Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wewe badala ya kulialia hapa, mtake Mwanakijiji alete ushahidi dhidi ya tuhuma dhidi yako!

G,

Ungeondoa hilo neno ''kulialia'' ningekujibu.
Nadhai unaelewa huwa sijiingizi katika kejeli.

Tulia andika kwa adabu tutajadili.
 
Mawazo ya Mohamed Said,siyo ya kuigwa kwa Mtanzania mwenye akili timamu.Sijajua umri wako lakini aliyekupeleka shule bila shaka ni Nyerere.Usisahau Fadhila.Yericko nakupongeza sana kwa kumwelimisha Mohamed anakoelekea ni pabaya.Watanzania tushikamane na suala la Udini ni la kukemewa katika vizazi vyote.
 

Mbona unaangaika na Multiple's ID's. Mohamed Said habari ingine.
 

Megiroo,

Mimi niko humu kukemea udini au hujui hilo.
Umeingia katikati ya mnakasha?

Tuko hapa karibu mwezi sasa toka'' Maaskofu...'' hadi
''Uchochezi...''

Hebu rudi soma nyuma.
Ila kukupa mambo yalivyo angali hii hapa na nipe jibu:

The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2]Ibid. p 37.

Ikiwa mambo ndiyo haya vipi utampongeza Yericko Nyerere?
 
Source:Mfumo Kristo: Matatizo ya Waislamu ni historia ya Kanisa kuishinikiza serikali
 
Usihukumu usichokijua. Sijawahi kusoma DSJ. Jaribu Howard University Marekani na University of Maryland College Park tuone.

Howard au Maryland inaweza kua kweli kwani hivyo vyuo vipo.
Kinachoongewa ni hapa ulituchanganya wasomaji wa huu izi kwa kauli zako
Au ni ile inayoitwa unasema uongo mpaka unasahau kwamba umesema uongo.
Hizi ndio ishara za muongo, anaongea uongo halafu anasahau aliyosema mwanzo.
 
G,

Ungeondoa hilo neno ''kulialia'' ningekujibu.
Nadhai unaelewa huwa sijiingizi katika kejeli.

Tulia andika kwa adabu tutajadili.
Sikukuuliza swali wala sikutaka taarifa yoyote, nilikushauri umtake Mzee Mwanakijiji athibitishe tuhuma zake dhidi yako basi. Ni juu yako kuzipokea tuhuma hizo au kumtaka MM athibitishe!
 
Mohamed Said,

..kama Mzee Waikela alimnyooshea kidole Mwalimu Nyerere, tena wewe unaongezea kwamba ni uso kwa uso, then hapo issues inatoka kuwa Nyerere vs Uislamu, na kuwa Waikela vs Nyerere.

..Kwa kweli alichofanya Mzee Waikela kilikuwa sawa na kumvuta simba sharubu zake. Sasa kilichomtokea, ingawa kinasikitisha, siyo kitu cha ajabu.

..I wish tungeipata hotuba ya Mzee Waikela, maana mimi napenda sana visa vya kihistoria kama hivyo.
 
Last edited by a moderator:


Ahali yangu nafikiri wewe huijui kabisa mara. kifupi huko sio tu kuna wakrya lakin kuna vikabila vidogo vidogo vingi sana ikiwemo hao wazanaki na mila zao zinafanana kabisa.

mimi kama mtu kutoka pwani kuna mengi sana katika mila za watu huko yalikuwa yananistahajabisha ikiwemo hiyo ya Mwanamke kuweza kumuoa mwanamke mwenzake na ile mila ya kukeketa.

kumbuka nimekaa sehemu hizo for six years na nilijifunza mengi sana.

Pole sana
 
Wewe ni kipi kinachokufanya unihoji Uislam wangu.

Mimi mbona sijahoji Ukirsto wako.
Ritz, kwanini unanibatiza bila ridhaa yangu? nimesha watangazia kuwa mimi ni "adent ATHEIST" na wala sijawahi kujutia hali hiyo. Nawaonea huruma nyie mnae kesha hapa mkitetea imani zenu ambazo hamziishi!
 

Inna Lillah wainna illaih rajihunna.
 


Nafikiri Yericko hujamsoma vizuri Moh'd Said, Kifupi kama utakuwa umekisoma kisa na mbinu zilizotumiwa na Nyerere katika kuuwa EAMSW tawi la Tanganyika na kuanzishwa kwa BAKWATA walitumiwa mmoja ni huyo mzee Kitundu na Adam nasib,

Mimi nafikiri alikufa kwa kihoro sana kuona siri imefichuka na kila kitu alichotenda kipo hadhwarani tena mchana kweupeeee na mola atamlipa kwa kila alilotenda.
 
Sikukuuliza swali wala sikutaka taarifa yoyote, nilikushauri umtake Mzee Mwanakijiji athibitishe tuhuma zake dhidi yako basi. Ni juu yako kuzipokea tuhuma hizo au kumtaka MM athibitishe!

G,

Mimi huwa sitishiki.
Namuogopa Allah.

Na Allah kaahidi kuwa
atakae muogopa yeye

Allah atamfanya asiogope
kitu chochote duniani.

Ndiyo maana sikushughulika
kutaka uthibitisho.

Uthibitisho unisaidie nini?
 
G,

Mimi huwa sitishiki.
Namuogopa Allah.

Na Allah kaahidi kuwa
atakae muogopa yeye

Allah atamfanya asiogope
kitu chochote duniani.

Ndiyo maana sikushughulika
kutaka uthibitisho.

Uthibitisho unisaidie nini?
Ulikuwa na sababu gani ya kulalamika?
 

JK,

Waikela alimsimanga Nyerere.

Kwa ufupi alimwambia usingekalia kiti kama
si sisi Waislam kukuweka hapo.
 
Ritz, kwanini unanibatiza bila ridhaa yangu? nimesha watangazia kuwa mimi ni "adent ATHEIST" na wala sijawahi kujutia hali hiyo. Nawaonea huruma nyie mnae kesha hapa mkitetea imani zenu ambazo hamziishi!

Samahani kwa kukuita wewe Mkirsto nikisoma post zako nilifikiri wewe ni Mkirsto.

Hata mimi nakuonea huruma sana unavyotumia nguvu nyingi kupambana na Uislam na Waislam na kukesha JF kejeli na kudhihaki Uislam.

Bahati mbaya au nzuri toka karne ya 7 watu walikuwa wanaokejeli Uislam na kuhudhihaki leo hawapo tena na Uislam unasonga mbele kwa kasi ya ajabu na wewe muda wako utafika utatangulia mbele ya haki Uislam utazidi kusonga mbele.

Natarajia matusi mapya na kejeli kutoka kwako.
 
Lakini si nimejifafanua? Mbona Zomba kanielewa? Au unataka nirudie nilivyosema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…