Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Na kuingia mzumbe necta walikuwa likizo au ulitumia jina wa wgalitia?
 
Kwa ututusa wako chinga boy utakuja na single yako mpya ya MODS wana mfumo kristo! Pole sana msomi wa Mzumbe Special School na div.1.

Wajinga wajinga kama nyinyi ndio mmeuharibu sana huu mjadala,,

Ona hunijui sikujui,hata kabila langu hulijui unaropoka chinga boy,JF umeifanya kama ni kitanda chako,kwa taarifa yako mimi sitokei kusini na huwez jua uhalisia wa mtu unaechart nae ni nani hasa,,

As time goes ndivo unavozid kuuonesha ujinga wako..

MODS TUNASUBIRI ACTION JUU YA HUYU MTU,ISIISHIE KWA KINA ZOMBA TUH,JARIBU KUCHUNGUZA KAULI ZA HUYU MTU HATUA KWA HATUA KISHA MTUPE UHALALI WA KUENDELEA KUWA NDANI YA MJADALA HUU
 
Na kuingia mzumbe necta walikuwa likizo au ulitumia jina wa wgalitia?


Regional Examination mwaka wangu ule niliongoza mimi kwa taarifa yako,

Kwa ufupi niliwaweka katika wakati mgumu,ila yaliyowasibu wenzangu bado nashawishika kuna kitu kimetokea juu yao..
 
Naona umedandia daladala la Kitunda wakati wewe unaelekea Mwenge.
Ritz sitaki usumbufu wa kusimama, naelekea na daladala Kitunda, ila sitashuka; nitageuza nalo ili nirudi Mwenge.
 
Hata wale waliokuwa wanapanga kumwondoa Nyerere kwenye uongozi wa TANU walikuwa na heshima zao pia.

Jasusi,

Ikiwa umekusudia kuwa palipatapo kuwa na masheikh waliokula
njama dhidi ya Nyerere hilo halijakuwapo.

La kama una taarifa mpya kama palikuwa na njama.
Ningefurahi kujua.

Ila ningependa tu kukutahadharisha Sheikh Mselem bin Ali ni sheikh
mwenye hadhi na ndiye anaeaminika kwa tasfir ya Qur'an ukiwatusi
Uamsho ni pamoja na yeye.

Ni sawa mimi nikaandika matusi hapa dhidi ya Kadinali Pengo.
Mimi wajibu wangu kukufahamisha huenda hukuwa unajua hadhi ya masheikh
hawa.

Uamuzi ni wako.
Kuwastahi Uamsho au kuendelea kuwatusi.
 

Gwalihenzi,

Unanitaja vibaya.

Siwezi kuchota akili ya mtu mjinga.

Ukiona mtu kanisoma na kaathirika
jua huyo ni above average.

Ndiyo maana unaona hawanijui wala
hawajaniona ila wamenisoma.

Baada ya kunisoma wananialika kwenda
kuzungumza...all over the place.

DM ni ''A'' student.
Natafakhari kuwa kanisoma na kanielewa.

Kuwa mstaarabu na pima neno lako kabla
hujalisema.
 

Abdulhalim,

Nimezungumza leo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam katika semina
iliyoandaliwa na taasisi inayoitwa Wilaaya.

Nimezungumza kuhusu ''Umoja wa Watanganyika Ulivyoshinda Njama
za Wakoloni.''
 

Kituko,

Inaelekea mnakasha umeingia katikati.

Tatizo la vita kati ya Waislam na Kanisa Katoliki hadi
EAMWS kupigwa marufuku na Nyerere na Sheikh Hassan
bin Amir kufukuzwa nchini ni baada ya kuthubutu kujenga
chuo kikuu mwaka 1968.

Sasa wewe unatuhimiza sisi umuhimu wa elimu kama vile
hatujuia umuhimu wake!

Tulia soma post taratibu utaelewa Insha Allah.
 
Mzee ms

Unapenda kung'ang'ania dhuluma, je? Ni dhuluma ipi mfano wewe kama wewe ulofanyiwa na mwl nyerere?
Sasa baada ya kupandikiza chuki kwenye hiyo miskiti nini basi faida uipatayo wewe kama wewe.

Mgashi,

Si swali la kukujibu mistari miwili au mitatu.
Soma ''Mwembechai Killings...'' cha Njozi kimo katika mtandao.

Utapata majibu yote humo.
 
Abdulhalim,

Nimezungumza leo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam katika semina
iliyoandaliwa na taasisi inayoitwa Wilaaya.

Nimezungumza kuhusu ''Umoja wa Watanganyika Ulivyoshinda Njama
za Wakoloni.''
Ok sawa.
Lisome vyema ombi nililoleta, kama utapenda kujibu swali zima hata kwenye uzi mwingine si vibaya.
 







Julius Nyerere | Mar. 13, 1964 - Leader and thinker

Hapa Mohamed Said, Ritz, zomba etc, Mshume Kiyate na Abdulwahid Sykes wataingiaje?
Mohamed Said anausukuma ukuta wa historia na wako wanaoamini kafanya kazi kubwa ingawa ukuta uko umesimama pale pale...miaka 15 anahubiri umbea na chuki lakini historia iko pale pale, ameandika vitabu na vitabu lakini historia iko pale pale, amezunguka dunia akijaribu kuipotosha lakini iko historia pale pale...ila Tanzania kaweza kuwateka wenye uelewa finyu, wanaoitikia hewala kila ngano anayomwaga bila kuhoji, bila kushtuka...wanameza tu bila kutafuna, masikini wa Mungu.
 
wewe akili yako hazijakomaa, tatizo shule hamtaki kwenda mnalaani mfumo kristo,wapo waislamu waelewa sana tena akili yao zimetukuka, waktoliki ukienda mikoa ya pwani ambako waislamu ni weng wamejenga huduma za afya, waislamu wanatibiwa huko na wake zao wanajifungua salama huko, KKKT wamejenga KCMC pamoja na vyuo mbalimbali dini zote wananufaika. Rais,makamu wa rais, rais wa zanzibar na serikali yake waislamu.je mnataka nin? Nenden shule mkaelimike mjue dunia ilivyo. Haya hiz nch za kiislamu yenye machafuko kuna mfumo kristo. Tunaomba aman jaman kuuana sio tabia yet watanzania. Din tumeletewa kwa aman tuende nazo kwa aman.
 

Mag3,

Hakuna anayepinga Nyerere kuwa huko wala hakuna wa kumtoa huko alichofanya Mohamed Said kaaandika kitabu muhimu sana kwa vizazi vijavyo.

Maisha na Nyakati za "Abdulwahid Skeys."

Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza Katika Tanganyika.

"Uongo, kama vile nyasi juu ya maji huelea; Atafutae lulu hana budi kupiga mbizi." John Dryden
 
Last edited by a moderator:

Mag3,

Nakushukuru kwa taarifa hizi.

Ninachotaka uzingatie ni hili.

Hayo yote yaloandikwa hapo ndiyo yakijulikana siku zote.

Sasa mimi nilipokuja na kitabu changu ndipo ikajulikana kuwa
kumbe ile haikuwa historia yote.

Yapo mengine ambayo hayakuwa yamewekwa wazi na khasa
nafasi ya Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Wasomi siku zote hupenda kupata tafiti mpya.

Kitabu changu kilikidhi haja ya utafiti mpya na hapo ndipo ikawa
sasa Abdulwahid anaingia na ukimuingiza yeye inabidi umtie na
baba yake na historia ihame 1954 ianze 1929 Kleist alipoasisi AA.

Historia irudi nyuma 1933 pale Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika
ilipoasisiwa na viongozi walewale waliosisi African Association.

Kwa mwanafunzi yoyte wa historia hapa atajiuliza maswali mengi tu.

Kwa ufupi ndiyo unaona sasa kitabu kikapata umaarufu na ''reviews''
hadi katika Cambridge Journal of African History.

TANU haukuasisiwa St. Francis College kama ilivyoelezwa hapo juu.
Huo ni muhali.

Ikiwa unataka kuamini kuwa Nyerere kaja Dar es Salaam mgeni mno
kawa na fedha na ofisi na watu wa kuwasemeza na akaunda TANU
mimi sina uwezo wa kubadili fikra zako.

Lakini kaa ukijua kuwa hata kama Nyerere angetaka kuanzisha TANU
nyumbani kwao Musoma au Butiama asingeweza.

Dossa na Abdu walifilisika kwa ajili ya TANU na harakati za kudai uhuru.

Chama hakiasisiwi kwa siku mbili.
Kuasisi chama ni mchakato mrefu.

Ilichukua robo karne kuitoa African Association hadi kufikia TANU.

Soma hapa chini umsikie Kleist anasema nini kuhusu harakati zile:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[TD][TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="colspan: 2"] Abdulwahid now 30 years old, had accomplished the ambition of his lifetime, an ambition which had originated from his late father, who 25 years before had predicted a continuous struggle between the Africans of Tanganyika and the colonial state.

Kleist Sykes had foretold the role of the next generation.

In a letter he wrote in 1933 to Mzee bin Sudi, then president of the African Association, Kleist at the tender age of twenty-nine years had this to write:
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 59"][/TD]
[TD="width: 601, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="colspan: 2"] ''Let us struggle with all our hearts towards
the path of civilization just like other tribes
are doing.

It does not matter if we do not accomplish
everything.

Those who will come after us will finish the rest.'' [1]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] See Buruku, op. cit. p. 105.


[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Msome: Duverger, Maurice, Political Parties: Their Organisation
and Activity in the Modern State,
John Wiley and Sons, New York,
1963
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Hizo taarifa ulizobandika hebu fananisha na haya nilokuwekea kutoka kwa
''wenyewe'' walioasisi TAA na TANU kisha jisikize wewe mwenyewe.

Wajuzi wa historia ya Afrika waliposoma haya hawakustahamili...
Nilikuwa nimekuja na mambo mapya kabisa.

Walinitafuta.
 
Dullah, mbona untokwa mapovu wakati moto umeuwasha mwenyewe? kwanini unashindwa kujibu maswali rahisi tu yanayotokana na maneno yako mwenyewe? Basi bora nikukumbushe ututusa wako ulipoanzia. Ulikuja na mkwala wako wa kipumbavu huu hapa;
Kipenzi chako Zomba akakuwekea "Like" ya nguvu. Lakini watu wenye busara zao waliokuwa wanafuatilia makelele yako huko nyuma wakawa na mchango huu hapa;

Wewe kwakuwa huwa unaazimwa akili na Mohamedi Saidi, ukaja na upuuzi huu hapa;
Hilo la utamaduni wa sehemu nakubaliana nawewe moja kwa moja,,

Ila hoja yangu kuu ni kwamba tuliokawa tuna juhudi tulikuwa wengi sana,lakini mwishon tulijikuta tuliosonga mbele sa safari tulikuwa wachache sana kupitiliza..
Kwania njema kabisa mimi nilikukumbusha kwamba hukuwa na msimamo thabiti kwenye jambo unalolitetea kuhusu mfumo hisia (mfumo kristo), ukaja na mitusi yako kwa kiingereza cha kuungaunga;
My alma mater was books,wiseful discussions, a good library.... I could spend the rest of my life reading, just satisfying my curiosity,,

And not wasting my time talking with Ridiculous People like you..

wewe si hutumii akili katika kufikiri?

utaelewa vipi mantiki yangu,mimi nishakupuuza tokea mda mrefu sana..

nakukanyaga kanyaga tuh kama makubazi ya kwendea msalani kwa hoja..

Mwishoni maumivi yakakuzidi kichwani, ukasahau kabisa kwamba wewe ni tutusa ukaja na ujinga wa kutisha kama hivi; Bwana Dullah badala ya kujibu maswali rahisi tu kwamba wakati wewe muislam safi unaedai mfumo kristo unawaumiza waislam inakuaje wewe unafanikiwa kwenye mfumo huohuo, unakuja na makelele ya hovyo na kuwaomba MODS wawashughulikie wanao kuuliza maswali!! kweli huu ni uungwana? ni uislam gani huu bwana Dullah?
 

Mohamed Said,

Unafundisha hili darsa la historia ya Tanganyika kwa ustadi mkubwa mpaka mtu wa darsa la chini kabisa anakuelewa.

Tunaendelea kukusoma...
 

Nimekusoma na nimekuelewa, lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya Uislam na Uarabu na pia kuna Tofauti kubwa sana kati ya Ukristo na Uzungu

sidhani hao uliowaweka hapo wameachieve hayo kwa sababu ya Uislamu wao

unaweza amini kuwa Uislam ndio uliyoua hiyo sayansi ya Uarabuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…