Hapana. Kwao Mama Maria hakuna mila hizo. Ndio maana nimemwambia Barubaru aache uwongo. Kama hajui kitu aulize kwanza. Mara kuna makabila zaidi ya 27 sasa huwezi kuwaweka wote kwenye kapu moja.Mama Maria aliwahi kuoa/kuolewa na wanawake wengine?
Mbona sina sababu ya kukutisha mkubwa wangu; miye nasema ninachokijua tu. Kwamba inasemekana uko miongoni mwa marecruiter wa Muslim Brotherhood Tanzania ukiwa unapigwa tafu na jamaa mmoja wa kwenye shirika maarufu la Umma. Inasadikika kuwa zipo nyaraka zinazokuunganisha wewe na baadhi ya matukio ya udini nchini. Hivyo sina sababu ya kukutisha.
Kama tunafundishwa ugaidi wewe kinakuuma nini.
Mbona uchukii ndoa za jinsia moja zinazofungwa....
Leo unaweza kunyayua sauti? hata baada ya kuaibishwa kote? amma kweli, Waswahili hunena "Mwana wa ... hata awe ndani ya chupa atatoa kidole". Swadakta.
Ishara ya kushikwa pabaya!!!!
nani kafurahia ushoga? waisalm nyie si ndo mabingwa? Mtafute Dr. Nyoni wa udsm, department ya sociology, akupe hints za mashoga. aliwahi kufanya utafiti, kujua wako wangapi tz, na atakueleza wengi wao wanatokea wapi au ni dini gani!!!!
ishara ya kushindwa hii, sasa umeamua kuhamisha mjadala!!!!
Kuna uhusiano gani kati ya hoja za Andrew Nyerere Vs Yericko Nyerere na mada husika iliyotukutanisha jamvini?
ANDREW NYERERE,,
Thanks a lot brother,sasa sisi tunajiuliza hivi huyu yericko ni mtu wa aina gan hasa?
Ni mambo ya ajabu na aibu kukimbilia kujinasibisha na nasaba isiyo kuhusu,,!,mambo ya ajabu sana haya,sasa hajiskii haya na aibu hapa ndugu na wana familia wa Julius wanapofikia hatua ya kumkana wazi wazi namna hii?
Kama hiyo haitoshi akaamua kwenda kwa mods waliverify jina lake ili aonekane kama yeye hasa ni mwanafamilia au ni mtu wa ukoo huo,huu ni ulimbuken na uchakubimbi wa hali ya juu,,
THANKS A LOT BROTHER KUJA KUTUFUNGUA MACHO,KUMBE HUYU BWANA ALIKUA ANATAKA KUSAFIRIA NYOTA YA UKOO WENU TU??
TUMETAMBUA SASA,DAWA YAKE NI KUMPUUZA TUH SASA HUYU YERICKO (.......)
hivi kwani Nyerere inamilikiwa na nani? hakuna wengine wajulikanao kwa jina hilo? kabla ya 1950's hawakuweko akina nyerere wengine?
ha ha ha ha, ndio maana mmehama mjadala, sasa mnatafuta geneology ya mtu.
Kumbe basi maneno yanayosemwa kuhusu ilehotuba hayana ushahidi wa kutosha bali ni mazungumzo kati yako na Waikela.JK,
Hii hotuba sikuweza kuipata katika maandishi lakini nimeweza
kuifanyia ''reconstruction'' na Mzee Waikela.
Alinisomea ghibu yaani ''from memory.''
Waikela hakumnyooshea bakora ilikuwa kidole uso kwa uso.
Mimi sioni kama ni vitisho.
Nyerere alikuwa anagusa Uislam kwa kutaka kuuhujumu na
jibu lake lilitakiwa lirudi kwake kwa namna hatathubutu tena.
Uislam ni kitu kikukubwa kuliko chochote.
Uislam ndiyo Allah mwenyewe.
Sitopenda kurudia yale maneno ya Waikela.
Hapana. Kwao Mama Maria hakuna mila hizo. Ndio maana nimemwambia Barubaru aache uwongo. Kama hajui kitu aulize kwanza. Mara kuna makabila zaidi ya 27 sasa huwezi kuwaweka wote kwenye kapu moja.
Ishara ya kushikwa pabaya!!!!
nani kafurahia ushoga? waisalm nyie si ndo mabingwa? Mtafute Dr. Nyoni wa udsm, department ya sociology, akupe hints za mashoga. aliwahi kufanya utafiti, kujua wako wangapi tz, na atakueleza wengi wao wanatokea wapi au ni dini gani!!!!
Hapana wewe! Usidharau shule za watu. Howard ina hadhi na historia yake ya kipekee. Na imetoa wasomi wengi tu akiwemo chief justice, akina Andrew Young, madaktari na malawyer chungu nzima.
Sawa. Lakini Barubaru amesema makabila yote ya Mara. Mara kuna makabila zaidi ya 27 na Wakurya na wazanaki hata lugha zao zinafanana. Kwa hiyo hamna ajabu hapo. They may be sub clans. Lakini si makabila yote ya Mara yana mila hiyo.
Kwisha habari yako! Sasa hapo ndiyo umejibu nini? Yaani unaleta majibu mepesi kwenye maswali magumu. Jibu hoja mzee.Mag3,
Mimi hufanya lile nilitakalo.
Na mimi hivi ndivyo ninavyokufahamu mzee wetu. Ukikutana na watu wa elimu ndogo, uelewa mdogo kama wengi wanaokwenda misikitini, yanakuwa haya yanayoendelea sasa. Wakichapwa virungu wakaswekwa ndani kisha wakipata dhamana ukakutana tena misikitini unawarudisha tena mabarabarani.Mag3,
Mimi hufanya lile nilitakalo.
Kumbe basi maneno yanayosemwa kuhusu ilehotuba hayana ushahidi wa kutosha bali ni mazungumzo kati yako na Waikela.
Kuna uwezekano Waikela au mtu mwingine akasema Nyerere aliomba radhi kwa wazee waliokuwa karibu au Nyerere aliagiza Waikela achapwe bakora. Itabidi tukubaliane na kila mmoja kinadharia bila ushahidi.
Tatizo ninaloliona hapa ni kuwa mambo yanayogusa imani hayatakiwi kuwa katika hisia. Hicho ndicho chanzo cha sintofahamu na ni wajibu wa kila mmoja wetu kuelewa hivyo. Tena unaitumia hiyo hotuba kuonyesha jinsi Waislam walivyokuwa ngangari kwa Nyerere seuse Jk. Hapa ndipo unawapandisha mori kwa jambo usilo na ushahidi nalo.
Mohamed, unafahamu kabisa kuwa dhana ni kitu lilichoharamishwa, je, hapa umetenda haki kama alivyoagiza Mwenyezi mungu?
Lakini pia kwa mtafiti hii ni failure kwasababu hakuweza kutoa proof ya kile alichoandika.
Google "father Kit Cunningham".
Kil kitu kipo waziKwisha habari yako! Sasa hapo ndiyo umejibu nini? Yaani unaleta majibu mepesi kwenye maswali magumu. Jibu hoja mzee.
Na mimi hivi ndivyo ninavyokufahamu mzee wetu. Ukikutana na watu wa elimu ndogo, uelewa mdogo kama wengi wanaokwenda misikitini, yanakuwa haya yanayoendelea sasa. Wakichapwa virungu wakaswekwa ndani kisha wakipata dhamana ukakutana tena misikitini unawarudisha tena mabarabarani.