dhikr na kusomesha Qur'an...


nyerere, nyerere, nyerere, nyerereeeeeeeeeeee

Dah.................Namuachia Mungu
 
MM,

Nakuongeza hiyo kutoka katika hifadhi zangu.
Starehe pamoja na wanaukumbi wengine.

''My name is Ally Kleist Sykes. I was born in Dar es Salaam on 10 th September 1926
from Kleist Sykes Mbuwane, the son of a Zulu mercenary, Sykes Mbuwane and Bibi
Mruguru bint Mussa who my father married in February 1923.

My father’s other name is Abdallah but he never identified himself by this name.
This is the name written on his tombstone, which today identifies his grave at
the Kisutu Muslim graveyard in Dar es Salaam.

I was named Ally after my father’s elder brother Ally Sykes...''

Wameingia Tanganyika Pangani waliposhuka katika meli ya kivita na Uislam wao.

hapa sawasawa kwa hiyo Abdallah Sykes alipopigana na kina Mkwawa alikuwa tayari ni Muislamu. I got it.
 
sasa hii siyo heshima; sasa ukiona mtu anaitwa "Ally" basi unajua ni Muislamu? Ninaishi maeneo yenye Waarabu wengi hapa na utakutana na mtu anaitwa Ally na kumbe ni Mkristu! Swali langu bado linasimama kwani kusema ana jina la Kiislamu halijibu swali linaashiria tu.

MM,

Utaniwia radhi.
Mimi si mtu wa namna yako wa nipe nikupe.

Napenda kustahiana na kufanya mjadala wa heshima.
 
jaribu kutumia kidogo hizo chembe za ubongo juu ya mabega yako; hoja nzima ya mohammed said iko kwenye dini. Sijui hata kama unajua kichwa cha habari cha kitabu chake cha sykes kinaitwa nini. Huwezi kuzungumzia hoja za said bila kuzungumzia dini na kuzungumzia dini siyo udini. Kwa taarifa kitabu kinaitwa:

maisha na nyakati za abdul wahid sykes (1924 -1968)

historia iliyofichwa kuhusu harakati za waislam dhidi ya ukoloni wa waingereza katika tanganyika na mohamed said


said hakuandika historia ya wazee wa dar-es-salaam au wa gerezani walioshirki katika harakati za uhuru; msisitizo wake uko kwenye "waislamu" na ndio maana swali langu ni muhimu sana katika kuangalia historia hiyo.


mzee mwanakijiji,,ambae mimi nakuita ni mzee mfia dini,,
usijaribu kuuvaa uhusika wa mbuni na kukimbia uhalisia wa kitu kilichopo ndani ya moyo na fikra zako,kuhusu uhalisia wa kitabu cha ndug moh said hakuna asiefaham,kila aliepata bahati ya kukisoma kwa fikra huru ameuelewa uhalisia wa maudhui yake,
wewe huoneshi kuhoji ukweli wa kile kilichoandikwa,
mimi nadhan unazeeka vibaya sana mwanakijiji,wewe umeonesha wazi wazi kwenye post zako nyingi kuziacha hoja za kuyakosoa maandishi ya ndug moh said na kuipambanua chuki yako dhidi ya uislam na waislam wazi wazi,au unapinga hilo?
Na ndio kwa maana nikakuuliza,huu udini unaouendekeza mwanakijiji utakusaidia nini??

Zaid zaid unazid kukuvunjia heshima yako na kuwafanya wale wanaokufaham wajue uhalisia wako,chuki chuki,chuki mzee zimekujaa..,
haitakusaidia..
 
hapa sawasawa kwa hiyo Abdallah Sykes alipopigana na kina Mkwawa alikuwa tayari ni Muislamu. I got it.

MM,

Nimekuwekea post mbili kukujibu lakini naona unasoma kwa haraka
mengine yanakupita.

Abdallah Sykes ni Kleist Sykes baba yake Abdu, Ally na Abbas.
Aliyepigana na Mkwawa ni Sykes Mbuwane baba yake Kleist.
 
Tatizo mtu akisoma kidogo anatumia furs hiyo kuwahadaa jamii yake kubwa ambayo haina kisomo cha kisayansi.. Anawabwatukia .. Mnanyonywaa.. Mnakandamizwaa...!!! Maskini hao basi wanamwaminii wanachotwachotwa tu.. Zambi mbaya sana.. Jehanam itawatafuna

ubaya zaidi hawa ndugu zetu huwa hawaangalii nani wa kumuamini; hadi sheikh ilunga hassan kapungu nae wanamkubali
 
Kipo kwa jina hilo hapo chini:

Feasts and riot : revelry, rebellion, and popular consciousness on the Swahili Coast, 1856-1888 / Jonathon Glassman.

Kuhusu suala zima la facts ni very simple facts are just facts, huwezi kuwa na facts zako, zangu na za atu tofauti katika kitu hicho hicho kimoja.

Mfano. Pg 126, kwenye kiabu chako kuhusu uchaguzi 1995.

Utawezaje kuiita hiyo niliyo-highlight ni fact??????

Hata alipostaafu kanisa katoliki lilimpa masista "do" kuwa ndio ma hausigeli wake, nini kinakushangaza?
 
Mohamed Said said:
  • Salum Abdallah aliongoza mgomo (General Strike) wa 1947.
  • Salum Abdallah alikuwa mfadhili wa AA hadi TAA Tabora.
  • Salum Abdallah alikuwa katika kamati ya siri
  • Salum Abdallah alitoa fedha nyingi kumpa Germano Pacha
  • Salum Abdallah alikuwa mwanachama wa mwanzo wa TANU
  • Salum Abdallah 1955 alikuwa rais muaisisi wa TRAU
  • Salum Abdallah aliongoza mgomo wa Railway wa 1960
  • Salum Abdallah katika mkutano wa Moshi 1962 alimpinga Nyerere
  • Hii ndiyo sababu ya Salum Abdallah kuwekwa kuzuizini.
  • Salum Abdallah alikuwa babu yangu
  • Salum Abdallah alikuwa Manyema
  • Babu yangu, Salum Abdallah, Mmanyema, yangu hakuwa haini.
WAPIIII!!!!! Watazitoa wapi historia hiyo???? MashaAllah. Mungu Akupe Nguvu Na Afya njema Maalim wangu.
Ni hulka ya Mohamed kuzushia marehemu maneno na ni mbaya sana katika dini na imani. Sijui kwanini Mohamed amegeuza dini kuwa ushabiki na si imani.

Mohamed, muogope mwenyezi mungu! Mwenyezi mungu si Simba au Yanga.

Mohamed wajukuu zako watasoma maneno yako na watapita ulipopunzika wakisema huyu ndiye msanii, mzushi na bingwa wa upotoshaji. Watakusifu babu alikuwa kiboko kwa kamba!
Msamehe huyo mchochezi, hajui alitendalo!
 
bwana nyerere huko tusende hakufai kabisa.

Vitisho hii leo?

Kujuta ndiko huku tayari tunajuta.
Wenye fahamu wanajiuliza hivi tumefikaje hapa?

Anaewashiwa taa nyekunda mchunguze.
Siyo mohamed said.

Yeye kakaa kitako hawezi kuogopa kuanguka.

Tuliza ubongo wako utaona taa nyekundu inamuwakia nani.
Kwa hakika si mohamed said.

Wala wa kujuta hatutakuwa siye.
Tujute kwa kipi tutakachopoteza?

Acha vitisho.
Marehemu sokoine angekuwa hai ningekwambia nenda kamuulize unamjua mohamed said?

Tuliandikiana barua.
Nilimwambia hana uwezo wala haki ya kuwakataza waislam kusomesha qur'an katika vibaraza.

Tulimalizana kwa heshima.
Alinielewa.

Mimi si mtu wa kutishika ndiyo maana unaona naandika na jina langu halisi naweka.
Hakuna asiyenijua.

Kuwa na adabu kidogo.

kosa ni kumsema "mtakatifu". Hizi zama nyingine kaka, kutisha kumepita na wakati.

 
Mkuu wangu Mohamed Said kati ya mabandiko yako mengi pengine hili naweza kukubaliana na wewe.Sipingi kwamba Mwl Nyerere alikuwa hakosei hapana najua alikuwa na madhaifu yake mengi kama walivyo binadamu wote.Wakuu Ritz zomba Nguruvi3 Mzee Mwanakijiji Mchambuzi Mkandara... Tazameni kwa makini hiyo list ya madaktari utabaini wote ni wagalatia sasa nauliza swali rahisi sana Mwl Nyerere alikuwa akiwagandamiza wagalatia wenzake !.
Duh! mkuu Ngongo, nifahamishe, wagalatia ndio watu gani?
 
nyerere_departing_for_UNO.jpg

WildCard,

Hii hapa picha nimekuleta kulia kwa Nyerere ndiyo mweka hazina wa TANU Idd Faiz.

Hapo wanamuaga Nyerere kwenda UNO.

Huyo mwanamke peke yake ni Bibi Titi Mohamed, cha kuchekesha hao wote hawamo katika waasisi wa TANU.

Kusoma hujui hata picha huoni.
 
Last edited by a moderator:
butiama%2520288.jpg


Angalia wazee wa Kariakoo walivyokuwa na mahaba na Nyerere leo wanaitwa wanywa kahawa wazee wa vibarazani.

Tuwaombee dua hawa wazee wazalendo wametangulia mbele ya haki Allah hawazidishie.
 
Back
Top Bottom