Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


Mohamed Said,

Huyu
Mag3, huwezi tena kumshauri kitu chochote ndani ya kichwa chake kwenye "Brain Stem" kaishapafunga haitaji kusikia jambo jipya lolote kuhusu Wazee Wazalendo kutoka Dar es Salaam kama walipigania uhuru wa Tanganyika.

Bahati mbaya au nzuri huyu ndiyo gwiji wao wa historia wanaomuamini baadhi ya watu humu JF.

Wewe hauoni anafikia hatua ya kuchakachuwa maandishi hili wamuone kaandika ukweli.

Kanasa kwenye mtego wa Taa.
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo majibu uliyokuwa unataka ndiyo ayo; wapewe nisani na wao kupewa nishani kumekuriddhisha? au kuna kingine ambaco ungependa serikali ifanye? au kuna jambo jingine ambalo ungependa liwe?
 
Kwa hiyo majibu uliyokuwa unataka ndiyo ayo; wapewe nisani na wao kupewa nishani kumekuriddhisha? au kuna kingine ambaco ungependa serikali ifanye? au kuna jambo jingine ambalo ungependa liwe?

Naona umegeuka kuwa msemaji wa serikali ya CCM.
 
Kwa hiyo majibu uliyokuwa unataka ndiyo ayo; wapewe nisani na wao kupewa nishani kumekuriddhisha? au kuna kingine ambaco ungependa serikali ifanye? au kuna jambo jingine ambalo ungependa liwe?

Mwanakijiji,

Mimi naona ni vizuri ukaa pembeni kuwa msomaji kuliko kuleta masuala kama haya.

Kwani Mohamed Said ameweka wazi kila kitu kuwa NIA YAKE ni wale wazee wake waliosahaulika katika kupigania uhuru wa nchi yenu nao watambulike.

Kutambulika sio tu kwa kupewa nishani BALI NI KUWEKWA KWENYE HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA NA KUONEKANA MCHANGO WAO KATIKA KUPIGANIA UHURU HUO. Sio kama ilivyo sasa historia imeanzia kwa Nyerere na kumalizikia kwake wengine wote hakuna.

Pole sana ahali yangu
 

Barubaru,

Ahsante ndugu yangu huenda wewe akakuelewa.

M
 


inakuwaje wazungu waichukue elimu ya ndani ya Quran na wenye Quran (wakati huo) Elimu iwatoke? we uoni kuna walakini hapo? Waarabu ndio walikuwa wageni wa kwanza kuja hapa Pwani ya Africa MAsahariki, walituletea elimu Dunia gani? au ndio walishanyanganywa na Wazungu?

Mkuu Ritz, Hilo la kusema Elimu imetoka na hipo ndani ya Quran ni miongoni mwa sababu zilizoiua Sayansi na elimu ya mwarabu kwa ujumla wake n
Wasomi wa dini (wakati huo) ndio waliokuwa wapingaji kwa kuwaambia wanayasansi kuwa sayansi yote hipo ndani ya Quran, na wengi waliacha kufanya tafiti wakawa bize kwenye Quran kutafuta sayansi,
 
Bado hujajibu swali la msingi la Mwanakijiji
 

Ndugu yangu Kituko kwanza unatakiwa utambue Qur'an siyo kitabu cha waarabu ni kitabu cha Waislm na wale ambao siyo Waislam wanaruhusiwa kukisoma na kikifanyia kazi.

Kituko ingekuwa vizuri kama haya maneno yako yangekuja na data na facts za kutosha kuliko kuja na maneno matupu yanakosa nguvu.
 
Kwa hiyo majibu uliyokuwa unataka ndiyo ayo; wapewe nisani na wao kupewa nishani kumekuriddhisha? au kuna kingine ambaco ungependa serikali ifanye? au kuna jambo jingine ambalo ungependa liwe?


Babu mfia Dini,,

kadiri unavozid kuzeeka ndivo pishi lako la ujinga linavozid kuongezeka..

Ulifanya jambo la maana sana pale awali kubakia kuwa mtazamaji kama wanavofanya wengine wenye hekima zao..

We believe in the brotherhood of Tanzania,all Tanzanians,but we don't believe in brotherhood with anybody who doesn't want brotherhood with us. we believe in treating people right, but we are not going to waste our time trying to treat somebody right who doesn't know how to return the treatment..

BABU MFIA DINI KETI CHINI UPUMZIKE..
 

we yaani hamna kitu kabisa we ndio ukae chini upumzike, yaani we hauna unachosaidia zaidi ya mipasho tu angalau ritz ana point kidogo yaani wewe ni full pumba tu,wewe fan unayoiweza ni kupigania gas ibaki Mtwara tu isiende Dar es salaam! Wewe unamwambia Mwanakijiji apumzike wakati watu tuna gain vitu kutoka kwake, sasa wewe kwako tuna gain nini zaidi ya pumba tu... Wewe ndio ukae chini upumzike...
 

Barubaru,

..lakini Mohamed Said naye amerudia makosa ya "historia iliyoandikwa Kivukoni", na kuongeza mengine ya kwake.

..kwa mtizamo wangu, kosa la kwanza la Mohamed ni kuandika historia as if harakati za uhuru zilianzia na kumalizikia na jamaa wa Gerezani.

..kosa la pili, ni juhudi zake za kudunisha michango wa wa-Tanganyika wengine, hususan, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

..kuna kipindi wananchi wa Usukumani ndiyo walikuwa wachangiaji wakubwa wa chama cha Tanu. Sasa nani alikipeleka chama Usukumani? Nini kilisababisha Tanu ikawa maarufu Usukumani?

..kosa la tatu, ni haya mambo yake ya udini-udini huku akidai kwamba anawakilisha wazee wa waasisi wa Tanganyika. Mohamed Said is an Islamist, na wale wazee wa D'Salaam, pamoja na kwamba walikuwa Waislamu, lakini ninashawishika kuamini hawakuwa na tabia na mitizamo kama hii ya Mohamed Said.

..Kuna makosa aliyokuwa akiyafanya mkoloni; hali ya kufunguka wazalendo wa Tanganyika ktk kudai haki zao; halafu Tanu kutumia mianya hiyo kujipatia uhalalali ktk umma wa wa-Tanganyika. Kwa mtizamo wangu Mohamed Said ameshindwa kuunganisha hizo pieces katika uandishi wake wa historia ya uhuru wa Tanganyika.

..Najua majibu kwa hoja yangu yatakuwa "basi na wewe andika kitabu chako". well, mimi sio mwandishi wa vitabu. Lakini niongeze, ndoto yangu ni kwamba in our life time atokee mwandishi ambaye ataandika historia yetu kwa kuzingatia ule msingi wa "TANU SPIRIT" ambapo hali ya kusimangana kidini haikuwepo.

Ritz, DULLAH MSAVIVOR, Jasusi, Pasco, Companero, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji
 
JokaKuu,

Umekisoma kitabu cha Mohamed Said.
 
Last edited by a moderator:


I think umeconfuse kidogo,

Hebu kaa chini ukiangalie tena ulichokiandika..
Ila pole sana,na upunguze jazba na hasira..
 
JokaKuu,

Umekisoma kitabu cha Mohamed Said.
Ritz,

..pamoja na kuangalia video zake, na zile za maswahiba wake.

..kuna ule msemo wa "show me your friends..."

..kuna video moja Mohamed anasema "Alhamdulilah sijawahi kukutana na Mmanyema Mkristo..."

..sasa katika Tanzania yetu, au hata dunia hii tunayoishi, hizo ni fikra za kuwa nazo kweli, au hayo ni maneno ya kutamka hadharani bila hata kupepesa ukope??
 
Last edited by a moderator:

JK,

Ikiwa wewe unaona hilo ni tusi ni bahati mbaya.

Kwa hakika kama unavyoona Warufiji, Wangazija
huwezi kupata Mkristo katika Wamanyema.

Huu ni ukweli wala si kitu mimi nione aibu kukisema.
 

JK,

Kuwa mimi ni ''Islamist'' ukimaanisha naupenda Uislam...
Hujakosea kabisa.

Hakika naupenda Uislam sana.

Kuwa kuanza na kumalizikia Gerezani hiyo si kweli angalia hapa chini
content ya kitabu changu:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Part One[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Abdulwahid Sykes 1924-1968[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 1. The Sykes: Origins 1894-1929 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Old Town of Dar es Salaam and its Elites [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Kleist Sykes, Pioneer and Man of Ideas: 1894-1949 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · World War One 1914-1918 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Founding of the African Association and Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Muslim Association of Tanganyika), 1929-1933 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Chapter 2.The Second World War and Tanganyika's Political Foundation, 1938-1945[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Burma Infantry, 1942 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 3. Dar es SalaamDockworkers Movement 1947-1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Dar es Salaam Port, 1947 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Erika Fiah [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Dockworkers' Union, 1948 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 4. The Genesis of Open Politics in Tanganyika 1950 -1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Tanganyika African Association, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TAA Political Subcommittee, 1951 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanganyika as a Mandate Territory [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Kenyan Nationalists in the Struggle of Tanganyika,1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TAA and KAU: Attempts at Linkage and Solidarity, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Meru Land Evictions, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 5. Julius Kambarage Nyerere [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Story of Julius Nyerere, 1952 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanganyika African National Union (TANU)-The Party of Independence, 1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 6. The Pan African Congress of Northern Rhodesia, 1953 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Ally Kleist Sykes [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1]Part Two[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Mass Mobilisation and Independence 1954-1961[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 7. Mass Mobilisation 1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Elders' Council and Nyerere's Visit to the United Nations, New York, 1954 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Idd Faiz Mafongo [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The African Press-Ramadhani Mashado Plantan, 1950 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Ahmed Rashad Ali-Radio Free Africa (Radio ya Afrika Huru), 1952 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Propagandists-The Bantu Group,1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Incorporation of Swahili Women's Societies into the Struggle, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Football As a Political Weapon [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 8. The Formation of the Party in the Provinces [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Central Province, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Southern Province, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Western Province, 1955 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Tanga Province, 1956 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · TANU in Mombasa, Kenya, 1957 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 9. The Tabora Conference-The Road to Independence, 1958 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Tanga Strategy, 1958 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Debate for Tripartite Voting [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Pan-African Movement of East and Central Africa (PAFMECA), 1958 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Independence, 1961 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Part Three[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=2]Conspiracy Against Islam 1961-1970[/h] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 10. The Muslim Factor in Post-Independence Tanzania 1961-1970 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Islam: The Ideology of Colonial Resistance [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The First Muslim Congress, 1962 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Resistance to Change [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Second Muslim Congress, 1963 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Proposal for an Islamic University, 1964 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Politics of Islam, Church, State and the African Christian [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] Chapter 11. The East African Muslim Welfare Society (EAMWS) ‘Crisis' [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Fomentation of the BAKWATA ‘Crisis' [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Nyerere, Tewa, Bibi Titi Encounter, 1968 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · The Islamic National Conference, 1968 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Omissions Analysed [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Betrayal of Ideals [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Conspiracy Theory [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Epilogue [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] · Bibliography [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Si kweli kuwa nimeanza na kumalizikia na Gerezani.
Kisome kitabu changu kisha rejea tujadili.

Ungesoma kitabu usingekuja na hoja hizo zako.
 

JokaKuu,

Basi kitafute hicho kitabu kimetaja kwingi sana siyo kweli kimeanzia gerezani na kuishia gerezeni.

TANU imetoka Dar es Salaam imekwenda Tabora, Tanga, Lindi, Shinyanga, Mwanza, Kilimanjaro, Dodoma, Bukoba, Morogoro, TANU imefika mpaka Kenya Mombasa.

TANU haikuanzia kwa Nyerere na kuishia kwa Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…