Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
A story teller he is! right on... tunaweza kusema kwa kweli ni msimulizi mzuri, anajua kupamba simulizi lake kwa lugha akificha ajenda zake za udini nyuma ya masimulizi; akijitahidi kwa maandishi yake kuwafarakanisha Wakristu na Waislamu wa Tanzania na akitumia ujuzi mdogo wa baadhi ya mashabiki wake kuwaambia mambo ambayo yanavunja kanuni zote za uandishi wa kihistoria, kinyume na mantiki na yanapingana na ukweli wa historia. Masimulizi yake yote kwa kweli yamejaa maneno mengi na ukweli kidogo...
Hayo yote unayosema unayaona ni ukweli basi jitahidi wewe na wenzako kuandika sana watu waache kumuamini Mohamed Said.