Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

WC,

Kama hujaghabika hivyo ni vizuri.
Najua shida inayokupateni.

Mimi nina uzoefu wa haya yote msemayo.
Nishayasikia sasa mwaka wa 15.

Kitabu hiki kilitikisa fikra za wengi.
Wako waliofurahi kupita kiasi tena ndani ya CCM.

Kuna walioumia kama mnavyoumia nyinyi hivi sasa.
Unadhani ile taarifa ya Prof. Haroub mimi nilizua?

Mshtuko alopata haukuwa wa kawaida.

Ananiuliza mara mbili mbili kuhusu Abdu Sykes na TANU.

Namwambia, ''Prof. huwezi kuandika historia ya TANU bila
kumtaja Abdu na mdogo wake Ally na ukipenda unaweza
kurudi kwa baba yao...''

Mkuu ni kweli huwezi kuandika Historia ya TANU bila kuitaja TAA vilevile huwezi kuitaja TAA bila kuitaja AA na zaidi huwezi uitaja AA bila kumtaja Matola, hapo tu utaakuwa hujamaliza bali anzia kwa Governor Sir Cameron huyo ndie chimbuko la vyote, usigande kwa Abdul Sykes tu, utaonekana unalako jambo mkuu!
 
Huwa sina kibyogo na kujinasibisha kila nikanyagapo!

Mimi natembea na ninaishi kama mtanzania tena yule aliye masikini sawa na mie, nilikwenda TBC kama mtanzania yeyote anavyoweza kwenda!

Ningetaka kutumia hivyo unavyotaka iwe ningekaa nyumbani tu na kuwaamuru waniletee nyumbani hiyo hotuba,

Sikulelewa hivyo, jado lango ni jando la taifa la kale lenye busara ya nera mkuu!

Yericko Nyerere,

Hebu acha kamba bana wewe siyo mtoto wa Julius Kambarage.

Watoto wa Kambarage Nyerere wote wanajulikana wapo 7 tu.

Mbona haumtendei haki baba yako mzazi.
 
Last edited by a moderator:
WC,

Kama hujaghabika hivyo ni vizuri.
Najua shida inayokupateni.

Mimi nina uzoefu wa haya yote msemayo.
Nishayasikia sasa mwaka wa 15.

Kitabu hiki kilitikisa fikra za wengi.
Wako waliofurahi kupita kiasi tena ndani ya CCM.

Kuna walioumia kama mnavyoumia nyinyi hivi sasa.
Unadhani ile taarifa ya Prof. Haroub mimi nilizua?

Mshtuko alopata haukuwa wa kawaida.

Ananiuliza mara mbili mbili kuhusu Abdu Sykes na TANU.

Namwambia, ''Prof. huwezi kuandika historia ya TANU bila
kumtaja Abdu na mdogo wake Ally na ukipenda unaweza
kurudi kwa baba yao...''
Ni kweli unayoyasema. CCM na serikali yake sasa hivi wanateuana kwa kuangalia DINI. Hebu nunua RaiaMwema ya leo usome ukurasa wa nne makala ya MSOMAJI RAIA. Tunakoelekea ndiko huko. DINI zinasaidia kuwapa watu vyeo, madaraka na hata ajira!
 
Yericko Nyerere,

Hebu acha kamba bana wewe siyo mtoto wa Julius Kambarage.

Watoto wa Kambarage Nyerere wote wanajulikana wapo 7 tu.

Mbona haumtendei haki baba yako mzazi.

Sijaelewa tunachobishana hapa nini maana hujajibiwa kile ulichotaka kujua lakini umekazia kunihukumu,

Yaleyale ya Mohamed Said kuwalisha maneno marehemu!
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere,

Hebu acha kamba bana wewe siyo mtoto wa Julius Kambarage.

Watoto wa Kambarage Nyerere wote wanajulikana wapo 7 tu.

Mbona haumtendei haki baba yako mzazi.
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu amebakia huko CCM, ujinga wako huu ndio Mkapa aliumbuka hivi hivi kwa kujifanya anajuwa Familia za watu na Steven Wassira kukataa watoto wa kaka yake ambao kimsingi ni watoto wake.
 
Sijaelewa tunachobishana hapa nini maana hujajibiwa kile ulichotaka kujua lakini umekazia kunihukumu,

Yaleyale ya Mohamed Said kuwalisha maneno marehemu!

Hakuna wa kukuhukumu wewe mwenyewe ndiyo unajichanganya ueleweki.
 
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu amebakia huko CCM, ujinga wako huu ndio Mkapa aliumbuka hivi hivi kwa kujifanya anajuwa Familia za watu na Steven Wassira kukataa watoto wa kaka yake ambao kimsingi ni watoto wake.

Hizi anga za AA, TAA, TANU, TAGSA. TRAU, EAMWS, KAR, PC.

Mambo ya CCM na Chadema hapa siyo mahala pake.

Ukija kwenye huu uzi lazima kichwani uwe na vitu vya historia.
 
Jasusi,

Hebu soma hii kutoka mswada wangu kuhusu kitabu cha Prof.
Malima:
.

Christians were heard to whisper to each other that they
should not again allow a Muslim to govern the country.

And when Mkapa won hymns were sung.

Tumefikaje hapa?

Na hapo ndipo tunapopingana na wewe zaidi na zaidi.
Unawadanganya waislam kuwa Mkapa aliposhinda kwenye nomination za CCM "hymns were sung"
Hivi wewe mzee, don't you even feel remorse when you tell misleading lies like these? Au zile nyimbo za Capten Komba ndio unaziita hymns? Hivi dini yako haikukatazi kutunga uongo?

Eti "christians were heard to whisper" were heard by who? Kwa kweli you are man with hate. Your hate has found a target. The target is Nyerere and christians, na hata tufanyanyeje, hatuwezi tukakubadilisha. You are a very dangerous man.
 
Labda nikuulize kitu Jasusi hivi hakuna chochote ulichojifunza kutoka kwa Mohamed Said.

Ritz,
Umeuliza swali zuri. Nilipokiona kitabu cha Mohamed kuhusu Abdulwahid nilikinunua haraka kwa sababu nilimfahamu marehemu. Kilichonisikitisha ni kwamba sikukuta autobiography ya mzee Sykes lakini masimulizi juu ya manyanyaso ya waislamu yaliyofanywa na Nyerere. Kilinifungua macho kuwa kumbe kuna baadhi ya Waislamu wanajiona wamenyanyaswa na utawala wa Nyerere. Ndipo hapo nikaanza kufuatilia historia ya Uislamu na Ukristo nchini Tanganyika. Ndio kuna mengi nimejifunza.
 
CHUO kikuu cha kiislamu CHa morogoro mlichopewa na Mkapa kina hali gani, mmejenga majengo mapya mangapi tangu mpewe, tueleze halafu tutakujibu
 
Na hapo ndipo tunapopingana na wewe zaidi na zaidi.
Unawadanganya waislam kuwa Mkapa aliposhinda kwenye nomination za CCM "hymns were sung"
Hivi wewe mzee, don't you even feel remorse when you tell misleading lies like these? Au zile nyimbo za Capten Komba ndio unaziita hymns? Hivi dini yako haikukatazi kutunga uongo?

Eti "christians were heard to whisper" were heard by who? Kwa kweli you are man with hate. Your hate has found a target. The target is Nyerere and christians, na hata tufanyanyeje, hatuwezi tukakubadilisha. You are a very dangerous man.
Nanren,
Kwa mzee Mohamed lolote linaloukandia ukristo na hasa ukatoliki au Mwalimu hilo ataliumba liumbike, atalipamba lipambike. Kwake yeye maadui wakubwa wa nchi hii sio umasikini, ujinga, maradhi na ufisadi. Maadui wa nchi hii kwake ni Mwalimu, Ukatoliki, ukristo na wakristo.

Anahangaika tu. Tanzania hii alooiacha Mwalimu itatikiswa tu lakini sio kuiangusha labda dunia ianze upya.
 
CHUO kikuu cha kiislamu CHa morogoro mlichopewa na Mkapa kina hali gani, mmejenga majengo mapya mangapi tangu mpewe, tueleze halafu tutakujibu

Hawatakueleza kwakuwa hawana chakuelezea mafanikio yao kijamii bali watakukurundikia rundo la shutuma na malalamiko yao dhidi ya Mwalimu Nyerere!
 
CHUO kikuu cha kiislamu CHa morogoro mlichopewa na Mkapa kina hali gani, mmejenga majengo mapya mangapi tangu mpewe, tueleze halafu tutakujibu
Kwa vile chuo kile kilitolewa na serikali ya MfumoKristo, kitakuwa si cha Waislam aina ya Mohamed Said, zomba, Ritz,..., kina harufu ya BAKWATA ndani yake. Hakiwahusu hawa tulionao kwenye thread hii. Uislam ni zaidi ya tunavyoufahamu baadhi yetu.
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu alikuwa na mambo mengi sana ya kulifanyia Taifa hili. Hili la kupanga medali ni dogo sana. Hili linafanywa na ofisi ya WaziriMkuu.

Na mengi sana alikosea. Hakuwa malaika yeye. Na yeye mwenyewe alikiri kuwa yapo aliyofanya ambayo ni mabaya na mabaya yake yaachwe yasirudiwe. Na ndio maana ukaona moja la mabaya yake likaachwa, na wale walionyimwa heshima yao makusudi kabisa na Nyerere wakatunukiwa medali zao na Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete aka Chaguo la Mungu.
 
WildCard,

Baada ya Nyerere kutoa medali zake 3,979 baada ya siku chache kupita aligutuka akamualika Dossa Aziz Ikulu katika sherehe ya faragha akamtunikia medali.

Dossa Aziz wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika alikuwa mfadhili wa TANU.

Jiulize hizo medali nani aliziandaa.
 
Last edited by a moderator:
Na mengi sana alikosea. Hakuwa malaika yeye. Na yeye mwenyewe alikiri kuwa mabya yake yaachwe yasirudiwe. Na ndio maana ukaona moja la mabaya yake likaachwa na wale walionyimwa heshima yao makusudi kabisa na Nyerere wakatunukiwa medali zao na Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete aka Chaguo la Mungu.
Jakaya alitunukia wale wazee 17 ambao historia ya kivukoni inawakubali. Sio akina Kiyate, Plantan, Amir,..., kumbe unamkubali Jakaya ee? Matunda ya mfumokristo huyo.
 
Back
Top Bottom