Kumbuka kabla ya kumtunukia medali hii alishamtunuku mwanae wa kuzaa kuwa IGP wa KWANZA mzawa. Huyo ndie Julius bwana.WildCard,
Baada ya Nyerere kutoa medali zake 3,979 baada ya siku chache kupita aligutuka akamualika Dossa Aziz Ikulu katika sherehe ya faragha akamtunikia medali.
Dossa Aziz wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika alikuwa mfadhili wa TANU.
Jiulize hizo medali nani aliziandaa.