Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hawa wanahisi enzi za utawala wa Nyerere hata kufagia makanisa alikuwa anafagia Nyerere
 
Kutokana na ubishi unaoendelea imenilazimu kurudi TBC kufuata ile hotuba ya sauti ama video hotuba ya 5 Nov 1985!

Nipo tbc mda huu nasubiri kuingia ndani niwaone wahusika wanipe hiyo hotuba ili tumalize ubishi
 
Sukari imejaa tele madukani. Watanzania wangapi wanaweza kuinunua? Uliwahi kusikia enzi za Mwalimu twiga mzima anasafirishwa kwa ndege kwenda Qatar? Kombe la dunia na WATANZANIA walivyopigika hiviii...., dah! Wewe kweli Boko haram
 
Wakuu leo nimepewa hadithi mpya hapa TBC, naambiwa niandike barua iende kwa mkurugenzi mkuu, baada ya siku kadhaa nakala itawafikia wao na watanijulisha kama ombi langu limekubaliwa ama limetupwa kapuni!

Nami sasa naondoka hapa TBCccm kurudi nyumbani ili nikajiandae kuandika barua hiyo kesho!
 
Pole sana Yericko. Mimi nilidhani hotuba za Mwalimu ni mali yetu sote kwa kuwa zinagharamiwa kwa kodi zetu. Hotuba hizi ni sehemu ya Historia ya nchi hii.
 
WC,

Naona umeghadhibika.
Basi tulipumzishe hili jambo.
 
Wewe wacha porojo, ulisema utatuletea hotuba, hayo uliyoweka bluu ni wewe unaedai kuwa ni hotuba, na hiyo hiyo unayodai kuwa ni hotuba isome uone TANU ilitoka wapi.

Mpaka sasa sijaona uchochezi na dhihaka za Mohamed Said kwa Watanganyika na Wazanzibari. Hebu niwekee maandiko ya Mohamed Said kama unavyodai.

Msome tena hapa chini Mohamed Said alivyokujibu kuhusu hotuba ya Nyerere, nini ambacho huelewi?:

Pole sana Yericko. Mimi nilidhani hotuba za Mwalimu ni mali yetu sote kwa kuwa zinagharamiwa kwa kodi zetu. Hotuba hizi ni sehemu ya Historia ya nchi hii.

Aisee hili limenikera sana na nimewaeleza kero wanayotupatia sisi watanzania tunaohitaji kumbukumbu kama hizi kutoka kwao!
 
Hizo medali alitoa nani tufahamishe na Nyerere alikuwa anatoa medali bila kujua anawapa kina nani.
 
Hiyo ni makubaliano kati ya serikali na mashirika ya kikristo katika kuendesha hospitali za rufaa zinazomilikiwa na madhehebu ya kikristo,kama KCMC,Bugando, Selian n.k ambapo hata waislamu pamoja na wewe mkiugua mnakwenda kutibiwa huko,nyie waislamu wenye mlengo hasi hebu onyesheni hospitali hata moja tu yenu yenye hadhi kama hizi,hata Agha Khan,Isnasheeri wana makubaliano kama haya na serikali,ukiweza zira kutibiwa katika hospitali hizi uone kama hatuakusahau.
 
WC,

Naona umeghadhibika.
Basi tulipumzishe hili jambo.
Sijaghadhibika Mzee Mohamed. Kwa hadhi uliyonayo hupaswi kuamini kila unaloambiwa kumhusu Mwalimu unless mtu amemrekodi kikamilifu. Watu karibu 4000 Mwalimu awe amepanga nani apate nani akose.
 
Aisee hili limenikera sana na nimewaeleza kero wanayotupatia sisi watanzania tunaohitaji kumbukumbu kama hizi kutoka kwao!

Wewe mara ya kwanza si ulisema wanauza mbona una kauli nyingi. Kwani hapo TBC hawajuhi kama wewe ni mtoto wa Nyerere.
 
Nyerere anashindwa kuipata hotuba ya Nyerere. Kwi kwi kwi kwi teh teh teh teh! tuombe Big Show asiione hii.

Nyumbani hawana?
 
Sijaghadhibika Mzee Mohamed. Kwa hadhi uliyonayo hupaswi kuamini kila unaloambiwa kumhusu Mwalimu unless mtu amemrekodi kikamilifu. Watu karibu 4000 Mwalimu awe amepanga nani apate nani akose.

Kwanini asiweze? au unatujulisha kuwa uwezo wake ulikuwa mdogo?
 
Sijaghadhibika Mzee Mohamed. Kwa hadhi uliyonayo hupaswi kuamini kila unaloambiwa kumhusu Mwalimu unless mtu amemrekodi kikamilifu. Watu karibu 4000 Mwalimu awe amepanga nani apate nani akose.

WC,

Kama hujaghabika hivyo ni vizuri.
Najua shida inayokupateni.

Mimi nina uzoefu wa haya yote msemayo.
Nishayasikia sasa mwaka wa 15.

Kitabu hiki kilitikisa fikra za wengi.
Wako waliofurahi kupita kiasi tena ndani ya CCM.

Kuna walioumia kama mnavyoumia nyinyi hivi sasa.
Unadhani ile taarifa ya Prof. Haroub mimi nilizua?

Mshtuko alopata haukuwa wa kawaida.

Ananiuliza mara mbili mbili kuhusu Abdu Sykes na TANU.

Namwambia, ''Prof. huwezi kuandika historia ya TANU bila
kumtaja Abdu na mdogo wake Ally na ukipenda unaweza
kurudi kwa baba yao...''
 
Wewe mara ya kwanza si ulisema wanauza mbona una kauli nyingi. Kwani hapo TBC hawajuhi kama wewe ni mtoto wa Nyerere.

Huwa sina kibyogo na kujinasibisha kila nikanyagapo!

Mimi natembea na ninaishi kama mtanzania tena yule aliye masikini sawa na mie, nilikwenda TBC kama mtanzania yeyote anavyoweza kwenda!

Ningetaka kutumia hivyo unavyotaka iwe ningekaa nyumbani tu na kuwaamuru waniletee nyumbani hiyo hotuba,

Sikulelewa hivyo, jado lango ni jando la taifa la kale lenye busara ya nera mkuu!
 
Kwanini asiweze? au unatujulisha kuwa uwezo wake ulikuwa mdogo?
Mwalimu alikuwa na mambo mengi sana ya kulifanyia Taifa hili. Hili la kupanga medali ni dogo sana. Hili linafanywa na ofisi ya WaziriMkuu.
 
Nyerere anashindwa kuipata hotuba ya Nyerere. Kwi kwi kwi kwi teh teh teh teh! tuombe Big Show asiione hii.

Nyumbani hawana?

Ha haa ha zomba huyu YERICKO X ni muongo kama kiongozi fulani ilinisiharibu mnakasha soma signature ya RITS ndio utajua hawa jamaa wa chama fulani ni waongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…