Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Akigombana na hao ulowataja ndio kuwa hakuifungia EAMWS kwa husda
Waislam wataneemeka na Chuo Kikuu walichokuwa wanataka kujenga?
Mohamed, majibu yao hayajajibu hoja ya Ngongo. Ameuliza vipi alipogombana na wakristo, je aliuchukia ukristo? Na Kikwete naye na akina Ponda je ameuchukia Uislam?

Hakuna mahali ameuliza kuhusu EAMWS, labda tu kama unatafuta mlango wa kutokea kama kawaida yako.
Hata hivyo tutakufuata huko huko EAMWS.
Mohamed, EAMWS ilianzia Mombasa, je na huko Nyerere aliipiga marufuku.
Agakhan ndiye alikuwa mlezi wa EAMWS, kwanini yeye anarudi kujenga chuo kikuu kule kule alikoona dhulma.
Je, unaamini kuwa EAMWS iliwalenga wazawa ambao hadi sasa hawajaweza kusimamia taratibu za madrsa alichilia mbali shule.

Na mwisho, kwanini waswahili tu na wala si Ismailia, Bohora au Shia! kwanini Nyerere awe na husda na waswahili tu.
 
 

Mkuu unadhani kuwa tupo hapa kwa ushindani katika uzi huu? Laiti kama tungekuwa katika ushindani huo basi ulishashindwa siku nyingi sana tangu uzi huu uanze,

Hujajibu hoja zote zilizopo kwenye maandiko yangu pale juu na zaidi hujajibu hoja za wadau makini hapa jukwaani waliobega kwa bega nasi katika mnakasha huu.

Yatendee haki kwanza hayo kisha jinasibu.
 

Yericko,

Sahib wangu karibu jamvini.
 

Vipi nyumbani hawajambo lini utaenda butiama kuleta ushahidi.
 
Mohamed, scholar!real!

Nikupe kionjo kidogo.
Huko nyuma umeeleza ...........Abdul Sykes alianzisha TANU na ndoto zake kutimia rasmi 6 years (1954).
Hapa ulimaanisha kuwa alianzisha TANU 1948 presumably akiwa vitani.

Post zilizofuata ukamnukuu Abdul Sykes akisema ....... yeye akiwa ni founder wa TANU.

Mara nyingi umekuwa unamwekea Sykes maneno asiyosema(evidence zipo), kuna u-scholar wa namna hiyo kweli.
Nitakubaliana nawe ukisema wewe ni story teller
 
 
Akigombana na hao ulowataja ndio kuwa hakuifungia EAMWS kwa husda
Waislam wataneemeka na Chuo Kikuu walichokuwa wanataka kujenga?
Hoja kuu ya Ngogo imesimama huru inahitaji majibu yako siyo haya uyajibuyo ndugu yangu.
 

Nguruvi,

Nilikuwa na rafiki yangu Mmarekani tunakwenda Chicago tukitokea Ohio City.
Tunapita pembeni ya Mississipi River.

Akanionesha ule mto.
Mimi nikamwambia asiwe na haja ya kunieleza mimi naujua sana.

Akashangaa nikamwambia mimi nilipokuwa mtoto nilikuwa nacheza hapo na rafiki
yangu Tom Sawyer.

Akanambia, ''Mohamed you amaze me.''

Nikamjibu, ''I am related to Mark Twain.''

Akacheka sana akanambia, ''So you are Mohamed Twain.''

Nikamjibu, ''No, I am Irving Wallace.''

Nguruvi hujakosea.

I am a gifted story teller just like Irving Wallace.
Seriously I am not jocking.

Try me out.
 

N,

Mnakasha unaanza upya?
Never ending story!
 

ha haa haaa!!.
 

G,

Mpuuzi ni wewe.
Au hujui?
 
Post zilizofuata ukamnukuu Abdul Sykes akisema ....... yeye akiwa ni founder wa TANU.

Mara nyingi umekuwa unamwekea Sykes maneno asiyosema(evidence zipo), kuna u-scholar wa namna hiyo kweli.
Nitakubaliana nawe ukisema wewe ni story teller

A story teller he is! right on... tunaweza kusema kwa kweli ni msimulizi mzuri, anajua kupamba simulizi lake kwa lugha akificha ajenda zake za udini nyuma ya masimulizi; akijitahidi kwa maandishi yake kuwafarakanisha Wakristu na Waislamu wa Tanzania na akitumia ujuzi mdogo wa baadhi ya mashabiki wake kuwaambia mambo ambayo yanavunja kanuni zote za uandishi wa kihistoria, kinyume na mantiki na yanapingana na ukweli wa historia. Masimulizi yake yote kwa kweli yamejaa maneno mengi na ukweli kidogo...
 

Na zaidi ngano zake ni msahafu, hazibishiwi wala kuhojiwa,
 

MM,

Hao hapo chini ndiyo mafatani:

The second book is by Dr John C. Sivalon, who in his expose, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, [1] unmasks a conspiracy in the government to subvert Islam. Sivalon revealed that the Catholic Church as far back as 1961 was worried by two prospects. First, was the unity between the Muslim madhheb (sect) of Sunni, Bohora, Ismailia and Ithnasheri in Tanganyika; and the second, was the transfer of the headquarters of the East African Muslim Welfare Society (EAMWS) from Mombasa to Dar es Salaam. The Church was worried that the resources in the hands of rich Asian Muslim community in East Africa, coupled with the political power of African Muslims, particularly in Tanganyika, would endanger Christian interests in East Africa. The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2] Ibid. p 37.
 
Wewe unasema ni ATHEIST lakini akitajwa Sivalon J. unakasirika na povu linakutoka, utaki kabisa Sivalon watu wamtaje. Vumulia au kakipige marufuku kitabu chake cha.

Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985.
 
I am a gifted story teller just like Irving Wallace.
Seriously I am not jocking.

Try me out.

Now, that part is true...!!! he was a master of fiction... but when he wrote non-fiction he was good at it as well. While he was a true story teller, kwenye historia alikuwa mkweli akiufuata ushahidi wa historia popote ulipompeleka. Kitu ambacho wewe kimekushinda.
 
The Church therefore declared Islam as its enemy in the country and plotted to thwart its progress.[2]

[1] John C. Sivalon, Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985, (Ndanda, 1992).
[2]Ibid. p 37.

Umerudia huu mstari kwa muda mrefu; Kanisa lilitangaza vipi kuwa Uislamu ni adui na unahitaji kupunguzwa nguvu za maendeleo yake? Ni nani katika kanisa la Tanzania aliyetangaza hivyo, lini na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…