Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #5,521
Kutoa medali kitu kingine na kuandaa orodha ya watakaopewa hizo medali suala jingine. Jamani, tujifunze jinsi serikali na vyombo vyake vinavyofanyakazi. Nikuulize swali moja Ritz: Ni Jakaya Kikwete aliyemkatalia dhamana Sheikh Ponda? Kwa nini yooote yaliyofanyika wakati wa Mwalimu lawama zooote anabebeshwa yeye?
Hawa wanahisi enzi za utawala wa Nyerere hata kufagia makanisa alikuwa anafagia Nyerere