zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Kaka,
Kama mzee Mohamed Said kakosea kuwataja wazee wake waliopigania uhuru, basi ataomba msamaha.
Lakini kama si kosa, anayo haki ya kuandika na kusema.
Mna contradict kudhani kuwa Mohamed Said anasema kuwa wazee wake peke yake ndo wamepigania uhuru.
Wazee wake had a part to play. It just so happens that the part they played was important, paramount and pivotal which lead to the success of independence. Hili nadhani ndo hamlitaki
Tatizo lao kubwa waliaminishwa kuwa historia ya nchi hii imeanzia na kuishia kwa Nyerere, lakini huo unajulikana kuwa si ukweli, Nyerere mwenyewe anakiri kuwa toka makerere alishaambiwa kuna harakati zimeshaanza. Sasa kama mwenyewe anakiri hayo, huo uasisi kauokotea wapi?
Napenda kuwakumbusha kuwa Nyerere atakumbukwa na kuenziwa sana na kanisa katoliki kwa kulipa mali isio kifani. Leo hii Tanzania baada ya Serikali, mmiliki mkuu wa Ardhi ni kanisa katoliki lenye makao makuu Vatican, watawacha kumuenzi? Halafu wachache humu hilo hawalioni. Mimi huwaita wabaguzi wa ujinga. Ni ujinga uleule waliojazwa nao wa kutukuzwa ndio huohuo walionao. Hata uwafanye nini, hawaoni, hawasikii, mioyo yao ina maradhi.