Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mama Maria aliwahi kuoa/kuolewa na wanawake wengine?
Hapana. Kwao Mama Maria hakuna mila hizo. Ndio maana nimemwambia Barubaru aache uwongo. Kama hajui kitu aulize kwanza. Mara kuna makabila zaidi ya 27 sasa huwezi kuwaweka wote kwenye kapu moja.
 
Mbona sina sababu ya kukutisha mkubwa wangu; miye nasema ninachokijua tu. Kwamba inasemekana uko miongoni mwa marecruiter wa Muslim Brotherhood Tanzania ukiwa unapigwa tafu na jamaa mmoja wa kwenye shirika maarufu la Umma. Inasadikika kuwa zipo nyaraka zinazokuunganisha wewe na baadhi ya matukio ya udini nchini. Hivyo sina sababu ya kukutisha.

Nani asiejua ya kwamba umedharaulika na kushuka hadhi yako kwa sababu ya mihemko yako mikali ya kidini?
Pia tabia ya kuchochea chochea ndan ya chadema ya kwamba Zitto ni Muislam kwahiyo aangaliwe kwa jicho la tatu sasa ishavuja,watu wanakuangalia kwa hali ya wasi wasi sana,nyaraka zako wanazo,
hakuna siri dunia hii..
 
Kama tunafundishwa ugaidi wewe kinakuuma nini.

Mbona uchukii ndoa za jinsia moja zinazofungwa....

Ishara ya kushikwa pabaya!!!!

nani kafurahia ushoga? waisalm nyie si ndo mabingwa? Mtafute Dr. Nyoni wa udsm, department ya sociology, akupe hints za mashoga. aliwahi kufanya utafiti, kujua wako wangapi tz, na atakueleza wengi wao wanatokea wapi au ni dini gani!!!!
 
Kumbe wewe ni kundi ilo ameishakufundisha kumbe mnajuana tushukuru kwa taarifa.
 
ANDREW NYERERE,,
Thanks a lot brother,sasa sisi tunajiuliza hivi huyu yericko ni mtu wa aina gan hasa?
Ni mambo ya ajabu na aibu kukimbilia kujinasibisha na nasaba isiyo kuhusu,,!,mambo ya ajabu sana haya,sasa hajiskii haya na aibu hapa ndugu na wana familia wa Julius wanapofikia hatua ya kumkana wazi wazi namna hii?
Kama hiyo haitoshi akaamua kwenda kwa mods waliverify jina lake ili aonekane kama yeye hasa ni mwanafamilia au ni mtu wa ukoo huo,huu ni ulimbuken na uchakubimbi wa hali ya juu,,

THANKS A LOT BROTHER KUJA KUTUFUNGUA MACHO,KUMBE HUYU BWANA ALIKUA ANATAKA KUSAFIRIA NYOTA YA UKOO WENU TU??
TUMETAMBUA SASA,DAWA YAKE NI KUMPUUZA TUH SASA HUYU YERICKO (.......)

hivi kwani Nyerere inamilikiwa na nani? hakuna wengine wajulikanao kwa jina hilo? kabla ya 1950's hawakuweko akina nyerere wengine?

ha ha ha ha, ndio maana mmehama mjadala, sasa mnatafuta geneology ya mtu.
 
Nyerere wapo wengi sana...tatizo kujinasibisha kuwa mtoto wa Julius Kambarage.
 
JK,

Hii hotuba sikuweza kuipata katika maandishi lakini nimeweza
kuifanyia ''reconstruction'' na Mzee Waikela.

Alinisomea ghibu yaani ''from memory.''

Waikela hakumnyooshea bakora ilikuwa kidole uso kwa uso.
Mimi sioni kama ni vitisho.

Nyerere alikuwa anagusa Uislam kwa kutaka kuuhujumu na
jibu lake lilitakiwa lirudi kwake kwa namna hatathubutu tena.

Uislam ni kitu kikukubwa kuliko chochote.
Uislam ndiyo Allah mwenyewe.

Sitopenda kurudia yale maneno ya Waikela.
Kumbe basi maneno yanayosemwa kuhusu ilehotuba hayana ushahidi wa kutosha bali ni mazungumzo kati yako na Waikela.

Kuna uwezekano Waikela au mtu mwingine akasema Nyerere aliomba radhi kwa wazee waliokuwa karibu au Nyerere aliagiza Waikela achapwe bakora. Itabidi tukubaliane na kila mmoja kinadharia bila ushahidi.

Tatizo ninaloliona hapa ni kuwa mambo yanayogusa imani hayatakiwi kuwa katika hisia. Hicho ndicho chanzo cha sintofahamu na ni wajibu wa kila mmoja wetu kuelewa hivyo. Tena unaitumia hiyo hotuba kuonyesha jinsi Waislam walivyokuwa ngangari kwa Nyerere seuse Jk. Hapa ndipo unawapandisha mori kwa jambo usilo na ushahidi nalo.

Mohamed, unafahamu kabisa kuwa dhana ni kitu lilichoharamishwa, je, hapa umetenda haki kama alivyoagiza Mwenyezi mungu?

Lakini pia kwa mtafiti hii ni failure kwasababu hakuweza kutoa proof ya kile alichoandika.
 
Hapana. Kwao Mama Maria hakuna mila hizo. Ndio maana nimemwambia Barubaru aache uwongo. Kama hajui kitu aulize kwanza. Mara kuna makabila zaidi ya 27 sasa huwezi kuwaweka wote kwenye kapu moja.

Usije ukabadili kauli ikawa mara "mimi mwandishi" mara "mimi si muandishi".
 
Ishara ya kushikwa pabaya!!!!

nani kafurahia ushoga? waisalm nyie si ndo mabingwa? Mtafute Dr. Nyoni wa udsm, department ya sociology, akupe hints za mashoga. aliwahi kufanya utafiti, kujua wako wangapi tz, na atakueleza wengi wao wanatokea wapi au ni dini gani!!!!

Google "father Kit Cunningham".
 
Hapana wewe! Usidharau shule za watu. Howard ina hadhi na historia yake ya kipekee. Na imetoa wasomi wengi tu akiwemo chief justice, akina Andrew Young, madaktari na malawyer chungu nzima.

Kihistoria Chuo Kikuu hicho kilianzishwa kwa madhumuni gani? %ge kubwa ya wanafunzi inatoka kwenye ethinic group hipi na kwa NINI?
 
kwa wadandiaji tu, ambao hawakufuatilia uzi tangu mwanzo.

ritz, zomba na wengine, wameanza kuyumbisha uzi huu kuanzia page ya 298, kwa kuchokonoa geneology ya mleta uzi. Kuanzia hapo wanajaribu kuhamisha mjadala, tutoke kwenye uchochezi, twende kwenye kujadili geneolgy ya Nyerere!!!!

hii ni ishara ya kushindwa. soma page 298, 299, 300, 301,.....utawaelewa hawa jamaa zetu, wapenda damu ya binadamu wenzao!
 
Sawa. Lakini Barubaru amesema makabila yote ya Mara. Mara kuna makabila zaidi ya 27 na Wakurya na wazanaki hata lugha zao zinafanana. Kwa hiyo hamna ajabu hapo. They may be sub clans. Lakini si makabila yote ya Mara yana mila hiyo.

Ni hodari wa kubadili chords.
 
Mag3,

Mimi hufanya lile nilitakalo.
Na mimi hivi ndivyo ninavyokufahamu mzee wetu. Ukikutana na watu wa elimu ndogo, uelewa mdogo kama wengi wanaokwenda misikitini, yanakuwa haya yanayoendelea sasa. Wakichapwa virungu wakaswekwa ndani kisha wakipata dhamana ukakutana tena misikitini unawarudisha tena mabarabarani.
 
Kumbe basi maneno yanayosemwa kuhusu ilehotuba hayana ushahidi wa kutosha bali ni mazungumzo kati yako na Waikela.

Kuna uwezekano Waikela au mtu mwingine akasema Nyerere aliomba radhi kwa wazee waliokuwa karibu au Nyerere aliagiza Waikela achapwe bakora. Itabidi tukubaliane na kila mmoja kinadharia bila ushahidi.

Tatizo ninaloliona hapa ni kuwa mambo yanayogusa imani hayatakiwi kuwa katika hisia. Hicho ndicho chanzo cha sintofahamu na ni wajibu wa kila mmoja wetu kuelewa hivyo. Tena unaitumia hiyo hotuba kuonyesha jinsi Waislam walivyokuwa ngangari kwa Nyerere seuse Jk. Hapa ndipo unawapandisha mori kwa jambo usilo na ushahidi nalo.

Mohamed, unafahamu kabisa kuwa dhana ni kitu lilichoharamishwa, je, hapa umetenda haki kama alivyoagiza Mwenyezi mungu?

Lakini pia kwa mtafiti hii ni failure kwasababu hakuweza kutoa proof ya kile alichoandika.

Nguruvi.. unadhani hata hayajulikani yaliyojiri mle? Mbona yanajulikana sana. Mzee mmoja ambaye sasa ni marehemu aliwahi kunisimulia (yeye alikuwa anatoka Tanga) kuwa baada ya Waikela kujaribu kutoa hotuba yake hiyo, Nyerere alisimama na kumuuliza swali moja tu: Sisi sote tumepigania uhuru kama Watanganyika tukisisita usawa wa utu wa kila mtu bila kujali kabila na dini kwanini leo unataka kuleta mambo ya dini? Inasemekana Waikela aliinamisha kichwa chini na hakuna mtu yeyote aliyesimama kumuunga mkono kama alivyotarajia.

Ni baada ya kutoka hapo ndio tetesi zikaanza kusema ati Waikela kambwatukia Nyerere na hivyo watu wakamchukulia kama shujaa. Inasemekana Nyerere aliviagiza vyombo vya usalama vimuache Waikela aende anakokwenda na kupokelewa anavyopokelewa miongoni mwa makundi ya Waislamu. Kundi kubwa la Waislamu waliokuwa wanajua ile fitna ambayo Waikela alitaka kuileta walimuacha apotee katika historia.
 
Na mimi hivi ndivyo ninavyokufahamu mzee wetu. Ukikutana na watu wa elimu ndogo, uelewa mdogo kama wengi wanaokwenda misikitini, yanakuwa haya yanayoendelea sasa. Wakichapwa virungu wakaswekwa ndani kisha wakipata dhamana ukakutana tena misikitini unawarudisha tena mabarabarani.

WildCard,

Una chuki sana na Waislam pambana na Mohamed Said usipambane na Misikiti na Waislam dhihaka na kejeli zako wewe siyo wa kwanza toka karne ya 7 watu wanaukejeli na kudhihaki wote saizi wametangalia mbele ya haki Uislam unasonga mbele sembuse wewe.
 
Back
Top Bottom