Setuba Noel
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 426
- 210
Nafikiri ukitaka kupata data nzuri. Jiulize baada ya uhuru wenu Makanisa yeni yaliweza kujenga skuli ngapi, Hospital ngapi?
Jiulize kwanini hizo zote ulizo orodhesha zilijengwa kabla ua uhuru wenu?
Msome vizuri Yericko Nyerere. Itifaki ya chakula anachokula Rais ina taratibu zake. Wewe na mimi wake zetu ndio uhai wetu. Mama Maria Nyerere aliwahi kurudi kwao, Komuge alikozaliwa akakaa huko kwa zaidi ya miaka 8.WildCard,
Unamjua Omari Sisco alikuwa mtu muhimu kwa Nyerere za zaidi ya Mke wake Mama Maria Nyerere aliyemzalia watoto saba.
CC.. Mzee Mwanakijiji, Jasusi, Mag3, Nguruvi3,
Mzee Mohamedi.
Wewe ni kama baba yangu na napenda nikusalimu kwa salamu ya kiswahili "Shikamoo mzee".
Mzee Mohamed unavyozungumzia upendeleo katika elimu ya Tanzania kwa Wakristo unakuwa hujanitendea haki hata kidogo. Kwanza mimi ni Mkristo lakini majina yangu yote matatu ni ya kiasili, hakuna hata moja la Kiarabu,Kimagharibu au Kiyahudi yote ni majina ya asili yetu.
Mimi nimesoma shule na vijana wa kiisalmu na wa kikristo pia, nilifaulu kusoma sekondari hadi nikamaliza shahada yangu ya kwanza hakuna anayeweza kutambua jina langu kama mimi Mkristo.
Kipindi elimu ikiwa ni bure nchi za Skandnavia nilikuja kusoma shahada ya pili, sikuwa na scholarship yeyote lakini nilikuwa nafanya vibarua kuniwezesha kuishi kwa kua ada ilikuwa bure. Hapo Chuoni tulikuwa karibu vijana 10 hivi toka Tanzania, 7 Wakristo na 3 Waislam. Siku moja ikaja mada na kuwa Tanzania Wakristo wanapata upendeleo toka kwa kijana wa kiislamu, mwingine akakubali. Nikawauliza hivi tupo 10 hapa wote toka Tanzania, je waliokuja na scholarship toka Tanzania ni wangapi?? cha ajabu vijana wa Kiisalam wote 3 toka Tanzania walikuja na scholarship toka Tanzania na kijana 1 kati ya Wakristo 7 ndio pekee aliyekuja na scholarship.
Badae nilipata scholarship ya Phd toka hapo chuoni, serikali yangu ya Tanzania haikuwa inajua nasoma nini au nala nini uku.
Kwa hiyo kuna watu wakiniona na Phd bila kujua nimeipataje, watasema kwa kua mimi ni Mkristo basi nimependelea, hiii si haki na haikubaliki katika jamii zote za waungwana. Sijapata scholarship au msaada wowote ule kwa kua mimi ni Mkristo, naomba uniombe radhi.
Lakini hili unalolalamikia lina madhara kwa upande wa hao unaofikria unawazungumzia.
1.) Unawafanya waamini wao ni VICTIM kwa kua ni waislam hivyo hawana nafasi ya elimu Tanzania.
2.) Unapandikiza chuki na hasira katia ya imani hizi na yanayotokea Geita,Mbagala,Zanzibar ni matokeo.
3.) Unawafanya Wakristo pia kuanza kujihami kwa kua jirani yake ana chuki dhidi yake.
Na fikiri ingekuwa ni vema kama ungesisitizia sana kwenye vitu vya kujenga kuliko vya kubomoa, kubomoa ni rahisi lakini kujenga ni kazi ngumu, utakuja kutambua hili huko mbeleni kama juhudi za maksudi hazitafanywa.
Kiliochangu,Mzee Mohamedi.

Kiliochangu,
Umenigusa. Kuna mahali nimemuuliza Mohamed kama juhudi za Nyerere kutaifisha shule za makanisa ili waislamu nao wawe na nafasi ya kusoma, kwa maoni yake, zilikuwa na ufanisi wa kiasi gani? Hakunijibu. Badala yake ananielezea mambo ya NECTA. Sijui kama hii NECTA ilikuwepo enzi za Nyerere. Yeye mwenyewe Mohamed kasoma shule ya wakatoliki, St. Joseph pale Forodhani. Leo hii hawezi kusimama mbele ya waislamu wenzake na kuwaambia hii taaluma ya kuandika na kusimulia vizuri niliipata kwenye shule iliyokuwa ya misheni. Hawezi, kwa sababu itamsuta!

Jasusi, kilio changu, Son of Alaska, ..wakati nakua, shina letu la CCM, yaani nyumba 10, lilijumuisha eneo la kanisa. ..Mwenyekiti wa shina, na mjumbe wetu wa nyumba 10, alikuwa ni Mzee wa Kiislamu. ..alikuwepo baba mmoja mtumishi wa kanisa, lakini ana tabia ya ulevi, na kumpiga mkewe. ..yule mama mke wa mtumishi wa kanisa siku nyingine mambo yakimzidia alikuwa anakimbilia kujisalimisha na kutafuta usuluhishi kwa mjumbe wa nyumba 10, yaani yule Mzee wa Kiislamu!! ..hiyo ndiyo Tanzania ambayo wengine tumekua tukiiona, sasa haya yanayotokea leo kwa kweli yanashangaza sana. WHAT HAPPENED TO US?? ..SHULENI tulikuwa hatuulizani dini madarasani, au mabwenini. siku za kuabudu zilikuwa ni Ijumaa, Jumamosi, na Jumapili. siku hizo wanafunzi walikuwa wanakwenda kuabudu na tukimaliza tunakuwa kitu kimoja tunapambana na MASOMO. ..nakumbuka nikisoma shule ya bweni, wakati wa mwezi wa RAMADHANI, Waislamu walikuwa wanapikiwa special diet kwa ajili ya futari na daku. sasa mtu anapodai serikali ilikuwa ikiwakwaza Waislamu kielimu kwa kweli nashindwa kumuelewa. ..MALUMBANO ya dini ipi ni bora au ya kweli, sikuwahi kuyasikia nikiwa shuleni. MIZOZO ya kidini kwamba upande mmoja unaonea upande mwingine nayo sikuisikia shuleni. This is a new thing to some of us.
Msamehe tu kwakuwa hataki hata kujifunza bure tu hapa, je shule za akina Rwakatare atakanyaga kweli? Si atasingizia mfumo kristu?Msome vizuri Yericko Nyerere. Itifaki ya chakula anachokula Rais ina taratibu zake. Wewe na mimi wake zetu ndio uhai wetu. Mama Maria Nyerere aliwahi kurudi kwao, Komuge alikozaliwa akakaa huko kwa zaidi ya miaka 8.
Son... Ukiweka kejeli unaniwekea ugumu kufanya mjadala. Jasusi nimemjibu labda kama hajaliona. Jasusi siwezi kumpuuza. Ni ndugu yangu.Labda alivyokuwa hapo St Joseph,ili kuruka vikwazo vya elimu kwa waislam,alikuwa anatumia jina la kikristo Mohamed Said tunaomba ufafanuzi
Usipende kutafuniwa tu ili wewe umeze,
Nenda pale magogoni ikulu mapokezi tu, waulize kuwa unataka mnadhimu wa ikulu na muambata wa Kikwete, watakuitia mtu huyo wa Musoga, ambae ni tester ya JK popote na anaaminiwa kuliko hata mama Salma!
Jasusi, Hata mie nazikumbuka siku hizo. Kimetokea kitu gani? Nani kasababisha fitna hii? Tufanyeje tujikwamue na dhahama hii?
Wewe kweli ni mjinga na hautapembuka kamwe! Unarukia majina ya watu utadhani unakunywa pombe za ngomani ndugu?Usipende kuokota maneno mtaani kuleta JF wewe unamuongelea Mzee Mtawa.
Kwanza hujui chochote bora ungekaa kimya JK anasafiri kila siku nje ya nchi na mikoani huyo mzee yupo Dar huko kote wewe ndiyo unamuonjea chakula.
Huyu ndiyo anafundisha watu historia ya Tanganyika na anataka kutunga kitabu hebu msomeni vizuri.Wewe kweli ni mjinga na hautapembuka kamwe! Unarukia majina ya watu utadhani unakunywa pombe za ngomani ndugu?
Jana umekurupuka na kuropoka kuwa Mwenyeti wa kamati ya medali zile mnazozililia ni Mzee John Malecella, tena ukaja na picha kabisa, tukakukanya kuwa funga domo lako,
Kisha hapa jioni nilikupa kazi uende pale ikulu uuombe kumuona huyo tester wa jk lakini hujaenda kisha unakuja na umbeya mwingine!
Jitulize omba ujulishwe usijifanye kila kitu unakijua,
Kule mombasa lazima uvikwe khanga ndugu!
Nanren,
Unailezea Al Jamiatul Islamiya kwa hisia zako pamoja na fikra zako halafu hapo hapo unaomba Mohamed Said, akujibu.
Hili hata Mzee wetu Mohamed kalisema. Kasema pia jinsi Mwalimu alivyomwona mke wa marehemu Abdu kando ya barabara akasimamisha msafara wake kwenda kumsalimia yule mama.
Unajua na mimi huwa najikuta nafurahi mwenyewe wanapomuuliza hivi..Au wakati mwingine watamuuliza "hivi ile nyumba ya tatu mtaa wa Kipata ni ya nani?".
Basi Mzee atatiririka kwa kuremba lugha haswa!
Hawa ndiyo wasomi wetu wa Tanzania tena unasema una PhD endelea kuwadanganya kina Mag3, Nguruvi3, Jasusi, lakini watu makini huwezi kuwadanganya.Jasusi.
Mzee Mohamed kuna vitu vya msingi hajavigusa kuhusiana na hali ya elimu iliopo hapo Tanzania. Kuna picha anayotaka kutengeza kuwa Wakristo wote wamesoma, au wote wanamaisha mazuri kwa kua nchii hii inawapendelea Wakristo.Sijui kama hajawahi kuona Wakristo maskini wakutupa na wengine hata hawajui kusoma, sijui anaishi na Wakristo wawapi. Nawafahau wengi tu wanamaisha magumu. Pia nawafahamu vijana wengi wa Kikristo waliosoma kwa kujibana kwao na wazazi wao, ukisema hawa watu wamepewa upendeleo utakuwa hujawatendea haki hata kidogo, utakuwa hujaheshimu juhudi.
Lakini Mohamed hasemi kwanini miaka yote karibu 800 kabla ya Wakristo kuja hapa Tanzania, waislamu hawajajenga hicho chuo kikuu.
Mimi nafikri utamadauni na mazingira ndio yamewafanya Waislamu waonekane kama hawajasoma. Uislam wa Tanzania una asili yake kwa sehemu kubwa Oman japo upo pia katika Iran, n.k. Oman pamoja na utajiri wa mafuta na gesi ni miaka ya 80 ndio wamejenga Chuo Kikuu, hiyo itakupa picha kwamba walivyokuja na Uislam hapa kwetu pia waliicha. Lakini haya Mohamed Said hataki kuyasema.
Eti Nyerere alipendelea Wakristo lakini akashindwa kupendelea watoto wake na familia yake???.
Dr Njozi naye kwenye kitabu chake amemnukuu baba wa Taifa Mwalm Nyerere akihojiwa na gazeti la Kikristo akisema natekeleza mafundisho ya YESU kwa vitendo (tafsiri yangu). Sasa sijui neno hilo ubaguzi wake upo wapi ikiwa hata Waislam wanasema wanamuamini YESU??.