Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #5,541
WC,
Kama hujaghabika hivyo ni vizuri.
Najua shida inayokupateni.
Mimi nina uzoefu wa haya yote msemayo.
Nishayasikia sasa mwaka wa 15.
Kitabu hiki kilitikisa fikra za wengi.
Wako waliofurahi kupita kiasi tena ndani ya CCM.
Kuna walioumia kama mnavyoumia nyinyi hivi sasa.
Unadhani ile taarifa ya Prof. Haroub mimi nilizua?
Mshtuko alopata haukuwa wa kawaida.
Ananiuliza mara mbili mbili kuhusu Abdu Sykes na TANU.
Namwambia, ''Prof. huwezi kuandika historia ya TANU bila
kumtaja Abdu na mdogo wake Ally na ukipenda unaweza
kurudi kwa baba yao...''
Mkuu ni kweli huwezi kuandika Historia ya TANU bila kuitaja TAA vilevile huwezi kuitaja TAA bila kuitaja AA na zaidi huwezi uitaja AA bila kumtaja Matola, hapo tu utaakuwa hujamaliza bali anzia kwa Governor Sir Cameron huyo ndie chimbuko la vyote, usigande kwa Abdul Sykes tu, utaonekana unalako jambo mkuu!