Boko haram
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 3,256
- 1,231
Pole sana
Umesahau kiti moto ustaadh Boko!Ritz unapata tabu na huyu jamaa anakupotezea muda ni hizi safari zinampa kichwa na viroba achana nae tuendelee na darasa la mzee MS
Nyerere alipambana kumng'oa Idi Amin? really? na alipambana kuung'oa utawala wa Ian Smith Rhodesia, wa Makaburu South Africa kwanini? Ooh well.. kwa sababu Idi Amin alikuwa Muislamu na Nyerere alitaka kumuweka Mkristu Obote... ndio simulizi jipya hili.. na alipopambana kupigania haki ya Wapalestina dhidi ya Waisraeli na kukataa kukanyaga Nchi Takatifu kwa sababu gani? Well, alitaka PLO ichukuliwe na Wakatoliki...
Mohammed Said kawaharibu watoto wetu jamani...
Ataingia na fake ID kama wewe....by the way nisalimie sana Chama wa Gongolamboto.Ritz, kala ban.
Ha ha haaaaaaaaa....wafia dini wa gerezani wote wamepata Ban. Bado kubwa lao la maadui mzee Mohamed Said.
Lakini mimi niliwaambieni hapa kuwa nyinyi wafia dini wa Gerezani huu mjadala teyari mmeshaangukia pua ila kujiondoa
mkawa mnashindwa kwa kuona aibu, so sasa mlichokuwa mnakifanya hapa ni ushabiki na vijembe tu badala ya hoja.
Sasa mmekosa yote. Kwenye mjadala mmekufa chali na ban juu.....shame on u all.
Umesahau kiti moto ustaadh Boko!
yaani mkuu hata wewe unakubaliana na hoja dhaifu za boko haram kuhusu vita ya Kagera?
Mkuu, mfumo kristo ndiyo unaotawala dunia mzima. Utaki unaacha.Mfumo kristo at work!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sheikh Ponda ban,Radio Imani ban,Zomba ban,The big show ban, Ritz ban.Duuh sipati picha hasira mlizonazo.
Poleni sana wafia dini wa Gerezani....sisi wengine hatubabaishwi na hizi dini zilizokuja na meli pale bandarini.
Binafsi naamini Mungu yupo basi...hizo blah blah zingine na vitabu vyenu vilivyoletwa kwa majahazi na meli nawaachieni nyinyi.
Acha kutafuta visingizio bwana mdogo, JF inaendeshwa kwa kanuni zilizowazi kabisa, Ritz na wengine wote wanazifahamu fika. Kuhusu radio yenu Imaan 92.6 nashangaa sana kwanini serikali imetoa adhabu ndogo hivyo, ilitakiwa ifutwe kabisa na wamiliki wake wafikishwe mahakamani. Usiwahofie FBI bwana mdogo, kwani na wewe unajishuku? Mbona wanapeleleza wauaji wa padre kule Zanzibar, naamini hawatamuonea mtu wala hawatapokea rushwa kama ilivyo kwa sie waswahili.Asante mkuu nasikia FBI nao wako kwenye huu munakasha nawewe ni informer wao naona watu wanapigwa ban kama mchezo wewe unaendelea kutesa haya mkuu endeleeni kubaki wenyewe ambao hamtukani sisi wenye kutukana wacha tupumzike kama RADIO IMAAN 92.6 FM MOROGORO
Kama ndo ivyo basi tuwakatae ccm na selikari kama taasisi na si kumnyoshea kidole mtu mmoja.
kwanini basi unapofika uchaguzi tumeendelea kuwaunga mkono ccm na dhuluma zao zote?
Au kwasababu kasimama mwislam mwenzetu?
dhuluma.
Mzee ms, dawa ya hii dhuluma ni kuachana na huu utawala wa ccm, tofauti na hivyo ni kudanganyana tu.
Ukifika uchaguzi wa kuachana na hii dhuluma mbona mashehe wanatuelekeza tuwachague ccm?
Hali ya nchi na uhuru wa maoni ni mbaya.Yaani agizo la Kikwete kwa waislamu linafanya kazi mpaka kwenye mitandao ya kijamii.Ritz, kala ban.
Ukienda kichwa kichwa bila kufuata kanuni za JF hakika ban itakukamata tu.Sawa Farao(Firauni)ukumbi huu maliyenu endeleeni kutesa sina muda utakuta nimepigwa ban
Mkuu, mfumo kristo ndiyo unaotawala dunia mzima. Utaki unaacha.
Ila mimi siyo mfia dini kama wewe! Yaani wewe uko teyari kufa kwa hizi dini za kuletewa na wajanja na vitabu vilivyoandikwa na wajanja na wakatushushia pale bandarini. Shame on u!
Labda tusahihishe historia kidogo. Fundikira hakujiuzulu uwaziri wa sheria mwaka 1963 kwa sababu ya kutofautiana na Nyerere. Fundikira alikuwa waziri wa kwanza katika serikali ya Tanganyika kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa. Ilibidi ajiuzulu kwa sababu hiyo. Nyerere kuna sehemu alielezea kuwa Fundikira alipatikana na hatia lakini hakimu Muingereza aliona shida kumfunga jela. Fundikira akahamia Nairobi ambako alifanya kazi kwenye East African Community.Unajaribu kuwasemea maiti lakini wenyewe kama wangekusikia basi wangekushangaa sana.Mmoja wao ni Mzee Abdullah Fundikira na baba yake.Angalia hapa mjukuu anavyosema keronyingi
Tulipoadhimisha miaka 50 ya uhuru pale uwanja wa taifa na baadaye IKULU pakawa na utoaji wa nishani kwa wawakilishi wa walioshiriki kupigania uhuru. Pale yalitajwa majina 14 kwa mshangao wangu na wa ukoo mzima wa Fundikira hatukusikia jina la Chifu Abdallah Said Fundikira ambaye alitumika kuwashawishi machifu wenzie waiunge mkono TANU katika harakati za kugombea uhuruna alifanikiwa kuwashawishi na wakaiunga mkono TANU hatimaye kupata uhuru. Lakini tangu Mwalimu Nyerere alipoanzisha mfumo wa chama kimoja ndipo walipokorofishana na mpigania uhuru mwenzie Chifu Abdallah Fundikira ambapoa baadae walikubaliana kutokubaliana na ndipo Chifu Fundikira akajiuzulu wadhifa wake wa Uwaziri wa sheria 1963. Lakini tangu siku hiyo serikali ya za TANU na baadaye CCM zimekuwa hazimtendei haki kiongozi huyo na si yeye tu hata babu wa babu yake Mtemi Isike Mwana Kiyungi amekuwa akiwekwa pembeni pale anapotajwa Mtemi wa Tabora na Badala yake kutajwa Mtemi Mirambo pekee na hata ukiangalia majengo pacha ya benki kuu ya Tanzania yanaitwa Mirambo Towers. Sijapata kusikia hata uchochoro tu umepewa jina la Mtemi Isike. Kana kwamba hiyo haitoshi Chifu Abdallah Fundikira kapewa mtaa pale Magomeni Makuti, mtaa huo una nyumba zipatazo kumi tu ukifananisha na wapigania uhuru wengine. Sasa kwa nini hayo yanatokea mimi sielewi labda iulizwe serikali.
Abdullah Said Fundikira,baba yake na Nyerere.
Wacha makelele bwana mdogo, soma tena kananu za JF na uhakikishe umezielewa, hakuna anayeonewa hapa ni hizo jaziba zenu na kutokutumia akili kunakowaponza. Ona sasa badala ya kutafakari jambo kwa akili unahama na kwenda kwenye mitizamo ya kipuuzi. Fikiri kwa kichwa usifikiri kwa moyo!Ilianza Ban kwa THE BIG SHOW,ikaja Ban kwa zomba,sasa tunaona imekuja kwa Ritz,,
Wale wote wanaoonekana ni wana jitanabaisha na kuzikubali zile zinazoitwa Ngano na Histohisa za Mohamed Said wameondolewa na kupewa Ban kwa lugha zisizofaa,huku wengine wengi wanaotumia lugha za matusi na kejeli kwa makusudi na kuharibu mjadala huu wanaachwa,Basi ufungwe tu mjadala ieleweke moja,kila mtu ana haki ya kuzungumza uhalisia,kunyimwa haki kwa wengine huku wengine wakiachwa kunazua maswali mengi sana juu ya uhuru ndani ya jukwaa hili..
Sasa kwa lugha kama hizi ukila ban utashangaa?Tuanze na cdm nani pale anaweza kuingia kwenye historia ukimwangalia katibu mkuu mzi.......z mwenyekiti jd walabda uwapeleke kwenye guinness book ngoja ninyamaze nisije nikala ban kwamaana hali imechafuka kwenye huu uzi sasa hivi utasikia mzee MS kapigwa ban lakini gwalihenzi anatesa kwa raha zake mfumo kristo bwana uko juu!
kile kitakacho anzishwa na kuongozwa na ustaadh Mohamed Saidi!Tusiichague CCM sawa! wewe unashauri tuchague chama gani mbadala? chenye uadilifu, kisichoegemea udini na ukanda?
Kumbe FBI mnaigwaya hivyo!Hali ya nchi na uhuru wa maoni ni mbaya.Yaani agizo la Kikwete kwa waislamu linafanya kazi mpaka kwenye mitandao ya kijamii.
Ama kweli FBI wamekuja kazini Tanzania.
Hapa mwisho wake mpaka Mohammed atakula ban abakie Mwanakijiji na akina Yerico peke yao.Huko mitaani akina Mohammed na Ritz pia hawatokuwa salama.
Wazee wapigania uhuru wakirudi watashangaa watamani kurudi walikotokea kama ashabul Kahfi.