Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jf haina dini, kabila, wala rangi, zingatia sheria zake tu
 
Wewe si ndie unawaambia hao jamaa zako mimi ni THE BIG SHOW?

Na nafurahi sana kusikia ivo,kwan kuna wenzako wengi wana ni PM sana kukejeli kuhus hilo,,

Sasa kama sio ni viroja ni nini??

Hamna hoja..

unajua hapa tupo ma great thinker, yaani unapoingia jf unalazimika kuwa great thinker... Sasa kwa hilo nafikiri hata Boko haram anaweza akagundua, yaani tunasema the secret has been revealed... Humu wote ni magreat thinker... Yaani tunapokea huku tuna reasoning hatumezi moja kwa moja...
 
Last edited by a moderator:
Sio wewe mwenyewe uliyetoa maoni haya kwamba radio imaan ifutwe kabisa mko wengi na mimi najua wewe ni proo CDM, kuhusu mimi kuogopa FBI si kweli mimi siogopi kiumbe aliyepita kwenye njia za mikojo mara mbili!na ameumbwa kwa malighafi ambayo ukimwambia aiweke mfukoni unatafuta ugomvi nae kumbe ndio material aliyo umbwa nayo,kumbe wamekuja kwaajili ya padri vipi wataenda na Geita tupe habari informer
 
Tumia akili kidogo, kwani wewe hujui kwamba Mohamed Saidi ni mtu maarufu na hasa kwenye mihadhara? au unadhani mjadala kuhusu Kitabu chake ni mara ya kwanza kuja hapa Jf?Pole sana!

Na wewe tumia akili yako.
Sasa kama kina miaka 15 nakinajadiliwa hapa JF nakinazidi kuuzwa bila kupata ban hujui kwamba ni ushindi kwa Mohamed?
 
 
Pole sana!
 
Wewe huoni maaskofu na mapadre wanavyo kula ban za ardhini Askofu Laizer ban, padri Mushi ban,yule wa Moshi nae kala ban ha ha haa ngoja mimi niende kwenye mazoezi ya karate nikaweke mwili fit
Nakushauri ukapimwe akili inawezekana kabisa una maralia ya kichwa au unanyemelewa na maradhi ya akili! ninani ambaye hataonja mauti?
 
Bwana mdogo huwezi kumshawishi mtu yeyote kwa kutokwa mapovu! jenga hoja. Sasa unakuja na story za kipumbavu za kwenye matambiko nani kakwambia sisi ni watu wa mizimu kama wewe? Ongea kama umesoma Mzumbe na sio Mbwinde eboo! wewe vipi?
 
kwani we umechangia hoja gani zaidi ya viroja, mi na wewe nani mwenye viroja? Nadhani we ndio mwenye viroja...
Huyo dogo hana anachokijua zaidi ya kupiga makele ya jaziba kumtetea mzee wake Mohamed Saidi hata bila hata kufikiri!
 

G,

Unataka nimzungumze Fundikira?
 
Nakushauri ukapimwe akili inawezekana kabisa una maralia ya kichwa au unanyemelewa na maradhi ya akili! ninani ambaye hataonja mauti?

Duh Gwalihenzi maralia ya kichwa ni ugonjwa mpya au ndio broken swahili kumba hata nyie ma ATHIEST munaaminikuna mauti hapo tu ndio kiboko yenu mukisikia habari ya kifo munakuwa wadogo kama piriton
 
Umesema kinajadiliwa hapa JF mara kibao!!
Kina miaka 15!!
Bado hakina ban na kama anayosema kiko kwenye chapa ya tatu huoni kwamba ni ushindi?
Mzee wako Mohamed Saidi kakwambia yeye hakuandika kitabu kile kushindana, ila aliandika kueleza histohisia ya wazee wake wa Tandamti na Gerezani, sasa wewe na ushabiki wako unakuja na upuuzi wa ushindi. Tuamini umeamua kwenda kinyume na matakwa ya nabii wako?
 
Duh Gwalihenzi maralia ya kichwa ni ugonjwa mpya au ndio broken swahili kumba hata nyie ma ATHIEST munaaminikuna mauti hapo tu ndio kiboko yenu mukisikia habari ya kifo munakuwa wadogo kama piriton
Nikikuita mpumbavu itakuwa sahihi kabisa maana hufundishiki! utaogopaje kifo kitu ambacho hakiepukiki? mbona hukuogopa kuzaliwa. Kwa kiwango chako kidogo huwezi kuelewa Atheism!baki na umbumbumbu wako na endelea kulamba buti za mzee Mohamedi maana ndio kitu pekee unachokiweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…