Ritz I wish ungekaa kimya kwani mwishowe watu watashindwa kukutofautisha na chombo tu kama
amplifier...whatever the input amplifier inayo kazi moja tu kuikuza hata kama ni kelele tu isiyo na maana. Huyu mchochezi unayemtetea hapa, siku tatu baada ya Raisi wa Kwanza wa TAA, Dr. Vedasto Kyaruzi kufariki moja wa wachangiaji wa JF,
chama alikuwa na haya ya kusema kuhusu porojo za
Mohamed Said;
Jibu la mwalimu wako lilikuwa hili hapa chini;
Ritz,
chama hakukata tamaa na jibu hili, hivyo akaendelea kumdadisi Mwalimu wako;
Ritz yafuatayo ni majibu ya mwalimu wako
Mohamed Said;
Ritz, hayo ndiyo majibu ya mwalimu wako
Mohamed Said baada ya Dr. Vedasto Kyaruzi kufariki na hivi leo hata mwaka haujakatika. Mwalimu wako, mwandishi na mtafiti na mchochezi alikuwa anayo nafasi nzuri tu ya kumhoji na kuongea naye kuhusu mengi ya madai anayoyatoa humu lakini hakuthubutu hata kusogea karibu naye kwani kwa kufanya hivyo, porojo zake hazingeweza kunoga. Anadai Dr. Vedasto Kyaruzi hakuwa Raisi wa kwanza wa TAA huku akijua wazi kabisa kwamba uchaguzi wa kwanza kabisa kwa viongozi wake ulifanyika mwaka 1950 na docta kuchaguliwa Abdulwahid Sykes akiwa katibu wake. Sababu kubwa ya AA kugeuka na kuitwa TAA mwaka 1948 ni kujitoa kwa Zanzibar na viongozi wake kugomea mkutano ulioitishwa Dar es Salaam.
Ritz hapa tunapata picha gani? Je aliomba kumhoji Dr. Vedasto Kyaruzi akakataliwa? Je kweli ni utafiti kuandika kitabu bila kupata source kutoka kwa mhusika mwenyewe akiwa hai? Halafu bila hata chembe cha aibu anadai ni yeye tu ndiye anaijua
historia ya kweli ya harakati za uhuru wa Tanganyika! source? Wazee wake wa Gerezani! Kusema kweli
Ritz, mtu anayeweza kutoa madai kama hayo ya mwalimu wako, nakosa hata jina linalomfaa...am mesmerized, perplexed and astounded at the audacity of it all! But what's worse is the fact there are
Ritzes out there swallowing these
scuttlebutts as if their lives depended on them! Endeleeni kumeza hizo ngano zake lakini wajanja wengi wameshamshtukia, nawapongeza wote waliojivua minyororo ya ujinga.