Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Sasa hapo unataka maelezo? Mimi ni muandishi in the sense that I have a degree in journalism and I have worked in the media profession. Mimi si mwandishi in the sense that I have not published anything worthwhile. Context. Mukhtadha.
Unalo jengine?

Hehehe mkuu kazi kwelikweli kujadiliana na hawa wwatu, inabidi hekima na maarifa viwe mbele, bila kusahau uvumilivu, sometimes wanauzi kwelikweli lakini inabidi ujishushe kulinda sheria za jf.


Nimejifunza mengi na ninaendelea kujifunza mengi juu ya viumbe wa aina ya Ritz, zomba, barubaru, kichwakigumu na kiranja wao Mo'Said.

Hawa ni kiungo mhuhimu kwenye minakasha kama hii.
 

Mkuu mbona niliwahi kumsikia Mwalimu mwenyewe akizungumzia suala hili - alisema hata kabila la Wazanaki kuna tamaduni za aina hiyo, siyo kwa wa Kurya TU. Kwani Mwanza na Mara kuna umbali gani mpaka mtu ashindwe kuelewa tamaduni za huko?
 
Mkuu mbona niliwahi kumsikia Mwalimu mwenyewe akizungumzia suala hili - alisema hata kabila la Wazanaki kuna tamaduni za aina hiyo, siyo kwa wa Kurya TU. Kwani Mwanza na Mara kuna umbali gani mpaka mtu ashindwe kuelewa tamaduni za huko?

Sawa. Lakini Barubaru amesema makabila yote ya Mara. Mara kuna makabila zaidi ya 27 na Wakurya na wazanaki hata lugha zao zinafanana. Kwa hiyo hamna ajabu hapo. They may be sub clans. Lakini si makabila yote ya Mara yana mila hiyo.
 

hivi we YERICKO unamatatizo ya mtindio wa ubongo si ujibu swali ulizoulizwa na ndugu yako ANDREW NYERERE wacha kiburi
 
Mohamed Said, unaweza kuamini kwamba kwa kukwepa kujibu hoja za msingi unapata hifadhi ya muda, hapana unajidanganya...nakukumbusha kuwa hii ni JF...you can run but you wont be able to hide! Mimi narudi kule kule kwa EAMWS...

EAMWS ilianzishwa na jumuiya ya Ismailia mwaka 1945 mjini Mombasa, Kenya na wakati tawi lake linaanzishwa hapa nchini kulitokea upinzani mkali kutoka kwa jumuiya ya Kiislaam iliyojulikana kama Al Jamiatul Islamiyya ya Tanganyika iliyoanzishwa mwaka 1933 na unayopenda sana kuinukuu Mohamed Said. Uhusiano huu mbaya ulileta uhasama mkubwa na kutolelewana baina ya hizi jumuiya mbili...sasa maswali kwako Mohamed Said unayedai ulifanya utafiti wa muda mrefu na kuhoji mamia ya watu na viongozi mbalimbali;

  1. Je, jumuiya ya Ismailia iliyoiunda EAMWS iliwapokeaje waliokuwa viongozi na wanachama wa AMNUT?
  2. Je, kiongozi wa jumuiya ya Ismailia, AgaKhan, aliridhia hayo masalia ya AMNUT kuvamia jumuiya yake?
  3. Je, Aga Khan aliridhia malengo ya EAMWS, kubadilika na kujikita katika upinzani kwa kupambana na serikali?
  4. Je, wakati wa kuvunjwa EAMWS mwaka 1968, jumuiya ya Ismailia chini ya Aga Khan ilikuwa na msimamo gani?
  5. Je Mohamed Said katika utafiti wako, uliwahi kuuhoji uongozi wa Ismailia kuhusu kuvunjwa kwa chombo chao walichokiunda wenyewe?
  6. Na kama uliwahoji, nani hao uliowahoji na upi ulikuwa ni msimamo wao kuhusiana na hatua iliyochukuliwa na serikali?
Mohamed Said, naamini majibu ya hayo maswali unayo kama kweli ulifanya utafiti wa muda mrefu kama unavyodai ingawa kwa upande mwingine inaonekana serikali haikuwa na tatizo lolote na Aga Khan na sana sana ushirikiano ulizidi kujengeka na kuimarika hata baada ya EAMWS kuvunjwa. Inasemekana kabla ya serikali kuchukua hatua hiyo uongozi wa Ismailia ulikuwa unasononeka sana kwa vitendo vya kuingiliwa katika mipango yake na masalia ya AMNUT na waliishukuru sana serikali kwa kuingilia kati.
 
Ombi maalum kwa Shekh Mohamed Said:

Shekh kama utaridhia naomba jina la wazee wetu wa Kiimani waliopigania uhuru tuwaenzi kwa jina la Mashahidi kwani tunaona upinzani mkubwa toka upande wa pili wakisikia jina la Wazee wetu linawachoma sana! hivyo ukibadilsha na kuwaita Mashahidi au Asshuhadaa nadhani watazidi kuchanganyikiwa lakini huenda likachangia kusomwa dua nyingi toka kwa raia waadilifu!
Asante!
 
Sasa hapo unataka maelezo? Mimi ni muandishi in the sense that I have a degree in journalism and I have worked in the media profession. Mimi si mwandishi in the sense that I have not published anything worthwhile. Context. Mukhtadha.
Unalo jengine?


Hatushangai..
Product za DSJ HIZI..

HONGERA NDUGU MWANDISHI..
 
Yericko alisema Mwalimu Nyerere ni baba yake mzazi,mimi nimesema tu,that is news to me,sina taarifa. Mama yake mzazi ni nani?

ANDREW NYERERE,,
Thanks a lot brother,sasa sisi tunajiuliza hivi huyu yericko ni mtu wa aina gan hasa?
Ni mambo ya ajabu na aibu kukimbilia kujinasibisha na nasaba isiyo kuhusu,,!,mambo ya ajabu sana haya,sasa hajiskii haya na aibu hapa ndugu na wana familia wa Julius wanapofikia hatua ya kumkana wazi wazi namna hii?
Kama hiyo haitoshi akaamua kwenda kwa mods waliverify jina lake ili aonekane kama yeye hasa ni mwanafamilia au ni mtu wa ukoo huo,huu ni ulimbuken na uchakubimbi wa hali ya juu,,

THANKS A LOT BROTHER KUJA KUTUFUNGUA MACHO,KUMBE HUYU BWANA ALIKUA ANATAKA KUSAFIRIA NYOTA YA UKOO WENU TU??
TUMETAMBUA SASA,DAWA YAKE NI KUMPUUZA TUH SASA HUYU YERICKO (.......)
 
Kweli siku hizi vichaa nao wanajiita wazima!pole sana bwana sheikh ubwabwa, hapa sio kwako, rudi madrasa ukasomeshwe!

Tupo katika post ya 6058 hivi sasa,
Lakin bado unaendelea kuandika mashudu tuh hapa,
Hutafuti panapokufaaa??
 
Tupo katika post ya 6058 hivi sasa,
Lakin bado unaendelea kuandika mashudu tuh hapa,
Hutafuti panapokufaaa??
Wewe endelea kulamba mabuti ya mzee mchochezi Mohamed Saidi kwa kuwa huna uwezo wa kuchambua mambo kibwengo wewe!
 

Bi Zubeda,

Vuta subra.
 

Mag3,

Mimi hufanya lile nilitakalo.
 
Wewe endelea kulamba mabuti ya mzee mchochezi Mohamed Saidi kwa kuwa huna uwezo wa kuchambua mambo kibwengo wewe!

Uwezo wako wa kujenga hoja naufananisha na jins mzgo ulivokufanya kwenye Avatar yako,,
Ukitaka kufaham uwezo wako usipate tabu,tazama Avatar yako..
 
Naam,hoja hujibiwa kwa hoja na sio chengachenga,nadhani bwana Mohamed ametambua ya kwamba alichoandika ni uchochezi na wala sio ukweli halisi.
 

JK,

Hii hotuba sikuweza kuipata katika maandishi lakini nimeweza
kuifanyia ''reconstruction'' na Mzee Waikela.

Alinisomea ghibu yaani ''from memory.''

Waikela hakumnyooshea bakora ilikuwa kidole uso kwa uso.
Mimi sioni kama ni vitisho.

Nyerere alikuwa anagusa Uislam kwa kutaka kuuhujumu na
jibu lake lilitakiwa lirudi kwake kwa namna hatathubutu tena.

Uislam ni kitu kikukubwa kuliko chochote.
Uislam ndiyo Allah mwenyewe.

Sitopenda kurudia yale maneno ya Waikela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…