Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kaunda bado yupo hai unaweza kwenda kumuhoji habari za Ally Sykers.
Hata Ally Sykes yupo na nyaraka zake zipo. Aliyepata access ya kuzitumia tunaye humu. Atuwekee nakala humu. Mbona yeye anaomba ule mkanda wa hotuba ya Mwalimu? Kuna ugumu kulifanya hili? Kitabu chake tumekichoka.
 
Mmekichoka wangapi? Hebu jitajeni tuwajue. Hotuba akuiomba Mohamed Said nyie ndiyo mlisema mtaileta.
 
Tumefikishwa hapa na watu kama wewe. Kinachonishangaza serikali inahangaika na dagaa akina Sheikh Ponda, Ilunga,..., wakati kiongozi wa bendi na mtunzi wa nyimbo wanazoimba ni wewe!

Nyerere mwenyewe alikuwepo hai wakati Mohamed Said ameandika kitabu hakuwahi kusema uchochezi sababu ni ukweli nyie baada ya miaka kumi na tano ndiyo mnalia lia.
 
Nyerere mwenyewe alikuwepo hai wakati Mohamed Said ameandika kitabu hakuwahi kusema uchochezi sababu ni ukweli nyie baada ya miaka kumi na tano ndiyo mnalia lia.
Anayoyasema Mzee Mohamed kwenye misikiti na mihadhara ya Waislam wenzake sio yale tu yaliyomo kwenye kitabu chake cha 1998. Kapanua sana agenda yake hii na anai-update kila mara kulingana na hadhira iliyo mbele yake.
 
Kwa faida ya JF tufahamishe hayo anayosema Mohamed Said Misikitini.
 
KK kaja mara ngapi Tanganyika/Tanzania? Uliwahi kusikia kakutana na Ally Sykes?

Kwa hiyo wewe unataka kutuambia Kaunda akija Tanzania wale wote ambaye anakutana nao wewe unawafahamu.
 
Kwa faida ya JF tufahamishe hayo anayosema Mohamed Said Misikitini.
Yupo na tunae hapa siwezi kumsemea. Ufundi wa kuwasemea wengine anao yeye. Haujawahi kumsikia hata kule Radio Imaan?
 
Kwa hiyo wewe unataka kutuambia Kaunda akija Tanzania wale wote ambaye anakutana nao wewe unawafahamu.
Soma tena swali langu Ritz. WaTanzania hatuna kawaida ya kujibu tulichoulizwa. Badala yake tunapandisha swali juu ya lingine!
 
Yupo na tunae hapa siwezi kumsemea. Ufundi wa kuwasemea wengine anao yeye. Haujawahi kumsikia hata kule Radio Imaan?

Watanzania bana wewe si ndiyo umemsemea kuhusu anachoongea Misikitini unatakiwa usithibitishe unakwepa hoja.
 
Ndiyo niliwahi kusikia kakutana na Ally.
Bila shaka kupitia nyaraka na kitabu cha Mohamed. Acheni kabisa kumlinganisha Mwalimu na akina Sykes. Hawa walianzia harakati zao Kariakoo na kuishia Kariakoo. Hawakuwahi kuwa viongozi wa KITAIFA wa TANU au serikali yake.
 
Katika Waislam wanafiki hawakosi ndiyo hao Bakwata na wengine ndiyo wanaweza kumsifu Nyerere lakini Waislam wengi wanamlaani Nyerere fanya uchuguzi wako katika Misikiti yote ya Tanzania huko ndipo wanapopatika Waislam.

Nani anaujuzi au mamlaka ya kuamua kuwa Abdukarim ni mnafiki na Jaffary sio mnafiki?
Kuhusu hotuba ya Nyerere mwaka 1995 Mohamed Said ameandika:
"The speech was a farce, THE TRUTH is muslims were no better than they were before independence"
Nimemuuliza hiyo "TRUTH" aliipataje hajajibu. Sasa Ritz nisaidie, hao aliowaita "muslims" kwenye hiyo sentence ni waislam wepi? Ni pamoja na akina Kikwete, Bakhresa, wana BAKWATA, Sykes, Salim Ahmed Salim, Salimin Amour, Mustapha Nyang'anyi, Wahindi wa Agha Khan, wenye viwanda na wafanya biashara wa kiarabu, kipemba na kihindi? Give me an honest answer, please.
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka kupitia nyaraka na kitabu cha Mohamed. Acheni kabisa kumlinganisha Mwalimu na akina Sykes. Hawa walianzia harakati zao Kariakoo na kuishia Kariakoo. Hawakuwahi kuwa viongozi wa KITAIFA wa TANU au serikali yake.

WildCard,

Hakuna anayemlinganisha Nyerere na kina Sykes, Nyerere ana hadhi yake.

Alichofanya Mohamed Said kuwaleta hawa wazee wazalendo ambao walikuwa wametupwa nje ya historia ya uhuru wa Tanganyika ni hayo tu.
 
Ahsante, nimeandika kumbe ulishaandika.
Nikushukuru pia kuibua hili kwasababu kuna contradictions nyingi sana miongoni mwa baadhi ya watu.

Ritz anasema ''waislam'' in general walianza kumchukia Nyerere miaka mingi.Pengine walichukia na mfumo wake wa siasa ikiwa ni pamoja na chama alichoasisi akiwa rais na wazee wa Tandamti wakiwa wameshaondolea, hapa nina maana CCM.
Fair enough!

Mohamed Said anasema waislam walinong'oneza wamchague mtu wa CCM katika uchaguzi. Fair enough!

The question is, where do they stand on the issue.
Do they have the common ground! or it's a matter of shoot any moving object.

Asante mkuu Nguruvi3.
Kinachonishinda kuwaelewa hawa ndugu zangu ni jinsi ya definition yao ya "muslims" inavyokuwa dynamic. Wanapoongelea wingi wa waislam basi hata Hassan wanaotambika na kufanya ushirikina na akina Hamis ambao ni criminals na wahindi wa EAMWS wanahesabiwa kuwa waislam . Zikitokea tofauti katika misimamo yao basi BAKWATA na Aga Khan na akina Kawawa wanakuwa sio waislam...
 
Last edited by a moderator:
KK kaja mara ngapi Tanganyika/Tanzania? Uliwahi kusikia kakutana na Ally Sykes?

Don't worry brother WildCard
Kwenye toleo la nne la kitabu, Kaunda akisha tangulia mbele ya haki, tutaona Jinsi Kaunda alivyokuwa akitembelea nyumbani kwa Sykes. Na nyaraka za kuthibitisha hilo atakuwa nazo mtunzi wa histohisia. By then hutatakiwa kumbishia...
 
Last edited by a moderator:
WildCard,

Hakuna anayemlinganisha Nyerere na kina Sykes, Nyerere ana hadhi yake.

Alichofanya Mohamed Said kuwaleta hawa wazee wazalendo ambao walikuwa wametupwa nje ya historia ya uhuru wa Tanganyika ni hayo tu.
Nikupe mfano rahisi tu Ritz: Atakayefanikiwa kuiingiza CHADEMA, CUF au NCCR ikulu, huyo ndie atakumbukwa daima na milele. Hawa viongozi tulionao na waliowatangulia wa vyama hivi watabaki kutajwatajwa tu kwa sentensi moja hapa na pale. Historia ni katili hivo wakati mwingine.

Hawa akina Sykes, Plantan, Kiyate, Amer, hatuna pa kuwaweka kwenye historia ya nchi hii. Watabaki humo kwenye kitabu cha kijana wao. Kawavisha na UDINI ndio kawamaliza kabisa! Wasubiri NCHI hii itakapokuwa ya KIISLAM.
 
G,

Huo umoja utapatikana kwenye haki na usawa.
Kama kukataliwa ningeshakataliwa siku nyingi.

Nilichokiandika katika kitabu changu kimesimama
kwenye ukweli.

Dawa si kukwepa ukweli.

Dawa ni kukaa kitako na kuangalia tunaondokaje
katika hali hii.

Hizo slogans za ''umoja wetu'' hazisimami penye
dhulma.

Niamini ndugu yangu.
Kama ndo ivyo basi tuwakatae ccm na selikari kama taasisi na si kumnyoshea kidole mtu mmoja.
kwanini basi unapofika uchaguzi tumeendelea kuwaunga mkono ccm na dhuluma zao zote?
Au kwasababu kasimama mwislam mwenzetu?
dhuluma.
Mzee ms, dawa ya hii dhuluma ni kuachana na huu utawala wa ccm, tofauti na hivyo ni kudanganyana tu.
Ukifika uchaguzi wa kuachana na hii dhuluma mbona mashehe wanatuelekeza tuwachague ccm?
 
Back
Top Bottom