Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Pole sana
Asante mkuu nasikia FBI nao wako kwenye huu munakasha nawewe ni informer wao naona watu wanapigwa ban kama mchezo wewe unaendelea kutesa haya mkuu endeleeni kubaki wenyewe ambao hamtukani sisi wenye kutukana wacha tupumzike kama RADIO IMAAN 92.6 FM MOROGORO
