Haya maneno ni ya Abdulwahid Sykes?
Kama ni ya kwake basi mjadala umekwisha kuhusu nani aliasisi TANU.
Ritz,
Hawa wazee walifanya kazi kubwa kuikomboa Tanganyika.
Hiyo hapo ni 1951.
Sasa ndugu zetu wao wameshikilia tu historia ianze na Nyerere
1954 na TANU hiyo TANU wenye TANU yao wasitajwe.
Itawezekana vipi?
Huyo mdogo wake.
Unakijua kisa cha Kasella Bantu kuhusu waasisi wa TANU na picha ya kuchakachuwa.
Mjadala bado mbichi kabisa watu wanapata darsa.
Mzee Said uwe mkweli basi na mwenye haki; hivi ni nani kati yetu ambaye amewahi kudai hata mara moja kuwa hhistoria "ianze na Nyerere"? Lakini pia uwe mwenye haki unapozungumzia "wenye TANU" hhivi watu wa Mwanza siyo wenye TANU? hivi Nyerere siyo miongoni mwa wenye TANU? au TANU ilikuwa ni ya "wazee" wako na wengine wamewekwa pembeni. Ukiwakatalia wengine na wewe mwenyewe jifunze kujikatalia kupandikiza mbegu za ulaghai wa maneno.
Kwa hiyo mdogo wake hajui nani aliiasisi TANU kwamba ni Kakake huko Burma? na siyo Nyerere na wapigania uhuru wengine 16?
MM,
Unataka kunambia nini?
Historia ya Kivukoni College hata kwa
mbali iliwataja wazee wangu?
Ingekuwaje leo kama nisingeandika
kitabu hiki?
Nasubiri jibu lako.
Sasa ndugu zetu wao wameshikilia tu historia ianze na Nyerere
1954 na TANU hiyo TANU wenye TANU yao wasitajwe.
Mohamed Said said:Wanaweza kupitia vitabu na paper za John Iliffe kuhusu AA kujiridhisha ikiwa watapenda. Cecil Matola kuwa ni muasisi mkuu wa AA hapana. Kleist Sykes alitawala historia ya Dar es Salaam katika miaka ile hadi 1949 alipofariki kwa sababu ya mambo mengi kubwa likuwa elimu yake na uwezo wake wa fedha.
Baada ya kuumbuliwa na hayo maandishi, Mohamed Said karudia kule kule (in his shell)!...katika utetezi wake anapobanwa, hakimbilii tena kumnukuu John Iliffe, hapana, anajinukuuu yeye mwenyewe na kujaza page za JF na porojo zake za toka utotoni, porojo zile zile tunazozipinga kuwa hazina ukweli wowote. Lakini cheerleader wake mkuu Ritz halali wala hapumziki, anakesha hapa JF akipiga filimbi kwa kuzirudiarudia hizo ngano za mwalimu wake...hakika inachosha.John Iliffe said:The African Associations concern for unity arose from its founders' experience. Its first President was Mwalimu Cecil Matola, the aristocratic Yao teacher educated at Kiungani who worked in Kenya before becoming a pioneer of TTACSA and senior African teacher at the Dar es Salaam government school, which made him almost ex-officio leader of the capital's educated Africans. The first association's inaugural meeting took place in his house and he remained its President until he died in March 1931.. Through him the African Association inherited Kiungani's supra-tribal unity and the predominance which its former pupils enjoyed during the 1920s.
Ritz, ungekuwa unatusoma sisi tunaompinga huyu mchochezi ungegundua tofauti moja kati yetu naye...wakati sisi tunahubiri upendo, umoja na amani kama Watanzania, yeye kajikita katika kuwagawa Watanzania katika misingi ya dini akijitahidi kupandikiza mbegu za chuki miongoni mwetu.
hapo ndipo palipo na ngoma; watetezi wa Mohammed Said watakapogundua kuwa wameuziwa pakacha tupu la histohisia hawataweza kujirudi na kusema tulipotoshwa; watatokomea mmoja mmoja...
Ritz, nimeingia nimekuta umenitajataja mara nyingi tu lakini ngoja nikutoe hofu...tofauti kubwa kati yangu na wewe ni kuwa mimi ni binadamu anayehitaji kufanya kazi, kupumzika, kulala na akiamka awe fresh aweze kutumia vizuri akili zake alizopewa na Muumba wake. Kwanza, mimi si kipaza sauti wa mchochezi kama Mohamed Said, hilo moja na la pili ni kuwa nazisoma hizi hekaya zake kama ambavyo ningesoma za alfu lela ulela...they are entertaining but just a collection of cooked stories...neither true nor relevant.
Mohamed Said hakimbilii tena kumnukuu John Iliffe, you wanna know why? I bet you dont! Kwa sasa anahangaika akijaribu kumnukuu Judith Listowel ambaye mwanzoni hakutaka kabisa kukubaliana na aliyoandika, you wanna know why? I bet you dont! Ameulizwa kwa nini hajaweza kuwahoji wazee waliokuwapo na bado wako hai lakini kama kawaida ya muongo hilo hathubutu kulifanya, you wanna know why? I bet you dont! Salama yake iko katika kuwanukuu marehemu ambao wametangullia mbele ya haki! I can bet, even that, you dont wanna know why!
Tazama hapa chini huyu mchochezi alivyoumbuliwa na maandishi ya John Iliffe;
Baada ya kuumbuliwa na hayo maandishi, Mohamed Said karudia kule kule (in his shell)!...katika utetezi wake anapobanwa, hakimbilii tena kumnukuu John Iliffe, hapana, anajinukuuu yeye mwenyewe na kujaza page za JF na porojo zake za toka utotoni, porojo zile zile tunazozipinga kuwa hazina ukweli wowote. Lakini cheerleader wake mkuu Ritz halali wala hapumziki, anakesha hapa JF akipiga filimbi kwa kuzirudiarudia hizo ngano za mwalimu wake...hakika inachosha.
Ritz, ungekuwa unatusoma sisi tunaompinga huyu mchochezi ungegundua tofauti moja kati yetu naye...wakati sisi tunahubiri upendo, umoja na amani kama Watanzania, yeye kajikita katika kuwagawa Watanzania katika misingi ya dini akijitahidi kupandikiza mbegu za chuki miongoni mwetu. Sijui kama patakalika siku atakapokutana uso kwa uso na Mmanyema Mkristo na ni bahati ilioje kuwa mpaka wakati huu anazeeka hiyo balaa haijawahi kumfika, alhamdulilahi!
Mzee Said ndio maana nazema uwe mkweli; hivi ni sisi ndio tulioandika hiyo historia ya Kivukoni? Madai yako hapo juu unatuhumu sisi tunaobishana nao kudai kuwa historia "ianzie na Nyerere" tu. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anajua historia ya Tanganyika ambaye kwa dhamiri safi anaweza kudai hivyo. Kama tatizo lako ni historia ya Kivukoni inabidi uende Kivukoni kuwalaumu wao na kama walioandika hiyo historia ya Kivukoni ni wana CCM basi ugomvi wako uwe na CCM na siyo na kila Mtanzania anayepinga hoja dhako dhaifu na historia ambayo umeipindisha.
Ni wewe umesema
sasa hawa "ndugu" zenu ni kina nani? Sijaona hadi hivi sasa mtu wa Kivukoni akijadiliana na wewe; tunaona watu wanaojadiliana na wewe na kupinga historia yako wengi siyo wana CCM na hivyo hawawezi kuwa wawakilishi wa Kivukoni kwani wanaokuunga mkono ni wana CCM au mashabiki wa CCM (Kivukoni) na hivyo hao wameshasahihisha. Sasa kama unaposema "ndugu zako" una maana sisi tunaobishana na wewe basi uwe mkweli na mwenye kupenda haki - hakuna hata mmoja wetu ambaye amedai kuwa historia ya TANU inaanza na Nyerere au kuwa Nyerere alikuwa peke yake katika kupigania Uhuru.
Tunachosema kuhusu Nyerere kiko wazi na hadi hivi sasa katika histohisia yako hujaweza kukipinga:
- a. Nyerere ndiye alikuwa kinara wa harakati za kupigania Uhuru baada ya kutoka Uingereza
- b. Nyerere alishirikiana na wapigania uhuru wengine kuhamasisha umma - yeye akiwa kiongozi wao
- c. Nyerere kutokana na umahiri wa uwezo wake, uthubutu wa maono yake na kina cha fikra zake alipendwa na wazee wetu akiwa kijana na hivyo walimuamini kama kiongozi wao - japo wangeweza kupata watu wengine.
- d. Nyerere ndiye alikuwa Rais wa kwanza wa TANU na ni kutokana na juhudi zake binafsi alihamasisha wananchi wengi kujiunga na TANU kuliko waliowahi kuwemo kwenye TAA matokeo yake ni TANU kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa kura tatu na hata chaguzi za baadaye kama ule wa 1965
- e. Nyerere katika kupigania uhuru aliheshimu Waislamu, Uislamu na alishirikiana na Waislamu kwa umakini mkubwa. Hakuna rekodi yeyote - iwe ya maneno, picha au sauti - ambapo Nyerere amewahi kunukuliwa akitoa neno baya dhidi ya Uislamu au Waislamu - kabla ya kupigania Uhuru, wakatiw wa kupigania uhuru, mara baada ya uhuru au wakati wote wa utawala wake na baadaye.
Mzee Said hayo mambo matano (kati ya mengine mengi) ndiyo tunayoyasema. Nikuulize wewe lipi kati ya hayo matano si ya kweli kuhusu Nyerere? Nasubiri jibu lako.
MM,
Huko mimi nimepita miaka mingi sana.
Hayo usemayo si muhimu kamwe.
Kitabu changu kimebadili historia hiyo.
Kuijadili na wewe hii leo hakuna tija.
Mohamed, hapo ndipo tatizo na ubabaishaji wako unapoanzia. Kila mtu ana imani na dini yake na kwamba imani yake hiyo ndio sahihi kuliko imani nyingine. Ili tukae na kwa amani tulionayo katika nchi yetu, inatupasa kutoachana na uchochezi wako kwamba uislam ndio pekee na asie muislam kaikosa neema.JK,
Uislam ni nema na ndiyo maana nashukuru.
Wala siwezi kuona aibu kukwambia maneno
haya.
Mimi nakutamania na wewe nema hii uipate.
Hii ndiyo maana yangu ya kusema Alhamdulilah
kuwa watu wa kabila langu wanayo hii nema.
Mohamed, hebu nukuu au onyesha bandiko moja tu kuthibitisha kuwa watu wanataka historia ianze kwa TANU na kuishia kwa TANU.Ritz,
Hawa wazee walifanya kazi kubwa kuikomboa Tanganyika.
Hiyo hapo ni 1951.
Sasa ndugu zetu wao wameshikilia tu historia ianze na Nyerere
1954 na TANU hiyo TANU wenye TANU yao wasitajwe.
Itawezekana vipi?
MM,
Huko mimi nimepita miaka mingi sana.
Hayo usemayo si muhimu kamwe.
Kitabu changu kimebadili historia hiyo.
Kuijadili na wewe hii leo hakuna tija.
Ritz, unamaanisha nini hapo kwenye rangi nyekundu?
Ritz, nimeingia nimekuta umenitajataja mara nyingi tu lakini ngoja nikutoe hofu...tofauti kubwa kati yangu na wewe ni kuwa mimi ni binadamu anayehitaji kufanya kazi, kupumzika, kulala na akiamka awe fresh aweze kutumia vizuri akili zake alizopewa na Muumba wake. Kwanza, mimi si kipaza sauti wa mchochezi kama Mohamed Said, hilo moja na la pili ni kuwa nazisoma hizi hekaya zake kama ambavyo ningesoma za alfu lela ulela...they are entertaining but just a collection of cooked stories...neither true nor relevant.
Mohamed Said hakimbilii tena kumnukuu John Iliffe, you wanna know why? I bet you dont! Kwa sasa anahangaika akijaribu kumnukuu Judith Listowel ambaye mwanzoni hakutaka kabisa kukubaliana na aliyoandika, you wanna know why? I bet you dont! Ameulizwa kwa nini hajaweza kuwahoji wazee waliokuwapo na bado wako hai lakini kama kawaida ya muongo hilo hathubutu kulifanya, you wanna know why? I bet you dont! Salama yake iko katika kuwanukuu marehemu ambao wametangullia mbele ya haki! I can bet, even that, you dont wanna know why!
Tazama hapa chini huyu mchochezi alivyoumbuliwa na maandishi ya John Iliffe;
Baada ya kuumbuliwa na hayo maandishi, Mohamed Said karudia kule kule (in his shell)!...katika utetezi wake anapobanwa, hakimbilii tena kumnukuu John Iliffe, hapana, anajinukuuu yeye mwenyewe na kujaza page za JF na porojo zake za toka utotoni, porojo zile zile tunazozipinga kuwa hazina ukweli wowote. Lakini cheerleader wake mkuu Ritz halali wala hapumziki, anakesha hapa JF akipiga filimbi kwa kuzirudiarudia hizo ngano za mwalimu wake...hakika inachosha.
Ritz, ungekuwa unatusoma sisi tunaompinga huyu mchochezi ungegundua tofauti moja kati yetu naye...wakati sisi tunahubiri upendo, umoja na amani kama Watanzania, yeye kajikita katika kuwagawa Watanzania katika misingi ya dini akijitahidi kupandikiza mbegu za chuki miongoni mwetu. Sijui kama patakalika siku atakapokutana uso kwa uso na Mmanyema Mkristo na ni bahati ilioje kuwa mpaka wakati huu anazeeka hiyo balaa haijawahi kumfika, alhamdulilahi!
Ritz, nimeingia nimekuta umenitajataja mara nyingi tu lakini ngoja nikutoe hofu...tofauti kubwa kati yangu na wewe ni kuwa mimi ni binadamu anayehitaji kufanya kazi, kupumzika, kulala na akiamka awe fresh aweze kutumia vizuri akili zake alizopewa na Muumba wake. Kwanza, mimi si kipaza sauti wa mchochezi kama Mohamed Said, hilo moja na la pili ni kuwa nazisoma hizi hekaya zake kama ambavyo ningesoma za alfu lela ulela...they are entertaining but just a collection of cooked stories...neither true nor relevant.
Mohamed Said hakimbilii tena kumnukuu John Iliffe, you wanna know why? I bet you dont! Kwa sasa anahangaika akijaribu kumnukuu Judith Listowel ambaye mwanzoni hakutaka kabisa kukubaliana na aliyoandika, you wanna know why? I bet you dont! Ameulizwa kwa nini hajaweza kuwahoji wazee waliokuwapo na bado wako hai lakini kama kawaida ya muongo hilo hathubutu kulifanya, you wanna know why? I bet you dont! Salama yake iko katika kuwanukuu marehemu ambao wametangullia mbele ya haki! I can bet, even that, you dont wanna know why!
Tazama hapa chini huyu mchochezi alivyoumbuliwa na maandishi ya John Iliffe;
Baada ya kuumbuliwa na hayo maandishi, Mohamed Said karudia kule kule (in his shell)!...katika utetezi wake anapobanwa, hakimbilii tena kumnukuu John Iliffe, hapana, anajinukuuu yeye mwenyewe na kujaza page za JF na porojo zake za toka utotoni, porojo zile zile tunazozipinga kuwa hazina ukweli wowote. Lakini cheerleader wake mkuu Ritz halali wala hapumziki, anakesha hapa JF akipiga filimbi kwa kuzirudiarudia hizo ngano za mwalimu wake...hakika inachosha.
Ritz, ungekuwa unatusoma sisi tunaompinga huyu mchochezi ungegundua tofauti moja kati yetu naye...wakati sisi tunahubiri upendo, umoja na amani kama Watanzania, yeye kajikita katika kuwagawa Watanzania katika misingi ya dini akijitahidi kupandikiza mbegu za chuki miongoni mwetu. Sijui kama patakalika siku atakapokutana uso kwa uso na Mmanyema Mkristo na ni bahati ilioje kuwa mpaka wakati huu anazeeka hiyo balaa haijawahi kumfika, alhamdulilahi!
Unataka kutuambia kwamba kama wewe usingeandika, ukweli wa wazee wako kushiriki katika mapambano kama watanganyika na sio kama waislam ungebadilika?MM,
Unataka kunambia nini?
Historia ya Kivukoni College hata kwa
mbali iliwataja wazee wangu?
Ingekuwaje leo kama nisingeandika
kitabu hiki?
Nasubiri jibu lako.