Hata waziri/naibu wa elimu/wakurugenzi wote baraza la mitihani/necta/watungaji/wasahihishaji mitihani wote wangekuwa ni waislam, bado waislam mngeendelea kulalama kuna mfumo kristo. Mkristo hana sababu ya kulalamikia NECTA ukizingatia mitihani ipo pale karibu mwaka mzima baada ya kusahihishwa...kama umeonewa ni suala la kuappeal tu...
Ritz,
Naona mnakasha umeisha. Unamfahamu marehemu Benedict Maato? Unamfahamu marehemu Oswald Marwa Mang'ombe?
Unamfahamu mzee Muga? Na Suleiman Kitundu je?
Acha kuniwekea maneno mdomoni sijakuambia Uislam wetu unatofautishwa na Qur'an na Sunna,
Ili kuwa Muislam lazima ufuate Qur'an na Sunna kwa pamoja.
Sikuwekei ndivyo ulivyojibu,
Sasa nakuuliza upya, je uislamu wa wewe pamoja na kundi lenu linaloongozwa na Mohamed Said, unatofautiana kwa lupi na ule wa Shehe Issa bin Simba?
"Mimi si mwandishi"
...Hata mimi ni muandishi ingawa sijachapisha kitu...
Moja ya athari kubwa zilizojaa katika maandiko yako ni kama hivi hapa, unataka kutulisha ngano kuwa mzee Kitundu alikuwa na manung'uniko/chuki/kihoro dhidi ya Nyerere.Jasusi,
Mzee Suleiman Kitundu,
Siku zake za mwisho tukawa tunaswali sala ya dhuhr
Msikiti wa Kitumbini pamoja kila siku.
Tukafahamiana kwa kuonana lakini hatujuani.
Mie kila nikimtazama naingiwa na simanzi.
Naisemeza nafsi yangu.
Huyu si yule Kitundu aliyekuwa bega kwa bega
na Nyerere ndani ya TANU na serikali kuupiga vita
Uislam na EAMWS...
Sasa anaswali.
Kipindi hicho Waislam wako taabani.
Hatufurukuti.
Basi siku hiyo nikamfuata pale msikitini nikamsalimu.
Nikamwambia nataka nimpe paper niloandika kuhusu EAMWS.
Akafurahi sana.
Siku ya pili nafika msikitini simuoni Mzee Kitundu.
Namtafuta nimpe ile paper.
Nawauliza waumini kama kuna mtu kamuona Mzee Kitundu.
Jamaa wakaniambia Mzee Kitundu kafariki ghafla usiku wa
kuamkia leo.
Sikuwekei ndivyo ulivyojibu,
Sasa nakuuliza upya, je uislamu wa wewe pamoja na kundi lenu linaloongozwa na Mohamed Said, unatofautiana kwa lupi na ule wa Shehe Issa bin Simba?
Wajita na jamii yao pekee ndio hawana mila hii. Wakiroba nao ni Wakurya sana tu. Waikizu, Waisenye, Wanatta, Wakabwa, Waikoma, Wangoreme, ..., wote wanaizingatia na kuitekeleza vizuri tu mila hii. Kusudio kubwa la mila hii ni kumwokoa mama au baba ambaye hakubahatika kupata mtoto wa kiume jina la familia yake lisipotee. "Wajukuu" wa aina hii wanakuwa adopted kama unavyomwona Mario Balloteli wa AC Milan.Asante kwa tuisheni. Je, hata Waikizu na Waisenye pia wanazingatia mila hizi? Mimi nimekulia Musoma mjini na haya mambo sikuyaona sana pale kwa sababu wakazi wengi, kama ulivyosema, ni Wajita, Waruri, Wakwaya na Wakiroba.
Hapa sasa unataka kumuudhi mzee wetu Mohamed. Uislamu wake ni bora zaidi. Ndio maana hata ajifiche kona ipi ya msikiti jina lake likitajwa tu hata sheikh wa siku hiyo anasahaulika! Haukumsoma nini.Nakujibu tena ili kuwa Muislam lazima ufuate vitu viwili Qur'an na Sunna, Uislam hauna mfuasi wala kundi la mtu. Uislam ni dini ya ALLAH wote tunajisalimisha kwake.
Nyie ndiyo wafuasi wa Yesu kwenye Uislam hakuna kitu kama hicho wala hakuna aliye bora zaidi ya mwingine mmbora ni yule anayemcha ALLAH.
Hayo ndio baadhi ya mapungufu ya wazi ya DINI yenu. Kwani mimi mbwa au ng'ombe? Hamtaki tu Quran isailiwe vizuri ili muondokane na mapungufu mengi yaliyoko mle. Yamewadumaza sana. Mnakubali Mtume( S.A.W) alikuwa mwanadamu kama sisi lakini mapungufu yake ni taboo kuyataja!Huyo mkeo si Muislaam ni murtaad, mwanamke wa kiislaam akiolewa na mwanamme ambae si Muislaam anakuwa amejitowa katika Uislaam. Asikae anajidanganya kuwa yeye ni Muislaam.
Hapa sasa unataka kumuudhi mzee wetu Mohamed. Uislamu wake ni bora zaidi. Ndio maana hata ajifiche kona ipi ya msikiti jina lake likitajwa tu hata sheikh wa siku hiyo anasahaulika! Haukumsoma nini.
Kwa Italia ukatoliki ni kama ulivyo Uislam kule Zanzibar.WildCard,
Vipi Benito Mussolini, alikuwa anapenda kuvaa msalaba alikuwa Mkatoliki sana?
Kaandika mwenyewe humu. Zipitie post zake za leo. Mzee yuko mbali sana na DINI hii kuliko ninyi nyote combined.Naona hoja zimeisha unaleta viroja.
Hayo ndio baadhi ya mapungufu ya wazi ya DINI yenu. Kwani mimi mbwa au ng'ombe? Hamtaki tu Quran isailiwe vizuri ili muondokane na mapungufu mengi yaliyoko mle. Yamewadumaza sana. Mnakubali Mtume( S.A.W) alikuwa mwanadamu kama sisi lakini mapungufu yake ni taboo kuyataja!
Mapenzi hayana DINI, KABILA wala RANGI.