Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Sawa, kwani tatizo ni kutangaza ushindi. Hapa hatuko kwenye mechi kama ni ushindi basi chukueni (sijui wewe na nani). Lakini hapa tuko kwenye kupima hoja kisomi. Unaposema "M. Said amefanya utafiti" una uhakika? utafiti gani? Hivi unajua kanuni za kufanya utafiti wa kihistoria? Kwenda na kunukuu watu kuthibitisha dhana yako (hypothesis) unafikiri ndio 'utafiti'. Kukusanya taarifa, picha na kuziwekea tafsriri ndio unaamini ni utafiti? I hope sivyo wanafundishi kwenye hivi vyuo vyetu kuwa ukikusanya taarifa (data) - hata bila kujali umekusanya vipi au sample yako ipi - inatosha kukufanya uitwe mtafiti.

M. Said hajaandika kitabu cha historia, hajafanya utafiti wa kihistoria na kazi yake haikubaliki kuitwa ya kihistoria wala kupewa heshima ya kuwa imefanyiwa utafiti wa kutosha. Ni simulizi ambalo kwa kweli unaweza kuliita 'semi-fiction' yaani katumia matukio ya kweli kuweka chumvi ya porojo. Bahati mbaya watu kama wewe wameshindwa kutofautisha ukweli na porojo.
 


punguza jazba kidogo..
 
 
Miongoni mwa watu wachache sana utakaokutana nao ambao hatukuumbwa na jazba. Hasira kidogo yes! kwa sababu ni lazima tuhoji watu wanaojenga hoja namna hii wanatumia akili gani...

Hivi hii hoja (rejea kichwa cha habari) inafanana na utumbo mnaouleta?
 


1.CHOOSE YOUR TOPIC.

2.FIND BACKGROUND INFORMATION.

3.REFINE YOUR TOPIC.

4.FIND BOOKS ON YOUR TOPIC i.e LITERATURE REVIEW..

5.FIND CURRENT INFORMATION ON YOUR TOPIC.

6.EVALUATE WHAT YOU HAVE FOUND.

7.CITE WHAT YOU HAVE FOUND BY USING A STANDARD FORMAT.

ZIPI SASA KATIKA NJIA ZA UTAFIT UNAZOHIS WEWE HAZIKUTUMIKA KATIKA MAANDISHI YALE MARIDHAWA??
TUELEZEE..
 

Na hizo ni kanuni za uandishi wa kitu gani?
 
 
Wa vijarida vya intaneti kama vyako.

Hivi kile kitabu chako cha mahaba ulikuwa unakitangaza humu JF kiliishia wapi?

Kile mbona kipo kwenye duka la vitabu la Scholastic pale Mlimani city ila sina uhakika kama kinapatikana kwenye lile duka lao la mtaa wa Samora.

Mi tayari nishanunua kama kopi tatu hivi. Na wewe nunua bana.
 

Inaonesha hujasoma kichwa cha habari. Halafu nyinyi ndio mliokuja na hii mada, halafu mnakuja kuuliza ushahidi wakati nyinyi ndio mnatuhumu. Jisome halafu tazama kichwa na utumbo wa hii mada, Jee, wewe umeshaleta ushahidi wa kile unachokituhumu?

cc Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Kile mbona kipo kwenye duka la vitabu la Scholastic pale Mlimani city ila sina uhakika kama kinapatikana kwenye lile duka lao la mtaa wa Samora.

Mi tayari nishanunua kama kopi tatu hivi. Na wewe nunua bana.

Kasha pata mualiko wa kukitetea kwenye chuo kipi? usinambie chuo cha Sheikh Mzinga.
 
na hili pia unataka clarification??

Kumbe ndio maana moh said mara zingine huwachagulia ya kuwajibu,you are so antagonistic..!

la hasha; nimekuuliza kwa sababu ulichosema ni too general kiasi kwamba kinaweza kuhusiana na somo lolote. Hayo uliyotoa yanatofa kuwa mwongozo kwa mwanafunzi wa chuo kikuu au hata high school.

Sasa uandishi wa historia una kanuni tofauti kidogo. Nitakuwekea hapa kama zinavyopatikana kutoka HAPA


  1. the recognition of a historical problem or the identification of a need for certain historical knowledge.
  2. the gathering of as much relevant information about the problem or topic as possible.
  3. if appropriate, the forming of hypothesis that tentatively explain relationships between historical factors.
  4. The rigorous collection and organization of evidence, and the verification of the authenticity and veracity of information and its sources.
  5. The selection, organization, and analysis of the most pertinent collected evidence, and the drawing of conclusions; and
  6. the recording of conclusions in a meaningful narrative.


Sasa, Bw. Said yeye hakuanza vizuri kaanza na hitimisho ambalo alilipata kwa wazee wake. Kwamba - NYERERE ALIWADHULUMU WAISLAMU NA KUWATENGA. Kutoka hapo akatoka na kuanza kutafuta ushahidi wa kuthibitisha nadharia yake aliyopewa na wazee wake. Katika kufanya hivyo; akakusanya ushahidi ule tu wenye kukubaliana na nadharia yake. halafu mwishoni akaweka conclusion kuwa kweli Nyerere aliwadhulumu Waislamu. Hitimisho ambalo tayari alikuwa amelifikia kabla ya kufanya utafiti.

That my friend is an absurdity of the first category.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…