Nilichoomba mimi ni barua sio "ngano" zako hizi. Si unasema waliandikiana?
Hata Ally Sykes yupo na nyaraka zake zipo. Aliyepata access ya kuzitumia tunaye humu. Atuwekee nakala humu. Mbona yeye anaomba ule mkanda wa hotuba ya Mwalimu? Kuna ugumu kulifanya hili? Kitabu chake tumekichoka.Kaunda bado yupo hai unaweza kwenda kumuhoji habari za Ally Sykers.
Tumefikishwa hapa na watu kama wewe. Kinachonishangaza serikali inahangaika na dagaa akina Sheikh Ponda, Ilunga,..., wakati kiongozi wa bendi na mtunzi wa nyimbo wanazoimba ni wewe!WC,
Tumefikaje hapa?
Hata Ally Sykes yupo na nyaraka zake zipo. Aliyepata access ya kuzitumia tunaye humu. Atuwekee nakala humu. Mbona yeye anaomba ule mkanda wa hotuba ya Mwalimu? Kuna ugumu kulifanya hili? Kitabu chake tumekichoka.
Tumefikishwa hapa na watu kama wewe. Kinachonishangaza serikali inahangaika na dagaa akina Sheikh Ponda, Ilunga,..., wakati kiongozi wa bendi na mtunzi wa nyimbo wanazoimba ni wewe!
Anayoyasema Mzee Mohamed kwenye misikiti na mihadhara ya Waislam wenzake sio yale tu yaliyomo kwenye kitabu chake cha 1998. Kapanua sana agenda yake hii na anai-update kila mara kulingana na hadhira iliyo mbele yake.Nyerere mwenyewe alikuwepo hai wakati Mohamed Said ameandika kitabu hakuwahi kusema uchochezi sababu ni ukweli nyie baada ya miaka kumi na tano ndiyo mnalia lia.
KK kaja mara ngapi Tanganyika/Tanzania? Uliwahi kusikia kakutana na Ally Sykes?Kaunda bado yupo hai unaweza kwenda kumuhoji habari za Ally Sykers.
Anayoyasema Mzee Mohamed kwenye misikiti na mihadhara ya Waislam wenzake sio yale tu yaliyomo kwenye kitabu chake cha 1998. Kapanua sana agenda yake hii na anai-update kila mara kulingana na hadhira iliyo mbele yake.
KK kaja mara ngapi Tanganyika/Tanzania? Uliwahi kusikia kakutana na Ally Sykes?
Yupo na tunae hapa siwezi kumsemea. Ufundi wa kuwasemea wengine anao yeye. Haujawahi kumsikia hata kule Radio Imaan?Kwa faida ya JF tufahamishe hayo anayosema Mohamed Said Misikitini.
Soma tena swali langu Ritz. WaTanzania hatuna kawaida ya kujibu tulichoulizwa. Badala yake tunapandisha swali juu ya lingine!Kwa hiyo wewe unataka kutuambia Kaunda akija Tanzania wale wote ambaye anakutana nao wewe unawafahamu.
Yupo na tunae hapa siwezi kumsemea. Ufundi wa kuwasemea wengine anao yeye. Haujawahi kumsikia hata kule Radio Imaan?
KK kaja mara ngapi Tanganyika/Tanzania? Uliwahi kusikia kakutana na Ally Sykes?
Bila shaka kupitia nyaraka na kitabu cha Mohamed. Acheni kabisa kumlinganisha Mwalimu na akina Sykes. Hawa walianzia harakati zao Kariakoo na kuishia Kariakoo. Hawakuwahi kuwa viongozi wa KITAIFA wa TANU au serikali yake.Ndiyo niliwahi kusikia kakutana na Ally.
Katika Waislam wanafiki hawakosi ndiyo hao Bakwata na wengine ndiyo wanaweza kumsifu Nyerere lakini Waislam wengi wanamlaani Nyerere fanya uchuguzi wako katika Misikiti yote ya Tanzania huko ndipo wanapopatika Waislam.
Bila shaka kupitia nyaraka na kitabu cha Mohamed. Acheni kabisa kumlinganisha Mwalimu na akina Sykes. Hawa walianzia harakati zao Kariakoo na kuishia Kariakoo. Hawakuwahi kuwa viongozi wa KITAIFA wa TANU au serikali yake.
Ahsante, nimeandika kumbe ulishaandika.
Nikushukuru pia kuibua hili kwasababu kuna contradictions nyingi sana miongoni mwa baadhi ya watu.
Ritz anasema ''waislam'' in general walianza kumchukia Nyerere miaka mingi.Pengine walichukia na mfumo wake wa siasa ikiwa ni pamoja na chama alichoasisi akiwa rais na wazee wa Tandamti wakiwa wameshaondolea, hapa nina maana CCM.
Fair enough!
Mohamed Said anasema waislam walinong'oneza wamchague mtu wa CCM katika uchaguzi. Fair enough!
The question is, where do they stand on the issue.
Do they have the common ground! or it's a matter of shoot any moving object.
KK kaja mara ngapi Tanganyika/Tanzania? Uliwahi kusikia kakutana na Ally Sykes?
Nikupe mfano rahisi tu Ritz: Atakayefanikiwa kuiingiza CHADEMA, CUF au NCCR ikulu, huyo ndie atakumbukwa daima na milele. Hawa viongozi tulionao na waliowatangulia wa vyama hivi watabaki kutajwatajwa tu kwa sentensi moja hapa na pale. Historia ni katili hivo wakati mwingine.WildCard,
Hakuna anayemlinganisha Nyerere na kina Sykes, Nyerere ana hadhi yake.
Alichofanya Mohamed Said kuwaleta hawa wazee wazalendo ambao walikuwa wametupwa nje ya historia ya uhuru wa Tanganyika ni hayo tu.
Kama ndo ivyo basi tuwakatae ccm na selikari kama taasisi na si kumnyoshea kidole mtu mmoja.G,
Huo umoja utapatikana kwenye haki na usawa.
Kama kukataliwa ningeshakataliwa siku nyingi.
Nilichokiandika katika kitabu changu kimesimama
kwenye ukweli.
Dawa si kukwepa ukweli.
Dawa ni kukaa kitako na kuangalia tunaondokaje
katika hali hii.
Hizo slogans za ''umoja wetu'' hazisimami penye
dhulma.
Niamini ndugu yangu.