Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kwanini haujiulizi Abdulwahid Sykes ni nani mpaka msomi Nyerere aelekezwe kwake na amtafute?
Utapigaje vita kitu ambacho ni "imaginary"?
Ritz, mie sio msemaji wa chombo chochote, ila taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na NECTA ndio niliyoiweka hapa, narudia mimi sio muumini wa mungu wala majini yenu, koma kunibatiza bila hiyari yangu.Leo hii umekuwa msemaji wa serikali ya CCM kweli mfumo Kirsto kiboko ukija kwenye swala la NECTA Wakirsto wote wanarudi CCM.
Taarifa hii haikuwa sahihi, mkuu huyo wa shule hakufanya utafiti kabla ya kuitisha vyombo vya habari.
Mzee NECTA kama kawaida yako...kati ya wewe au mzee wako lazima mmoja atakuwa anafanya kazi NECTA.
zomba,
Hawa Pro-Chadema JF wanakesha JF kuiponda CCM lakini NECTA ikiguswa wote wanarudi CCM.
Mkuu Maalim Mohamed Said, sikuzote nimekuwa nikikikukubali kama mpiga hadithi mzuri na kuzifurahia simulizi zako kwa jinsi ile ile ile nilivyofurahia simulizi .za Alfu Lela U Lela tatizo langu na wewe ni dogo tuu , ni ile "ill motive behind" hivyo mimi kukuita "a man with a mission" na sasa tumeisha hit watu 75,000 tunaelekea watu 100,000!, you must be very happy kwa sababu "the mission" imeishaanza kuwa accomplished!. Hongera ila naomba nikutahadharishe hala hala hala 2015 kikigeuka!, usije utatafuta pa kutokea!.
Pasco.
Mbona jibu liko wazi; alikuwa ni mmoja wa watu wanaoheshimika sana Jijini Dar na ambaye kwa mtu kama Nyerere kutaka kuwafikia wazee pale Dar ilimpasa kufahamiana na huyu.
Ha ha haa mwaka huu povu litakutoka sanaaaaaaaaaaaaaa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! CHEZEA RITZRitz, mie sio msemaji wa chombo chochote, ila taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na NECTA ndio niliyoiweka hapa, narudia mimi sio muumini wa mungu wala majini yenu, koma kunibatiza bila hiyari yangu.
Ritz, mie sio msemaji wa chombo chochote, ila taarifa iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na NECTA ndio niliyoiweka hapa, narudia mimi sio muumini wa mungu wala majini yenu, koma kunibatiza bila hiyari yangu.
Mbona jibu liko wazi; alikuwa ni mmoja wa watu wanaoheshimika sana Jijini Dar na ambaye kwa mtu kama Nyerere kutaka kuwafikia wazee pale Dar ilimpasa kufahamiana na huyu.
DM,
Ndiyo maana historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika inawatisha.
Wakaona salama iko katika kutengezeza historia mbadala na rasmi
ili wawaondoe Waislam na mchango wao.
Utaeleza vipi Abdu Sykes kumleta Nyerere katika uongozi wa juu wa TAA?
Utaeleza vipi Abdu na Dossa kumpeleka Nyerere kwa Mufti Sheikh Hassan
bin Amir?
Utaelezaje Sheikh Suleiman Takadir kuwa ndiyo mwenye dhamana ya
kumtambulisha Nyerere kwa wananchi kwenye mikutano ya mwanzo ya
TANU pale Mnazi Mmoja?
Utaeleza vipi Idd Tosiri na Idd Faiz kumchukua Nyerere mguu kwa mguu
hadi Bagamoyo kwenda kumjulisha kwa Sheikh Mohamed Ramia?
Utaeleza vipi kuja kwa Ali Mnjale na Salum Mpunga Dar es salaam mwaka
1955 kuja kumtaka Nyerere aende Jimbo la Kusini kuzima fitna za Kanisa
Katoliki lililokuwa likitisha waumini wake wasijiunge na TANU?
Na vipi iwe Rajab Diwani na Ali Mwinyi Tambwe ndiyo wafuatane na Nyerere
kwenda Jimbo la Kusini kuzima fitna ile?
Utaeleza vipi, utaeleza vipi, utaeleza vipi....?
zomba jibu lako halina ushirikiano na swali lililoulizwa na JasusiKwa nini tuupige vita mfumokristo? Mohamed anasema sisi ndio tunaofaidika nao, sasa why take me away from my comfort zone? Halafu ni mfumo gani utachukua nafasi yake? Mfumoislam?
Jikumbushe; "You can fool some of the people all of the time, and all of the people some of the time, but you can not fool all of the people all of the time. - Abraham Lincoln.
Mbona jibu liko wazi; alikuwa ni mmoja wa watu wanaoheshimika sana Jijini Dar na ambaye kwa mtu kama Nyerere kutaka kuwafikia wazee pale Dar ilimpasa kufahamiana na huyu.
Mkuu Maalim Mohamed Said, sikuzote nimekuwa nikikikukubali kama mpiga hadithi mzuri na kuzifurahia simulizi zako kwa jinsi ile ile ile nilivyofurahia simulizi .za Alfu Lela U Lela tatizo langu na wewe ni dogo tuu , ni ile "ill motive behind" hivyo mimi kukuita "a man with a mission" na sasa tumeisha hit watu 75,000 tunaelekea watu 100,000!, you must be very happy kwa sababu "the mission" imeishaanza kuwa accomplished!. Hongera ila naomba nikutahadharishe hala hala hala 2015 kikigeuka!, usije utatafuta pa kutokea!.
Pasco.
hapo red hilo ndo tatizo lenu kuu, mngeanza na shule mngekuwa na uwezo wa kufanya reasoning, sasa kwasababu mnaanza kinyume lazima uathirike kiakili hivyo kila fundisho linalotolewa hata na mlezi kwako unalichukua kama limetoka mbinguni.Tatizo lako kubwa ilm, mimi huwaambia nyinyi mnaanza shule, sisi tunaanza chuo. Wewe mpaka ufike chuoni lini?
hapo red hilo ndo tatizo lenu kuu, mngeanza na shule mngekuwa na uwezo wa kufanya reasoning, sasa kwasababu mnaanza kinyume lazima uathirike kiakili hivyo kila fundisho linalotolewa hata na mlezi kwako unalichukua kama limetoka mbinguni.
Huna mpya wewe kwani hutumii akili yako! Hufanyi kitu mpaka ustaadh Mohamed akuamlie.Ha ha haa mwaka huu povu litakutoka sanaaaaaaaaaaaaaa !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! CHEZEA RITZ
Ritz, NECTA wamekanusha kupitia vyombo vya habari, huyo mkuu wako amekaa kimya hajaja kutupa taarifa mpya zaidi. Sasa kuna sababu gani itatuzuia kuamini kwamba NECTA wako sahihi na sio huyo mkuu wako? Tatizo ni kuwa wewe ulisha tanguliza chuki dhidi ya NECTA kwa hiyo chochote kibaya dhidi yake utakishangilia.Wala sijakubatiza wasiwasi wako tu ili la Wakirsto wote kuungana na NECTA mpaka Chadema nzima lipo wazi.
Hakuna sehemu yeyote nimekuambia wewe ni Mkirsto unajistukia mie nimetaja Wakirsto wote.
Hii habari wote tumeisikia kwenye vyombo vya habari kutoka kwa mmiliki wa shule mwenyewe kuwa kuna wanafunzi wamefahulu wakati wao walikuwa wamewasimamisha shule hawakufanya hata mtihani.
Wewe ambaye unapinga na serikali ya CCM unakuja na majibu la rahisi wewe na mmiliki wa shule Bujugo tena ni diwani wa CCM tumuamini nani.
Kwa nini wewe uamini habari NECTA kwenye ili halafu usiamiani habari za mmiliki wa shule, kuna nini hapa.
soma na huu waraka wa nduguzo.