Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kumbuka kabla ya kumtunukia medali hii alishamtunuku mwanae wa kuzaa kuwa IGP wa KWANZA mzawa. Huyo ndie Julius bwana.
 

Watu wengine jamani; tumieni basi chembe za Ubongo kufikiri. Hivi kweli mnafikiria ni kwa sababu 'aligutuka'? Hivi umewahi kufikiria kuwa watu walioandaa medali hawakuliweka jina la Abdulwahid na baada ya sherehe Nyerere mwenyewe alikasirika na kuwaambia kwanini hawakumweka Dossa Aziz mle na ndio sababu akataka apatiwe kwani ni haki yake (alisahauliwa na Kamati lakini Nyerere alikumbuka?) Au inawezekana toka mwanzo Nyerere alitaka kumpa heshima ya pekee rafiki yake huyu kwa kumpatia Nishani yake Ikulu na kumtenga na wengine wote ili jina lake lisimezwe na wale wengine elfu tatu na ushehe?

Mnakubali kuwa kwenye sherehe ile mmoja wa wazee wa Mohammed Said Shehe Abdallah CHaurembo alipewa nishani na hilo mnaona si jambo baya lakini hamsemi Nyerere alimpendelea. Tumia ubongo basi kidogo kufikiri jamani mnatuangusha. Msikubali masimulizi ya hisia ya Mohammed Said. Kwa vile yeye kasema "Nyerere alikumbuka baada" basi wote mnaimba kama kasuku.
 
Kumbuka kabla ya kumtunukia medali hii alishamtunuku mwanae wa kuzaa kuwa IGP wa KWANZA mzawa. Huyo ndie Julius bwana.

Kama alivyoitunuku Tanzania na mfumo kristo...kweli huyo ndie Julius bwana.
 
Mwambie na mzee wetu Mohamed akiri kwamba kuingiza UDINI kwenye historia ya wazee wake ni kosa. akiri pia kwamba kumhukumu Mwalimu vile alivyomhukumu bila hata kumsikiliza ni kosa pia.
 

Hapa ndipo porojo zinapoanza; akishakufa utamtaja jina tushindwe kumuuliza. We mtaje tu watu wamuulize.
 
Muhammad Ali alikataa kwenda vitani kule Vietnam. Abdulwahid Sykes yeye akaenda vitani kule Burma. Kumpigania Mfalme, Mkuu wa Kanisa la Anglican duniani. Historia!
 

Nadhani hawa ndugu zetu waliopo hapa jamvini, kama hawatapevuka kwa hili jando tuwapalo hapa, basi hakuna meza nyingine ya fungate watakayo pembukia abadani!
 

Wewe si umesema mjadala umeisha vipi tena umerudi.
 
MM,

Ushanijua mie mtu wa porojo.
Sasa nini kinakushughulisha?

Sasa hili sio jukwaa la porojo ndio maana watu wanashughulikia kila post inayo wekwa humu.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Mzee Said, hebu jaribu kujitofautisha wewe kama msomi na wewe kama mpika majungu. Hayo maneno kuhusu Christian hayana ushahidi kwasababu wewe hukuwepo ndani ya mkutano.

Kwa kusikia fulani kasema halafu uje hapa utuambie huo ni ukweli, tafadhali sana, unakundi lako la wajinga si kila mtu ni mwanachama. Endapo hilo ndilo lingekuwa basi JK asingekuwa Rais.

Hivi unasahau kuwa kama si Wazanzibar Salim Ahmed ndiye alikuwa chaguo la chama! Please, haya maneno ya kwenye kahawa usituletee hapa. Uongo mkubwa! uzushi halafu unasema wewe ni kiongozi wa waislam! kwa sifa gani! usiudhalililishe Uislam. Wewe uza vitabu na dini waachie walioamini! khaa ! Uongo mchana, Mohamed unajidhalilisha sana

Mag3, Mohamed ameshindwa kukanusha kuwa nyumba za wazee wake zilikuwa na mgogoro na kwamba D.Cameron aliitoa nyumba hiyo. Kwa wale mnaoamini ngano huu ni ushahidi mwingine kuwa Mohamed anawalisha kile anachotaka, vingine ameficha. Sasa kuna ukweli kuwa nyumba anazosema zimejengwa na Familia ya Sykes siyo kweli.

Mohamed amekwenda mbali na kuonyesha jinsi gani Sykes walivyofisadi nyumba ya Cameron. Nadhani hata familia ya Sykes haitapenda kusikia haya kwasababu tu Mohamed is vocal.
 
Muhammad Ali alikataa kwenda vitani kule Vietnam. Abdulwahid Sykes yeye akaenda vitani kule Burma. Kumpigania Mfalme, Mkuu wa Kanisa la Anglican duniani. Historia!

WC,

Umesahau haya.

Babu yake alikuja Tanganyika hadi Pangani na Hermman von Wissman kutoka Mozambique.

Baba yake Abdu Kleist alipagana katika jeshi la Wajerumani chini ya von Lettow Vorbeck
tena akiwa Aide De Camp.

Abdu Sykes ndiye akapigana katika KAR akiwa na umri wa miaka 17/18 baada ya kumaliza
darasa la kumi Kitchwele African Government School badala ya kuingia Makerere College.
 

Kipi kakisahau hapo zaidi ya wewe kuunga mkono alichosema?
 
Kwahiyo mzee wewe watu tukuache tu upige porojo?

Kumbuka hili jukwaa sio la porojo ndugu yangu!

Mimi track record yangu ndiyo hii.
Hizi ni credentials za mpiga domo?

Kichekesho hapa jamvini ni wewe Yericko
Nyerere.

Si mimi.

Jitulize na usome kwa makini sana tena sana.
Ndipo utanifahamu Insha Allah:

1. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002

2. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London)

3. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London)

4. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi) 5. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam)

6. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam)

7. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003)

8. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000' (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15[SUP]th[/SUP] – 17[SUP]th[/SUP] 2003)

9. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27[SUP]th[/SUP] February – 4[SUP]th[/SUP] March 2004)

10. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11[SUP]th[/SUP] April 2004)

11. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8[SUP]th[/SUP] - 10th February 2006)

12. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press 2006, Nairobi. (Children's book)

13. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi

14. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam

15. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21[SUP]st[/SUP] Century 1[SUP]st[/SUP] - 3[SUP]rd[/SUP] August 2006, Kenyatta University, Nairobi

16. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg. The paper was also presented at Islamic Propagation Centre International (IPCI) Durban

17. Visiting Scholar University of Iowa, Iowa City and Northwestern University, Chicago USA and Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin 2011.
 
Cha ajabu sasa: Wakoloni hao wakamkatalia Abdu kwenda Makerere kwa sababu ya umri mdogo lakini katika umri huohuo wakamkubalia kujiunga na jeshi. Hayupo. Alishafariki tangu 1968. Atatuthibitishia nani haya Yarabi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…