Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Huyu nimekaa nae jirani,sidhani kama ni wa enzi hizo
 
R,

Mabucha yale yalikuwa yanavunja sheria ndogo za mji.

Kuna vyombo vinavyosimamia hizo sheria ile ilikuwa ni kujichukulia sheria mkononi,

Japo yale mauaji hata mimi siafikiani nayo ila upande wa pili hata Waislam wale walikuwa na makosa
 

Hiyo elimu aliyoiacha iko wapi? sisi ni wa mwisho kwa elimu katika Jumuia ya Afrika Mashariki ya wakati huo, mpaka leo hii hatujawakamata, wametuacha mbali sana, ndio kwanza tunaona vyuo vikuu vipya zaidi ya 11 wakati wa Kikwete.
 

Hisia tu ndo zimejaa kwenye hiyo paper

Ushahidi hakuna
 
Mkuu, umejuaje kama hisia zangu ni za kipuuzi? naomba uthibitishe maana matusi si mafundisho ya Bwana Yesu!

Upuuzi ni kufanya/kutenda yale yasiyo na mafaa kw jamii ama hata kwa mpuuzi husika,

Upuuzi sio tusi bali ni sifa ya mpuuzi.
 

Naam, nikimfaham sana na mkabala walikuwa washindani wake kibiashara (kama hiyo yake) kina Bin Gurnah (nadhani hawa ni Wayemen wenye asili ya Kiyahudi, kwa hilo jina) ambao wapo pale pale mpaka leo hii.

Mag3 mchakachuaji tumemstukia vibaya sana jana, hana hamu.
 
Naam, nikimfaham sana na mkabala walikuwa washindani wake kibiashara (kama hiyo yake) kina Bin Gurnah (Wayemen wenye asili ya Kiyahudi) ambao wapo pale pale mpaka leo hii.

Someni ile pepa ya John inaeleza kila kitu juu ya Ramadhani Alii acheni kuweka hisia zenu.

Shehe Isaa bin Amir mmemkana kuwa hammjui, lakini katika hali ya kushangaza tena hammjui Ramadhani Alii mzaramo mfanyabiashara nguli wa enzi hizo katika viunga vya Gerezani?
 
Alikuwa akimleta Muislamu wakati wa kuchinja ok! jee, kabla ya kumwingilia Mama ako alimleta Shehe wa kumfungisha ndoa? au walifunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya?
Dada Zubeda, wewe uliwahi kuwa shahidi au kushuhudia mama yako akiingiliwa na baba yako? Kama uliwahi, basi hii ni sababu ya wewe kukosa adabu na kuwa akili mbovu unayoionesha hapa. Labda mzee Mohamed Saidi atusaidie kama uislam unaagiza wewe binti wa kiislam unatakiwa kumsimamia baba yako akimuingilia mama yako!
copy Mohamed Said.
 
Sivyo ulivyo waza, Ramadhani Alii anabaki kuwa alama isiyofutika katika historia ya AA chini ya uvuli wa ukwasi wake akihudumu katika sekta ya uvuvi,

Msipindishe ukweli na kuweka hisia zenu
 

Ndugu zanguni,

Inatosha.

Tusameheane na tuendelee na mnakasha kwa amani
na heshima zetu.

Haifai sisi kutoleana maneno yasiyofaa.
 
Ndugu zanguni,

Inatosha.

Tusameheane na tuendelee na mnakasha kwa amani
na heshima zetu.

Haifai sisi kutoleana maneno yasiyofaa.
Mzee Mohamed Saidi, unaogopa kumkanya binti yako zubeda kwa maneno yake aliyoyaandika hapa? unataka kumfurahisha kwa sentensi uliyoiandika hapa? Huu ndio uislam?
 
wacha uwongo wewe akina Gurnah hawana hata iorta ya uchembe wa kiyahudi
 
Zomba, hayo yanamhusu yeye na imani yake sio mimi ambaye uislam haunihusu.
 
Mohamed Said, Kuna wototo wawili wa Skeys mmoja anaishi Canada na mwingine Uswisi ni watoto Ally au merehemu Abdulwahid.
 
Nashangazwa hata na mimi leo waliozibwa midomo, walionyimwa haki zao wakisema yaliyowakuta inakuwa uchochezi?

Hivi hao wahadzabe, Nyerere aliwafanyia nini kwa miaka 24 aliyokaa madarakani?

Lakini leo Kikwete kawawekea shule kila kata.

Shule za kata zisizo na waalimu. Shule za kata ambako wanafeli 60%? Ni kitu cha kujivunia kweli? What a shame!
 
wacha uwongo wewe akina Gurnah hawana hata iorta ya uchembe wa kiyahudi

Kaa kimya wewe umeulizwa ulikuwa unakaa nao wapi? walikuwa wanafanya biashara gani? huna jibu.

Kina Gurnah uliza kisutu yote wanajulikana kama wamechanganya damu usipende kudandia mambo wewe mtoto wa kiume unatupa mashaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…