Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Shule za kata zisizo na waalimu. Shule za kata ambako wanafeli 60%? Ni kitu cha kujivunia kweli? What a shame!

Kwanza jiulize hiyo 40% waliopasi ni wangapi halafu tuambie wakati wa Nyerere walikuwa wangapi wanafanya mtihani wa sekondari? usije ukakuta hiyo 40% ni wengi kuliko miaka yote ya nyerere.
 
Zomba, hayo yanamhusu yeye na imani yake sio mimi ambaye uislam haunihusu.

Sasa kwanini uliuliza? "sasa sijui kama alipoteza uislam wake au vipi!"

Aulizae ataka kujuwa, na sasa umejuwa.
 

Mwanafunzi wa Mohamed huyo usishangae
 
Mwanafunzi wa Mohamed huyo usishangae
Upo sahihi ndugu yangu, Mohamed aliyaona majibu yangu kwa zubeda na akayafanyia kazi, lakini mitusi ya binti yake amefumbia macho na ndio maana mpaka sasa yuko kimya kana kwamba hajayaona. Naamini yamemfurahisha kwani muislam kamutukana kafiri!
 
wacha uwongo wewe akina Gurnah hawana hata iorta ya uchembe wa kiyahudi

Nisome vizuri huko juu, au nikukumbushe nilivyooandika? jikumbushe: "(nadhani hawa ni Wayemen wenye asili ya Kiyahudi, kwa hilo jina)

Sasa wewe kama unawajua vizuri, kiasi hicho, ni vyema, wala hatubishani kwa hilo. Nna-mfaham sana AbdulRazaq Gurnah, siku nikimpata ntamuuliza vizuri asli yao ikoje.
 

Si iweke hapa, ya mwenzio ilipigwa chini jana.
 
Historia itasimama huru, kamwe haitiyumbishwa na yeyote mwenye husda na yaluyomo.

Mwalimu Julius K. Nyerere atabaki kuwa Baba wa Taifa na muasisi wa TANU na taifa hili kwa ujumla.
 
Media walimpakazia Mama Siti Mwinyi kakamatwa na Lyatonga Mrema uwanja wa ndege akisafirisha dhahabu na almasi! hizo ndizo media zetu TZ!
Si kweli kuwa media zilimpakazia Mama Sitti. Hiyo dhahabu ilikamatwa ikitokea Zanzibar. Ilibidi kikao cha dharura kifanyike Zanzibar kikihusisha viongozi wote wa ngazi za juu akiwemo Mwinyi mwenyewe. Walisema tu ilikuwa ni dhahabu ya kigogo fulani. Wenye akili tulishajua. Si ni huyu huyu Mama Sitti muislamu safi aliyekuwa anatuuzia bia za Stella Atoir?
 

Ni kweli. Wajerumani walishafahamu biashara aliyokuwa anashughulika nayo muheshimiwa huyo.
 
Nimeshaeleza huko tulikotoka na mnakasha huu, rejea nyuma mkuu.

Umeelezea ikapigwa chini, sasa unataka kuturudisha huko? Vipi, yale yote uliotuahidi, bado tu?

Pole sana nimeona kina Nyerere orijino wakikukana humu.
 
Mbona hii dhana ya kutumia majina badala ya namba tumeshathibitisha hapa JF kuwa ni uwongo? Aliyeandika hii ripoti anahitaji kufanya masahihisho na kuwaomba msamaha wasomaji wake. Kwa sababu ukirudia uwongo mara kwa mara watu wanaanza kuamini kuwa ni kweli.
 
Historia itasimama huru, kamwe haitiyumbishwa na yeyote mwenye husda na yaluyomo.

Mwalimu Julius K. Nyerere atabaki kuwa Baba wa Taifa na muasisi wa TANU na taifa hili kwa ujumla.

Matayo 23

9 Wala msimwite mtu yeyote Baba hapa duniani, maana Baba yenu ni mmoja tu aliye mbinguni.
 
Umeelezea ikapigwa chini, sasa unataka kuturudisha huko? Vipi, yale yote uliotuahidi, bado tu?

Pole sana nimeona kina Nyerere orijino wakikukana humu.
Sisi twasinga mbele wewe endelea na kuota na pombe zako za ngomani
 
Kwanza jiulize hiyo 40% waliopasi ni wangapi halafu tuambie wakati wa Nyerere walikuwa wangapi wanafanya mtihani wa sekondari? usije ukakuta hiyo 40% ni wengi kuliko miaka yote ya nyerere.

Nyerere kaondoka mamlakani katuacha 85% literacy rate. Tanzania tukisifika kwa hilo. Leo imeshuka mpaka 60% ya wanafunzi wetu shule za sekondari wanafeli. Naona Kikwete ameamua kutufanya Watanzania tuwe wachota maji na wakata kuni kwa marafiki zake wazungu ambao anawagawia nchi kama njugu. Lakini kama nilivyosema, tuko macho.
 
Kaa kimya wewe umeulizwa ulikuwa unakaa nao wapi? walikuwa wanafanya biashara gani? huna jibu.

Kina Gurnah uliza kisutu yote wanajulikana kama wamechanganya damu usipende kudandia mambo wewe mtoto wa kiume unatupa mashaka.

Achana nae huyo, anataka kubadili mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…