Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

R,

Najibu maswali lakini sharti yawe na tija kwa jamii.
Huwa sijibu kila kitu.

Kuna mengine huwa siyajui majibu.

Sina la kusema kwa kweli

Ila maswali ni mengi na najua unaufahamu nayo kwasababu mengine yanatokana na kitabu chao
 
Hebu niletee swali moja kutoka kitabuni.
Insha Allah nikiwa nina jibu utalipata.
 
kwanza ni muhimu kujua idadi ya shule zinazomilikiwa na waislam na zile zinazomilikiwa na wakristo kisha tuanze kuchambua hayo matokeo ya NECTA, mpango mzima wa mfumo kristo ujulikane na unafiki wa watu uwekwe wazi.
 
MM,

Wewe ni mtu mmoja.
Nashukuru nazungumza na wewe.

Lakini mimi fikra na mawazo yangu
nimeelekeza kwa hawa 60,000+
wanaotusikiliza.

Wengi hawakupata kusikia haya
ninayoeleza humu JF.

Hawa ndiyo walengwa wangu na
wala nia yangu si kuwa waniamini.

Lengo langu wasikie Waislam tunasemaje.
Hapa ndipo huwa sikuelewi kabisa, hivi kwanini unalazimisha mawazo yako yawe mawazo ya waislam? Mohamed akisema ni waislam, Ponda akisema ni waislam, Ilunga akisema ni Waislam, UAMSHO wakisema nao ni waislam wanasema. Kwa mwenendo huu hivi mnaitendea dini haki kweli! Na kwa mwendo huo mnaupa uislam nafasi gani katika jamii na dunia!

Maufunzo ya dini kweli yanasema hivyo kuwa kila mtu atoe kauli kwa niaba ya waislam.
Uislam ni dini yenye muongozo wake hata ukifuatilia hadithi au sunna utaona wanazuoni maarufu walikuwa wakisema kama wao na si Uislam kwasababu Uislam unasimama bila fikra za mtu.

Hatari ya kuchukua maoni na maono ya watu kama ndio dini ya uislam imeufikisha Uislam katika kuonekana tofauti na ulivyo. Leo kuna watu wamefanya Ijumaa kama siku ya maandamano. Hakuna mahali popote penye aya, hadithi au sunna inayosema hivyo, kama ipo basi naomba waislam waiweke hapa tufaidike sote.

Sidhani kama waislam wote wanaosoma vitabu vyako wanakubaliana na hoja zako, na kama si hivyo, je , hao unawaweka kundi gani?

Hii dhana ya kutanguliza jina la dini ili kukidhi haja za kibinadamu na si za kidini ni hatari na mbaya sana. Ni dhana ile ile inayofanya watu wajifunge mabomu na kulipua abiria kwa mwanvuli wa Uislam. Ni dhana hiyo ndiyo inapelekea watu kwa mitazamo yao wafarikiane kwasababu tu kila mmoja ni mwislam zaidi ya mwingine.
Ni kwanini Shia wawalipue Sunni kwasababu tu wametofuatiana tafsiri za dini, hadithi na hata mahalifa au maimam!

Huko nyuma umesema waislam walisimama kupinga dhulma ya wakoloni. Leo tunafaham kuwa miongoni mwao walifasadi asset za AA na nyumba aliyotoa mkoloni D.Cameron. Sasa unapoutanguliza Uislam kama kinga ujue wakati huo huo unauweka katika wakati mgumu.

Uislam haukueleza watu wapinge dhulma ya mkoloni halafu wafanye dhulma ya asset za AA!

Mohamed, jaribu kutofautisha dini, uumini na Uislam na mambo mengine ya mwanadamu.
 
kwanza ni muhimu kujua idadi ya shule zinazomilikiwa na waislam na zile zinazomilikiwa na wakristo kisha tuanze kuchambua hayo matokeo ya NECTA, mpango mzima wa mfumo kristo ujulikane na unafiki wa watu uwekwe wazi.

Angalia Mfumo Kiristo unavyofanya kazi Tanzania kupitia NECTA.

Mkurugenzi wa shule ya Green Acres ya Dar es Salaam Bujungo. Anashanga kuna wanafunzi ambao hawakufanya mtihani lakini wamepata alama za ufaulu.

Amewataja kwa majina hao wanafunzi Huphrex Sanga na Martin Rushaingwa.

Huu ndiyo mfumo Kirsto ndani ya NECTA, kwa habari zaidi tembelea jukwaa la elimu.
 
Hapa ndipo huwa sikuelewi kabisa, hivi kwanini unalazimisha mawazo yako yawe mawazo ya waislam? Mohamed akisema ni waislam, Ponda akisema ni waislam, Ilunga akisema ni Waislam, UAMSHO wakisema nao ni waislam wanasema. Kwa mwenendo huu hivi mnaitendea dini haki kweli! Na kwa mwendo huo mnaupa uislam nafasi gani katika jamii na dunia!

Maufunzo ya dini kweli yanasema hivyo kuwa kila mtu atoe kauli kwa niaba ya waislam.
Uislam ni dini yenye muongozo wake hata ukifuatilia hadithi au sunna utaona wanazuoni maarufu walikuwa wakisema kama wao na si Uislam kwasababu Uislam unasimama bila fikra za mtu.

Hatari ya kuchukua maoni na maono ya watu kama ndio dini ya uislam imeufikisha Uislam katika kuonekana tofauti na ulivyo. Leo kuna watu wamefanya Ijumaa kama siku ya maandamano. Hakuna mahali popote penye aya, hadithi au sunna inayosema hivyo, kama ipo basi naomba waislam waiweke hapa tufaidike sote.

Sidhani kama waislam wote wanaosoma vitabu vyako wanakubaliana na hoja zako, na kama si hivyo, je , hao unawaweka kundi gani?

Hii dhana ya kutanguliza jina la dini ili kukidhi haja za kibinadamu na si za kidini ni hatari na mbaya sana. Ni dhana ile ile inayofanya watu wajifunge mabomu na kulipua abiria kwa mwanvuli wa Uislam. Ni dhana hiyo ndiyo inapelekea watu kwa mitazamo yao wafarikiane kwasababu tu kila mmoja ni mwislam zaidi ya mwingine.
Ni kwanini Shia wawalipue Sunni kwasababu tu wametofuatiana tafsiri za dini, hadithi na hata mahalifa au maimam!

Huko nyuma umesema waislam walisimama kupinga dhulma ya wakoloni. Leo tunafaham kuwa miongoni mwao walifasadi asset za AA na nyumba aliyotoa mkoloni D.Cameron. Sasa unapoutanguliza Uislam kama kinga ujue wakati huo huo unauweka katika wakati mgumu.

Uislam haukueleza watu wapinge dhulma ya mkoloni halafu wafanye dhulma ya asset za AA!

Mohamed, jaribu kutofautisha dini, uumini na Uislam na mambo mengine ya mwanadamu.

N,

Subiri usikie Waislam wanatukana ndipo uwasemee.
Mengine wala sina haja ya kuyagusa.
 
uislam ni kila kitu katika maisha ya binaadam huwezi kutofautisha na mambo mengine umejitosheleza na sio vibaya kwa kila muislamu kuipigania na kuitetea dini ya uislamu
 
Umeuliza swali kuhusu mauaji ya Mwembechai umejibiwa jibu ulitaki unataka uonyeshwe video.

Ritz,

Mengine kutoka ''Mwembechai Killings...'':

[SIZE=+0]President Mkapa has acknowledged the existence of Muslim grievances. He has also expressed his willingness to resolve them. Muslims have many complaints but they all fall under the rubric of religious discrimination. Perhaps the strongest political advantage which Tanzania has, but one which may not last long, is that religious discrimination against Muslims is still hierarchical and therefore unilateral. It is not so far horizontal and therefore not yet mutual. Muslims suffer religious discrimination and humiliation in their contact with vertical institutional power, in schools and government offices. Muslims do not experience religious discrimination horizontally in their social relationship with Christians at the market place, or as neighbours and friends. Even at those trying moments when Muslims were being hounded up by the government, in some cases it was a perplexed Christian neighbour who took care of the children of the arrested Muslim parents. And in most cases Christians would be among those people who would come to comfort a bereaved Muslim parent or spouse.[/SIZE] [SIZE=+0]Because of their inferior position, Muslims, even if they wished, cannot possibly discriminate against Christians at a vertical level. It is the Christians who dominate positions of power who have unilaterally decided to discriminate against Muslims. And it is this group which the president should address. Female Muslim students for example have a constitutional right to follow the Islamic code of dress. The Ministry of National Education and Culture had issued a circular letter to that effect long ago. Yet in practice Muslim students are daily being harassed by Christians who head those educational institutions. When Muslims staged a demonstration in protest, they were reassured that putting on an Islamic dress was their constitutional right! The government should have addressed and warned those who were unilaterally discriminating against Muslims. The government drive should aim at changing the arrogant mind-set of the dominant group before its discriminatory tendencies trickle down and induce exclusionary tendencies at the horizontal level.[/SIZE]
 
Lazima upate shida kuelewa hilo, ngoja nikupe darsa dogo:

Qur'an 3:103

Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu: vile mlivyo kuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye akaziunganisha nyoyo zenu; kwa neema yake mkawa ndugu. Na mlikuwa ukingoni mwa shimo la Moto, naye akakuokoeni nalo. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Ishara zake ili mpate kuongoka.

Hadith:

The Messenger of Allah صلى الله عليه و سلم said:​
The believers, in their love, mutual kindness, and close ties, are like one body; when any part complains, the whole body responds to it with wakefulness and fever (Muslim)

Soma zaidi: Like One Body | Living The Muslim Life

Kumbuka halazimishwi mtu:

Qur'an 2:256

Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
 
Its unfortunately that book was BANNED,
Basing on The news paper Act,1976(NO 3),Goverment banned the book probably because it was controversial,i do not think if it was correct because controversy is not a strong reason for banning a book.
Controversial claims should be confroted with contentious challanges and passionate responses and counter-responses..
 
Lazima upate shida kuelewa hilo, ngoja nikupe darsa dogo:

Qur'an 3:103

Na shikamaneni kwa Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu: vile mlivyo kuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye akaziunganisha nyoyo zenu; kwa neema yake mkawa ndugu. Na mlikuwa ukingoni mwa shimo la Moto, naye akakuokoeni nalo. Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Ishara zake ili mpate kuongoka.

Hadith:

The Messenger of Allah صلى الله عليه و سلم said:​
The believers, in their love, mutual kindness, and close ties, are like one body; when any part complains, the whole body responds to it with wakefulness and fever (Muslim)

Soma zaidi: Like One Body | Living The Muslim Life

Kumbuka halazimishwi mtu:

Qur'an 2:256

Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.

Na kama hawajatosheka please ZOMBA,,

WAONGEZEE...
Wape tartibu tartibu fii idhin llah insha allah..
 
InshaAllah, Mwenyeezi Mungu ni mkubwa, wako miongoni mwao wanayasoma na yanawaingia kama walivyoyasoma walio kabla yao wakaongoka. Tunawaombea na wao maradhi yaliyomo ndani ya mioyo yao yawatoke, macho yawafunguke, masikio yasikie, khofu iwaondoke, wasiuogope ukweli na wawe katika walioongoka.

Enyi mlioamini jisalimisheni kwa Mola wenu, ambae hajazaa wala kuzaliwa.
 
InshaAllah, Mwenyeezi Mungu ni mkubwa wako miongoni mwao wanayasoma na yanawaingia kama walivyoyasoma walio kabla yao wakaongoka. Tunawaombea na wao maradhi yaliomo ndani ya mioyo yao yawatoke, macho yawafunguke, masikio yasikie, khofu iwaondoke, wasiuogope ukweli na wawe katika walioongoka.

Enyi mlioamini jisalimisheni kwa Mola wenu, ambae hajazaa wala kuzaliwa.

Amiin thumma Amiin..,
Praise is due to Allah,the cherisher and Sustainer of the unverse..

'VERILY WE HAVE BROUGHT THE TRUTH TO YOU,BUT MOST OF YOU HAVE A HATRED FOR THE TRUTH",(QUR AN 43;78)

endelea kuwapa Darsa,huenda wakapambanukiwa na kweli ikawaweka huru..
 
February 19th, 2013 - First of all I am Tanzanian,native Tanzanian,
In addition to that i am A muslim,

Hii hali inayotokea sasa katika nchi yetu inatenza nguvu sana,inaondosha uhalisia wa kidugu na mshikamano uliokawepo miaka mingi sana tokea enzi hizo za wazee wetu...

Serikali iliyopo madarakan ni serikali ya kidemokrasia, na si serikali ya kiislam wala ya kikristo, ni serikali ya CCM iliyochaguliwa kidemokrasia,waulizwe wao moja kwa moja kwa hiki kinachoendelea nchin,na wapewe wao lawama kwani ni jukumu lao kulinda haki na usalama wa raia wake,wasilaumiwe waislam na uislam eti kwa kuwa waliofanya hivyo wanashahabiana na uislam,huko ni kujumuisha matendo ya baadhi ya watu waovu na imani yetu moja kwa moja ili hali mafundisho yetu hayatufunzi namna hiyo..

Hatufurahii na kuona undugu wetu na wakristo uliodumu kwa miaka mingi eti uwe unahujumiwa na watu fulani kwa kisa cha dini,hii sio sawa..
Hatufurahii kuona machafuko na uvunjifu wa amani usio na mbele wala nyuma,

We are brothers,na hatuwez kukaa kushabikia HUMILIATION ya dhidi ya ndugu zetu wa upande wa pili..

Waislam na Uislam usionekane ni CRIME na wakristo na ukristo usionekane KUHUJUMIWA na watu wenye malengo yao ili kutupa hali ngumu ya muingiliano tuliorithi kwa wazee wetu,wahusika watafutwe wachukuliwe hatua,na please tusinyoosheane vidole..

I believe we are BROTHERS..
DULLAH MSAVIVOR, one and the same person? Mfumo Kristo? Nawaachia wasomaji waamue wenyewe...
 
Mimi nimekisoma kitabu cha Mzee Mohammed Said,mengi aliyoyaelezea ndani yake yana ukweli,katika historia zilizopita za ukombozi,na wala sijaona kwamba kuna udini ndani yake,sasa wewe unayejiita kwa jina Nyerere,wewe ni bwana mdogo au kwa kuwa katajwa Nyerere,ndiyo unakuja juu,Nyerere ni binaadamu kama watu wengine,amefanya mazuri na mabaya,kwa mimi ninayeamini kwamba yupo Mungu,naaamini atahukumiwa huko anakokwenda,kwa mujibu ya mezani yake,M Mungu Ndiye pekee anaeijua siri hiyo.
Sasa kuna wengi humu mtandaoni wanaojaribu kuyaangusha maoni ya waislamu,ambayo yana misingi wa ukweli na uwazi,ambapo hayasikilizwi na hili ndipo tatizo linapoanzia,kama tunataka amani ya kweli hilo linawezekana,ikiwa haki na usawa katika vitapewa nafasi katika kuweka usawa,lakini hilo nadhani ni vigumu kukubalika kwa wakristo ambao mara zote,wanataka nchi hii iiongozwe katika misingi ya kikristo,kuna uficho mkubwa wa mambo yanavyoendeshwa na ukisema kweli,mara utaambiwa al qaeda,hii ndio silaha yao kubwa wanaoitumia kuwamaliza wale wasiokubaliana nao ,na wanaoziweka siri za kweli hadharani,kuna mengi ya kuelezewa kwa uwazi,lakini kubwa zaidi,la kujiuliza je inawezekana maaskofu na serkali kuacha kuwasikiliza wakoloni wa kiingerereza na kijerumani ambao wao ndio,mabwana zao wanaowaamulia na kuwachambulia na ndio tegemezi,katika maendeleo ya nchi zao ,la kujiuliza ni moja inawezekana tukawana katika rasilimali za serikali kwa usawa kila dini ikapata sawa?nakatiza hapo nitaendelea kesho
 
DULLAH MSAVIVOR, one and the same person? Mfumo Kristo? Nawaachia wasomaji waamue wenyewe...

Ni mimi DULLAH MSAVIVOR,na bado nitashikilia msimamo huo..
Kwan wapi katika maandiko yake Mohamed Said kakuonesha waislam/Uislam una chuki binafsi na ukristo au wengine wasioamin kaataika Uislam?
Huwez kututoa kwenye mantiki kuu hata kidogo..
 
uislam ni kila kitu katika maisha ya binaadam huwezi kutofautisha na mambo mengine umejitosheleza na sio vibaya kwa kila muislamu kuipigania na kuitetea dini ya uislamu
Wala hilo halina tatizo, tatizo linakuja pale ambapo mtu atavaa joho la uislam kwasababu zake na kulifanya suala hilo la kiislam na waislam.

Nyote nimewauliza, hivi ikidhihirika kuna tatizo juu ya haya Mohamed anayoyasema, itakuwa ni tatizo lake au la waislam na Uislam?

Je, wale wanaokataa hoja zake wapo kundi gani katika uislam kufuatana na Mohamed na mliOshikamana naye katika suala hili ambalo sidhani ni la mwenyezi mungu. (Ugomvi wa Mohamed na watu wengine si suala la dini)

Maswali yapo wazi kabisa, naona wenzetu mmeshtuka sana, mna hamaki!
 
Back
Top Bottom