Ndugu yangu, pengine wewe humfahamu huyu Prof Maliki.
Huyu jamaa katika theory zake na Mohamed athibitishe kama ni uongo, mara zote alikuwa akisema dhulma kwa waislam wa Tanzania(kumbuka huyu ni mpakistan) haiwezi kukabiliwa kwa kutumia watu wa daraja la juu.
Ni lazima ziwepo jitihada za kuufanya umma ujitambue kuwa unadhulumiwa kwasababu nguvu kubwa ipo katika umma wa mtaani.Hivyo ni lazima jitihada zifanyike kwa watu wa chini .
Apparently hakuongea jambo baya, kimsingi alichokuwa anaongea ni kuwa lazima watu wasio na uelewa wachochowe kwanza kwani wao ndio fire engine.
Haya tunayoona ya kutafuta sababu za kuumba umba, kumfanya Nyerere kama mhalifu mkubwa sana, kutafuta sababu za kulihusisha kanisa katika mambo ya uislam na kutoeleza ukweli kama uongo wa namba za mitihani na NECTA lengo lake si kumsaidia mtu ajitambue ni kuchochea watu kwa kutowaambia ukweli.
Huwezi kuwa na shule imefungwa kwa kukosa wanafunzi halafu ukawaambia wakazi wa eneo hilo tatizo ni mfumo kristo na NECTA ni kigango cha kanisa. Huu ndio ujinga wa kuifanya jamii hiyo isijitambue bali ijitambue kubeba mawe hata kama haina sababu. Sikiliza DVD ya Ilunga ambaye ni mshirika wa Mohamed.
Wao wanasema Ua Askofu kwa siri maana imesisitizwa katika Korani. Think about that!
Hatusemi kwa kubuni tunajua akina Mohamed na misision zao za kuliangamiza taifa, sio siri hili hata Mohamed analijua. Huwezi kuzua uongo kama wa namba za mitihani ambazo huko mitaani wanajua ni dhulma halafu ukasema unalitakia heri taifa hili.
Mapambano kama ya Geita sio wote wanasikitika, wapo wanaofurahi kazi zao zimeanza kutoa matunda waliotaraji.
Kwamba nafsi za wanadamu kwao si kitu, muhimu watekeleze azma zao.
Mauaji ya Rwanda yalichanganiwa sana na viongozi wa dini ya kikristo, usidhani hilo haliwezi kutokea kama hatutachukua hatua za kuwakemea hawa ''wapakistani'' wanaotaka kulivuruga taifa.
Wana supply nzuri tu ya pesa, so don't under estimate the impact and legacy of Malik.