R,
Najibu maswali lakini sharti yawe na tija kwa jamii.
Huwa sijibu kila kitu.
Kuna mengine huwa siyajui majibu.
Sina la kusema kwa kweli
Ila maswali ni mengi na najua unaufahamu nayo kwasababu mengine yanatokana na kitabu chao

Hapa ndipo huwa sikuelewi kabisa, hivi kwanini unalazimisha mawazo yako yawe mawazo ya waislam? Mohamed akisema ni waislam, Ponda akisema ni waislam, Ilunga akisema ni Waislam, UAMSHO wakisema nao ni waislam wanasema. Kwa mwenendo huu hivi mnaitendea dini haki kweli! Na kwa mwendo huo mnaupa uislam nafasi gani katika jamii na dunia!MM,
Wewe ni mtu mmoja.
Nashukuru nazungumza na wewe.
Lakini mimi fikra na mawazo yangu
nimeelekeza kwa hawa 60,000+
wanaotusikiliza.
Wengi hawakupata kusikia haya
ninayoeleza humu JF.
Hawa ndiyo walengwa wangu na
wala nia yangu si kuwa waniamini.
Lengo langu wasikie Waislam tunasemaje.
kwanza ni muhimu kujua idadi ya shule zinazomilikiwa na waislam na zile zinazomilikiwa na wakristo kisha tuanze kuchambua hayo matokeo ya NECTA, mpango mzima wa mfumo kristo ujulikane na unafiki wa watu uwekwe wazi.
Teeeh teeh kuna id itakuwa dormant muda si mrefu.Tanzania Kwanza si utumie ID ya siku zote,taabu yote ya nini???
Hapa ndipo huwa sikuelewi kabisa, hivi kwanini unalazimisha mawazo yako yawe mawazo ya waislam? Mohamed akisema ni waislam, Ponda akisema ni waislam, Ilunga akisema ni Waislam, UAMSHO wakisema nao ni waislam wanasema. Kwa mwenendo huu hivi mnaitendea dini haki kweli! Na kwa mwendo huo mnaupa uislam nafasi gani katika jamii na dunia!
Maufunzo ya dini kweli yanasema hivyo kuwa kila mtu atoe kauli kwa niaba ya waislam.
Uislam ni dini yenye muongozo wake hata ukifuatilia hadithi au sunna utaona wanazuoni maarufu walikuwa wakisema kama wao na si Uislam kwasababu Uislam unasimama bila fikra za mtu.
Hatari ya kuchukua maoni na maono ya watu kama ndio dini ya uislam imeufikisha Uislam katika kuonekana tofauti na ulivyo. Leo kuna watu wamefanya Ijumaa kama siku ya maandamano. Hakuna mahali popote penye aya, hadithi au sunna inayosema hivyo, kama ipo basi naomba waislam waiweke hapa tufaidike sote.
Sidhani kama waislam wote wanaosoma vitabu vyako wanakubaliana na hoja zako, na kama si hivyo, je , hao unawaweka kundi gani?
Hii dhana ya kutanguliza jina la dini ili kukidhi haja za kibinadamu na si za kidini ni hatari na mbaya sana. Ni dhana ile ile inayofanya watu wajifunge mabomu na kulipua abiria kwa mwanvuli wa Uislam. Ni dhana hiyo ndiyo inapelekea watu kwa mitazamo yao wafarikiane kwasababu tu kila mmoja ni mwislam zaidi ya mwingine.
Ni kwanini Shia wawalipue Sunni kwasababu tu wametofuatiana tafsiri za dini, hadithi na hata mahalifa au maimam!
Huko nyuma umesema waislam walisimama kupinga dhulma ya wakoloni. Leo tunafaham kuwa miongoni mwao walifasadi asset za AA na nyumba aliyotoa mkoloni D.Cameron. Sasa unapoutanguliza Uislam kama kinga ujue wakati huo huo unauweka katika wakati mgumu.
Uislam haukueleza watu wapinge dhulma ya mkoloni halafu wafanye dhulma ya asset za AA!
Mohamed, jaribu kutofautisha dini, uumini na Uislam na mambo mengine ya mwanadamu.

Umeuliza swali kuhusu mauaji ya Mwembechai umejibiwa jibu ulitaki unataka uonyeshwe video.

Ritz,
Mengine kutoka ''Mwembechai Killings...'':
[SIZE=+0]President Mkapa has acknowledged the existence of Muslim grievances. He has also expressed his willingness to resolve them. Muslims have many complaints but they all fall under the rubric of religious discrimination. Perhaps the strongest political advantage which Tanzania has, but one which may not last long, is that religious discrimination against Muslims is still hierarchical and therefore unilateral. It is not so far horizontal and therefore not yet mutual. Muslims suffer religious discrimination and humiliation in their contact with vertical institutional power, in schools and government offices. Muslims do not experience religious discrimination horizontally in their social relationship with Christians at the market place, or as neighbours and friends. Even at those trying moments when Muslims were being hounded up by the government, in some cases it was a perplexed Christian neighbour who took care of the children of the arrested Muslim parents. And in most cases Christians would be among those people who would come to comfort a bereaved Muslim parent or spouse.[/SIZE] [SIZE=+0]Because of their inferior position, Muslims, even if they wished, cannot possibly discriminate against Christians at a vertical level. It is the Christians who dominate positions of power who have unilaterally decided to discriminate against Muslims. And it is this group which the president should address. Female Muslim students for example have a constitutional right to follow the Islamic code of dress. The Ministry of National Education and Culture had issued a circular letter to that effect long ago. Yet in practice Muslim students are daily being harassed by Christians who head those educational institutions. When Muslims staged a demonstration in protest, they were reassured that putting on an Islamic dress was their constitutional right! The government should have addressed and warned those who were unilaterally discriminating against Muslims. The government drive should aim at changing the arrogant mind-set of the dominant group before its discriminatory tendencies trickle down and induce exclusionary tendencies at the horizontal level.[/SIZE]
Lazima upate shida kuelewa hilo, ngoja nikupe darsa dogo:
Qur'an 3:103
Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu: vile mlivyo kuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye akaziunganisha nyoyo zenu; kwa neema yake mkawa ndugu. Na mlikuwa ukingoni mwa shimo la Moto, naye akakuokoeni nalo. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Ishara zake ili mpate kuongoka.
Hadith:
The Messenger of Allah صلى الله عليه و سلم said:The believers, in their love, mutual kindness, and close ties, are like one body; when any part complains, the whole body responds to it with wakefulness and fever (Muslim)
Soma zaidi: Like One Body | Living The Muslim Life
Kumbuka halazimishwi mtu:
Qur'an 2:256
Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
Na kama hawajatosheka please ZOMBA,,
WAONGEZEE...
Wape tartibu tartibu fii idhin llah insha allah..

InshaAllah, Mwenyeezi Mungu ni mkubwa wako miongoni mwao wanayasoma na yanawaingia kama walivyoyasoma walio kabla yao wakaongoka. Tunawaombea na wao maradhi yaliomo ndani ya mioyo yao yawatoke, macho yawafunguke, masikio yasikie, khofu iwaondoke, wasiuogope ukweli na wawe katika walioongoka.
Enyi mlioamini jisalimisheni kwa Mola wenu, ambae hajazaa wala kuzaliwa.
DULLAH MSAVIVOR, one and the same person? Mfumo Kristo? Nawaachia wasomaji waamue wenyewe...February 19th, 2013 - First of all I am Tanzanian,native Tanzanian,
In addition to that i am A muslim,
Hii hali inayotokea sasa katika nchi yetu inatenza nguvu sana,inaondosha uhalisia wa kidugu na mshikamano uliokawepo miaka mingi sana tokea enzi hizo za wazee wetu...
Serikali iliyopo madarakan ni serikali ya kidemokrasia, na si serikali ya kiislam wala ya kikristo, ni serikali ya CCM iliyochaguliwa kidemokrasia,waulizwe wao moja kwa moja kwa hiki kinachoendelea nchin,na wapewe wao lawama kwani ni jukumu lao kulinda haki na usalama wa raia wake,wasilaumiwe waislam na uislam eti kwa kuwa waliofanya hivyo wanashahabiana na uislam,huko ni kujumuisha matendo ya baadhi ya watu waovu na imani yetu moja kwa moja ili hali mafundisho yetu hayatufunzi namna hiyo..
Hatufurahii na kuona undugu wetu na wakristo uliodumu kwa miaka mingi eti uwe unahujumiwa na watu fulani kwa kisa cha dini,hii sio sawa..
Hatufurahii kuona machafuko na uvunjifu wa amani usio na mbele wala nyuma,
We are brothers,na hatuwez kukaa kushabikia HUMILIATION ya dhidi ya ndugu zetu wa upande wa pili..
Waislam na Uislam usionekane ni CRIME na wakristo na ukristo usionekane KUHUJUMIWA na watu wenye malengo yao ili kutupa hali ngumu ya muingiliano tuliorithi kwa wazee wetu,wahusika watafutwe wachukuliwe hatua,na please tusinyoosheane vidole..
I believe we are BROTHERS..
DULLAH MSAVIVOR, one and the same person? Mfumo Kristo? Nawaachia wasomaji waamue wenyewe...
Wala hilo halina tatizo, tatizo linakuja pale ambapo mtu atavaa joho la uislam kwasababu zake na kulifanya suala hilo la kiislam na waislam.uislam ni kila kitu katika maisha ya binaadam huwezi kutofautisha na mambo mengine umejitosheleza na sio vibaya kwa kila muislamu kuipigania na kuitetea dini ya uislamu