Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Afadhali leo nimechota elimu nazidi kufahamu mengi kuhusu Tanganyika.
 
Nimekuelewa. Turudi kule kwenye TANU mbili.

WC,

Sisi TANU yetu inajulikana na mmeisoma hapa kuanzia Kariakoo Market
hadi Mtaa wa Amani chuoni kwa Sheikh Hassan bin Amir hadi Makonde
Street, Lindi kwa Suleiman Masudi Mnonji nk. nk.

Tunakusubirini nyie mje na hiyo TANU minus Sheikh Hassan bin Amir na
watu mfano wa sheikh.
 

Polisi Ben,

Allah anatufunza Waislam tusidhulum na tusikubali kudhulumiwa.
Hii ni amri.

Allah anajua ukidhulumu unahatarisha jamii.
Ukikubali kudhulumiwa unamshajiisha dhalim kuendelea na ufisadi.

Haki ikatamalaki amani inatawala.
Dhulma ikiweko...

Dhulma huangamiza.

''Upuuzi huu'' wa kuwajibishwa sie mimi ni dhalim ndiye atawajibishwa
kwa udhalim wake.

Ndiyo maana unaona nimeingia hapa bila ''mask.''

Nimeingia na jina langu kamili ili pasiwe na shida iwapo wakubwa watapenda
kuelezwa hizo dhulma.

Ni hayo tu ndugu yangu.
 

WC,

Ndugu yangu mimi nimekuwekea mambo ya kihistoria 1933.
Ijaza yangu unanikejeli.

Huna lolote la kusema katika hayo niliyokuwekea?
Lakini uje kuwa tuna wasikizaji wanatusikiliza.
 

Polisi,

Allah anatufunza Waislam tusidhuluma na tusikubali kudhulumiwa.
Hii ni amri.

Allah anajua ukidhulumu unahatarisha jamii.
Ukikubali kudhulumiwa unamshajiisha dhalim kuendelea na ufisadi.

Haki ikatamalaki amani inatawala.
Dhulma ikiweko...

Dhulma huangamiza.

''Upuuzi huu'' wa kuwajibishwa sie mimi ni dhalim ndiye atawajibishwa
kwa udhalim wake.
 
sasa mambo yenyewe ndio kama haya kweli Mohamed Said tutafika??

"30 years ago man landed on the moon. Many Muslims consider moon as a sacred celestial clock. The devout Muslims refused to believe that man had landed on the moon."
 
Last edited by a moderator:
wewe unajiita Tanzania Kwanza wewe unadhani nani aliweka huo uzalendo mpaka wewe unajiita hivyo kama sio Baba wa Taifa!? Kama isingekuwa uzalendo wa baba wa Taifa yamkini leo hii wewe ungejiita uamsho kwanza...

Nani kakudanganya kuwa Julius ndo kaleta uzalendo! muulize Shekh MS utapata jibu! nyie ndio wale mnaosherehekea uhuru wa Tanzania kila mwaka inapofika 9 december! nani kakudanganya kuwa Tanzania ilipata uhuru siku hiyo? ni Tanganyika ilipata uhuru au TZ? nataka kubadilisha jina langu la TK liwe Tanganyika maana nimegundua udanganyifu mwingi sana!
 
Spike,
Niambie basi umiona ile Abdu Sykes/Jomo Kenyataa secret meeting Arusha?

yaleyale,blowing things out of proportion,tunashukuru Nyerere hakuandika kitabu,ingekuwa aibu kakaa kimya ku save face ya watu wengi- unafikiri kwanini Kweyamba alipewa tena kazi na Nyerere?? wakati wote nyie watu wa gerezani mkimchukia???mzee wetu huyo kasema mengi orally-ambayo yanaweza tupu hayo machapisho yako matatu kwenye dustbin
 

Nipe majibu nn faida na matokeo ya baadae kwa hili,je mngali mnadhulumiwa bado hata sasa wakati ambapo muislamu kikwete anatawala? Je Mwinyi hakuyaona hayo,jaji mkuu,Igp na wengine waliowaislam je na wao wanashirikiana na wakristo kuwadhulumu waislamu? Kama wao waislamu hawatetei hak ya waislamu unadhani nani atawatetea, Mpaka hapi huoni udhaifu wa uislamu na waislamu? Mm nadhani tatizo ni shule kwa waislamu walio wengi,Wakati wakristo wanajibidiisha na kujenga mashule, mahospital na kusoma, waislamu walijibidiisha kujenga misikiti na kupeleka watoto wao uarabuni kusomea dini na lugha ya kiarabu, nilisoma na rafiki zangu wa kiislamu walikuwa tayari kuacha vipindi na kwenda madrasa,walipotoka darasani walirudi madrasa wakati cc tulirudi kujisomea,ukweli waliburuza mkia mwanzo mwisho, Andika habari za kumkomboa muislamu asiendelee kuburuza mkia nakujua unayo nguvu ya ushawishi tumia kipawa chako kuwakomboa waislamu, wasome kwa bidii wasijenge misikiti peke yake wajenge na mahospital nk.
 
Spike,
Niambie basi umiona ile Abdu Sykes/Jomo Kenyataa secret meeting Arusha?

Unajua mara ya kwanza niliamua kukaa kitako kukusoma kwa makini kutokana na habari zako kuitwa ngano.

Kuna vitu vingine nimesoma kutoka kwako huwezi kutunga hayo mabandiko ya kina Sykes.

Habari za mwaka 1922 umeziweka humu ukumbini na kwa ushahidi.

Mimi binafsi nimesoma shule nakufundishwa historia tofauti na haya ninayosoma humu ukumbini.

Natumia ubongo wangu kuchuja mambo na kupembua mambo.

Ukweli wewe una vitu vingi sana kuhusu historia ya Tanganyika.

Kubali kupingwa na baadhi ya watu ndio faida wanapata wafuatiliaji wa huu mjadala.
 

na wewe nani kakudanganya mimi kila tarehe 9 nasherehekea uhuru wa Tanzania, mimi najua Tanganyika ilipata uhuru tarehe 9 na sio Tanzania, inamaana wewe unapingana na kina Mselem pamoja na Farid pamoja na Ilunga yaani unai support Tanzania wakati hao wenzako wanaipinga wanasema. Wewe unadhani ni nani aliyeitengeneza Tanzania kama sio Nyerere... Unadhani bila Nyerere wewe leo ungekuwa unajiita Tanzania Kwanza
 
Last edited by a moderator:
mwingine huyo lazima huyu ana undugu na zomba

[h=6]View First Unread [/h]
[h=6]LinkBack[/h]

[h=6]Topic Tools[/h]

[h=6]Search Topic[/h]

[h=6]Rate This Topic[/h]
  • Current Rating
  • Excellent
  • Good
  • Average
  • Bad
  • Terrible



 
Last edited by a moderator:
Hii ni tafsiri ya Quran kwa Kiswahili! soma ndugu yangu huenda Allah akakuongoza! Qur'ani Tukufu

Ahsante sana sana Tanzani kwanza kwa kunifumbua macho kwa ulichokiweka hapa nimepata kitu kizuri ambacho nilikuwa sikijui, mungu akuongoze njia iliyonyooka.Na pia nakupongeza mzee mohamed said kwa kutujuza mengi yaliofichwa kuhusu historia ambayo sikuwahi kuyasikia kabla mungu akubariki.
 

Mohamed Said,
Hapajawahi kuwepo kwa TANU mbili, huu ni uchochezi wako tu. Cha muhimu kuelewa ni kuwa walioitwa wasomi mwaka 1945 walikuwa wengi wao ni waislamu na wakristo wenye elimu ndogo, hasa ya kujua kusoma na kuandika tu.

Miaka ya 1950s, wasomi wakawa ni wale wenye elimu ya chuo au chuo kikuu, ambapo hapo ilianza kutawaliwa na wakristo ambao ndio waliokuwa wengi wenye hivyo viwango. Waislamu walioelimika kiwango cha chuo wakati huo, marafiki wao wa karibu wengi wakawa ni wakristo kwani
wengi ndio waliokuwa wasomi. Kwa hiyo kwa TAA/TANU kuongozwa na wakristo miaka ya 1950s, kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya mabadiliko ya kielimu.

Uchochezi wako wa kidini unaonekana wazi kuwa ni kwa manufaa yako binafsi, na hongera sana kwa kufanikiwa katika hilo. Lakini sidhani kama unamnufaisha mTanzania yeyote. Nia yako mbaya ipo siku moja itakurudia na tutaisubiri sana, Inshallah.
 
Mohamed, Gwalihenzi na mwenzake Gwalihenzi wanapongezana?
 
Posts zinapitiliza 8500 kichwa ni kingine, utumbo mwingine. Hakuna thread imewahi kuchangiwa na kunoga kama hii humu JF

Hapo sasa! kwa raha kabisa, mpaka sasa mnakula darsa, na watu wengi wanalifuatilia na mmeshindwa kuonesha uchokozi wala dhihaka. Tunachokiona ni kuwa mnakula darsa La Mohamed Said mtindo mmoja, mmejifunza mengi msiyajuwa lakini bado hamuoni haya wala hamjui vibaya.

Hamjaja hata na kimoja chenye maana, naona mnaacha hoja mnaleta viroja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…