Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Hapo huna mke una hawara mke ni yule ambaye sheria zilizowekwa na mungu zinamtambua,hapo unaposea hutambui swali la dini ni pumzi ndio zinazokupa kiburi subiri zitakapo katika
Actually, nasubiri wajukuu sasa. Kama hiyo sio kazi na baraka za Mungu tutajua huko mbele ya safari. Tuliache hilo. Halina uhusiano na mada ya Yericko. Hii ndio nchi waasisi halisi wa Taifa hili walootuachia. Unaoa/kuolewa na yeyote. Unachagua/kuchaguliwa na yeyote.
 
Inasemekana Mohamedi Saidi anapokea pesa nyingi sana kutoka serikali ya Irani kwa makubaliao ya kazi mbili.

Moja,kuhakikisha anamwaga sumu ya udini kwa waislaam wote ili kuuondoa mfumo kristo kwa njia ya vita vya kidini.
Pili,kuhakikisha anawasaidia Al-shabab ya Somalia kwa njia yoyote ile ilimradi wanashinda mapambano yao dhidi ya wakenya na mwisho wa siku waiongoze Somalia kwa sheria za kiislaam.
 
Hizo ndio mbinu na ujanja wenu.Mumeutumia kwa muda mrefu lakini hamjajifunza kuwa hauwezi kuleta ufumbuzi wa tatizo lililopo mezani.Mnaposhindwa kutoa haki mnaleta visingizio mara ni mnyarwanda mara ni mpakistan.
Badala kutoa dhamana kwa sheikh Ponda mnatumia msururu wa polisi kuzima malalamiko.Mtaweza?.
Matukio ya udini yanayomuunganisha Mohammed na udini ni yepi?.
 

BD, "Ulil albab" hawadanganyiki kirahisi hivyo.
 

WC,

Umekosea shabaha yako kulenga.
Hayo ni matokeo ya dhulma.

Waislam tumebanwa katika elimu.
Wanetu hawapiti NECTA.

Sheikh Hassan bin Amir heshima na
hadhi yake iko juu sana kwa Waislam.

Hayo uloeleza hapo juu ndiyo tunayosubiri
Insha Allah tuzungumze na serikali wakati
ukifika.
 

Si unaona hata kwenye Ukristo simo nina wake wawili? Wangu mimi moto na jehanam tu. Ninyi wenye DINI zenu zinazowatuma kuua wengine kwa jina la Mungu sijui niwaiteje.
 

WC, kama unampenda huyo hawara wako kikweli, mwambie maneno haya, ajue kama yeye ni muislamu aachane na wewe haraka na kisha atubie kwa mola wake vinginevyo anaichungulia jahannam.
 
Mzee Mohamed,
Ni wanenu wepi hao wasiopita NECTA? Wa kuzungumza na serikali ni akina nani?
 
Si unaona hata kwenye Ukristo simo nina wake wawili? Wangu mimi moto na jehanam tu. Ninyi wenye DINI zenu zinazowatuma kuua wengine kwa jina la Mungu sijui niwaiteje.

Kwenye ukirsto haumo lakini ni mtetezi mkubwa wa Kanisa na mfumo kirsto. Naona unajichanganya si wewe ndiyo uliyekuwa unanipa darsa la Ukatoliki nilivyokuambia Nyerere alikuwa analelewa na Padri.
 

BD,

Sikutaka kukujibu lakini kwa hili nitakujibu kukuondoa wasiwasi.

Wala hizo taarifa hazihitaji kuwa za chini ya kapeti.

Zanzibar nakwenda sana.

Nikifika Zanzibar lazima kwanza nikamsabahi Sheikh Mselem bin Ali,
Sheikh Farid na wote masheikh vijana.

Uamsho wananifahamu vizuri sana na ninatafakhari kujuana na watu
kama hawa.

Sisi malezi yetu tumefunzwa kufanya usuhuba na watu wema.
Na hakika hawa ni watu wema sana kwangu.

Hakika nikifika Zanzibar kila mtu anataka kukutana na mimi na katika
mialiko hii ya chai, chakula huwa tunazungumza mengi sana kuhusu
dini yetu.

Huwa siishii katika Uislam.

Napata mialiko mingi kutoka kwa wanasiasa huwa wana hamu ya ''kupigizana''
kelele na mimi.

Huenda hili hulijui lakini mimi ni mzungumzaji mzuri sana tena wa kuvutia hisia.
Ukikutana na mimi mara moja tu.

Tutaunga urafiki wa maisha.

Na ninao marafiki wa namna hii dunia nzima.

Turudi Zenj.

Hakika Zanzibar ni nyumbani kabisa.

Unajua mimi nilikuwa mtafiti msaidizi katika kile kitabu maarufu kuhusu historia
ya mapinduzi ya Zanzibar - ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru...'' cha Dk Ghassany.

Kwa hiyo ushajua ushawishi wangu kwa Wazanzibari.

Kuhusu Iran nimealikwa Iran na Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje na tulikuwa ujumbe
mkubwa tu kutoka Tanzania pamoja na maofisa wa serikali na watu wa magazeti na TV.

Hilo na Al Shaabab wala sitalizungumza hilo nakuachia wewe...
Hizi anga ni zako na Mwanakijiji mie siingii humo nachelea kuwa kichekesho.
 
Mkuu baada ya kubanwa kwenye Id yako ya Yericko Nyerere naomba umekuja kivingine

......

Join Date : 26th June 2012
Posts : 405
Rep Power : 415
Likes Received54
Likes Given
7

ha ha ha hah sikushangai, wewe ni mchanga kwangu kwa matumizi ya JF ya muda mrefu, waulize wenzio!!! mie nasomeka hivi.

Join Date : 30th August 2011
Location : Mwilavya
Posts : 3,870
Rep Power : 1324
Likes Received834
Likes Given379
 
WC, kama unampenda huyo hawara wako kikweli, mwambie maneno haya, ajue kama yeye ni muislamu aachane na wewe haraka na kisha atubie kwa mola wake vinginevyo anaichungulia jahannam.
Ushauri wako mzuri lakini umechelewa. Tunasubiri wajukuu mimi na huyu mama. Msikitini anakwenda kama kawaida!
 
Ikiwa hizi ndizo nyendo zako na hawa ndio marafiki zako wakubwa, kuna haja ya serikali kuwa karibu zaidi nawe.
 
Ikiwa hizi ndizo nyendo zako na hawa ndio marafiki zako wakubwa, kuna haja ya serikali kuwa karibu zaidi nawe.

Tatizo lako unataka kuwasemea Waislam bahati mbaya uwafahamu Waislam hao ndiyo wanapendwa na Waislam.
 
Tatizo lako unataka kuwasemea Waislam bahati mbaya uwafahamu Waislam hao ndiyo wanapendwa na Waislam.
Hata Osama alikuwa anapendwa sana na Waislam. Alikuwa anaua wasio na hatia kwa kutumia jina la Mungu!
 
Hata makanisani ndio usiseme! Ndio maana nakwambia sihangaiki na DINI hizi za watu, zinazoongozwa na watu, kwa maslahi ya watu.

Wewe unachoangaika ni kutetea mfumo kristo na kukejeli Waislam.
 
Wewe unachoangaika ni kutetea mfumo kristo na kukejeli Waislam.
Natamani huo MfumoKristo ungekuwepo kweli. Jakaya asingekuwa hapo alipo. Watu tusingeanza kuchinjana badala kuchinja kitoweo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…