Nimekuelewa. Turudi kule kwenye TANU mbili.Sasa badala ya Kitabu cha Mohamed Said unataka kugeuzia ktk Quran? Soma quran sura 2:1-10 utapata jibu kama inakubalika na kutumika! halafu rudi ktk mnakasha wa Shekh Mohamed Said!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa. Turudi kule kwenye TANU mbili.Sasa badala ya Kitabu cha Mohamed Said unataka kugeuzia ktk Quran? Soma quran sura 2:1-10 utapata jibu kama inakubalika na kutumika! halafu rudi ktk mnakasha wa Shekh Mohamed Said!
Nimekuelewa. Turudi kule kwenye TANU mbili.
Nimekuelewa. Turudi kule kwenye TANU mbili.
Mohamed acha kusimamia hoja zitakazotugawa watz kwann hutaki kutambua kazi kubwa aliyoifanya mwalmu na kumpa heshima yake kama baba wa taifa, swali,, nn faida na matokeo baada ya waislamu kukuamin kuwa babu zao hawakutemdewa haki? Je unawashawishi ili waidai haki hiyo sasa? Watapata nn kwa kujua wakristo waliwakandamiza je wanakandamizwa bado? Upande wa pili wakristo wanaojua ukweli kuhusu uongo unaojaribu kuuhalalisha kama ukweli wanapoyaona haya je wakuchukulie kama adui wa ukristo? Lazima utambue unabomoa zaidi kuliko kujenga cjui hasa dhamira yako ni nn, nadhani unalenga kutugawa bila shaka unafurahishwa na mwenendo wa vurugu za kidini zinazoendelea, iko siku utawajibishwa kwa upuuzi huu ingawa c sasa.
TANU ni moja tu. Hiyo ya mioyoni mwa watu huko Burma ni TANU yao wenyewe! Ndio napendekeza tarehe ya UHURU wa Tanganyika irudishwe nyuma kidogo ili akina Abdu waenziwe inavyostahiki. Hii ya 9.12.1961 ni ya akina Mwalimu na TANU yao nyingine ya saba Julai, 1954
Mohamed acha kusimamia hoja zitakazotugawa watz kwann hutaki kutambua kazi kubwa aliyoifanya mwalmu na kumpa heshima yake kama baba wa taifa, swali,, nn faida na matokeo baada ya waislamu kukuamin kuwa babu zao hawakutemdewa haki? Je unawashawishi ili waidai haki hiyo sasa? Watapata nn kwa kujua wakristo waliwakandamiza je wanakandamizwa bado? Upande wa pili wakristo wanaojua ukweli kuhusu uongo unaojaribu kuuhalalisha kama ukweli wanapoyaona haya je wakuchukulie kama adui wa ukristo? Lazima utambue unabomoa zaidi kuliko kujenga cjui hasa dhamira yako ni nn, nadhani unalenga kutugawa bila shaka unafurahishwa na mwenendo wa vurugu za kidini zinazoendelea, iko siku utawajibishwa kwa upuuzi huu ingawa c sasa.
wewe unajiita Tanzania Kwanza wewe unadhani nani aliweka huo uzalendo mpaka wewe unajiita hivyo kama sio Baba wa Taifa!? Kama isingekuwa uzalendo wa baba wa Taifa yamkini leo hii wewe ungejiita uamsho kwanza...
Afadhali leo nimechota elimu nazidi kufahamu mengi kuhusu Tanganyika.
Spike,
Niambie basi umiona ile Abdu Sykes/Jomo Kenyataa secret meeting Arusha?
Polisi Ben,
Allah anatufunza Waislam tusidhulum na tusikubali kudhulumiwa.
Hii ni amri.
Allah anajua ukidhulumu unahatarisha jamii.
Ukikubali kudhulumiwa unamshajiisha dhalim kuendelea na ufisadi.
Haki ikatamalaki amani inatawala.
Dhulma ikiweko...
Dhulma huangamiza.
''Upuuzi huu'' wa kuwajibishwa sie mimi ni dhalim ndiye atawajibishwa
kwa udhalim wake.
Ndiyo maana unaona nimeingia hapa bila ''mask.''
Nimeingia na jina langu kamili ili pasiwe na shida iwapo wakubwa watapenda
kuelezwa hizo dhulma.
Ni hayo tu ndugu yangu.
Spike,
Niambie basi umiona ile Abdu Sykes/Jomo Kenyataa secret meeting Arusha?
Yericko,
Kitabu sikumpelekea mimi.
Nani kakudanganya kuwa Julius ndo kaleta uzalendo! muulize Shekh MS utapata jibu! nyie ndio wale mnaosherehekea uhuru wa Tanzania kila mwaka inapofika 9 december! nani kakudanganya kuwa Tanzania ilipata uhuru siku hiyo? ni Tanganyika ilipata uhuru au TZ? nataka kubadilisha jina langu la TK liwe Tanganyika maana nimegundua udanganyifu mwingi sana!
Member ArrayHii ni tafsiri ya Quran kwa Kiswahili! soma ndugu yangu huenda Allah akakuongoza! Qur'ani Tukufu
WC,
TANU ipi unayoizungumzia wewe.
TANU ya St Francis College au TANU ya New Street iliyotokana na jitihada
nyingi kuanzia Burma 6 Battalion ya KAR 1945 ikaja katikaTAA Political
Subcommittee ya 1950 hadi 1954 au ile TANU ya St Francis College, Pugu?
Mohamed, Gwalihenzi na mwenzake Gwalihenzi wanapongezana?Gwalihenzi,
Wewe na mwenzako Gwalihenzi mmekuwa watu wa kupongezana tu.
Nakushaurini someni kitabu changu kabla hamjaja jamvini au mna haraka
ya kula hizi kashata za njugu na haluwa?
Sasa natoa amri kwa Zomba na Ritz kama mzee wa barza kuwa hakuna mtu
kupewa kahawa hadi awe amedurusu kwanza.
Kama hamjui kudurusu Dullah atakufahamisheni.
Soma hapo CHINI mipango ya EAMWS:
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]The First Muslim Congress, 1962
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]After independence had been achieved in 1961 Muslims looked forward to the future with confidence. In 1962 a pan-territorial congress of all Muslim organisations was called in Dar es Salaam to discuss the future role of Islam in then free Tanganyika.
The following organisations attended: the East African Muslim Welfare Society, Daawat Islamiyya, Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika and the Muslim Education Union.
The congress agreed among other things of importance to establish a department of education under the auspices of the EAMWS. Muslims did not wait for the independence government to start fulfilling its pre-independence promise of redressing educational disparity between them and Christians.
Muslim initiated their own plans to complement government efforts. Plans were put on drawing board to build schools throughout Tanganyika and eventually build the first Islamic University in East Africa.
The congress elected Tewa Said Tewa a cabinet Minister, a veteran politician of the TAA and TANU founder member as Chairman of Territorial Council of the EAMWS.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]This was to be the beginning of antagonism between Muslims and the now Christian dominated government.
Politics of tolerance and conformity practiced during the struggle for independence now started to give way to politics of antagonism and witch-hunting as Muslim started to initiate plans to change the colonial status quo.
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] The Second Muslim Congress, 1963
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] When the Second Muslim Congress was convened in Dar es Salaam later that year these serious issues were put forward for discussion. The Congress established beyond any reasonable doubt that there was a silent purge going on in TANU against Muslims and that there was national anti-Muslims campaign against leaders of the EAMWS. President Nyerere was invited to the closing ceremony and the congress registered its regrets to him. Nyerere talked at length on the Muslim problem and somehow managed to cool down the situation. But there was no doubt in the minds of the EAMWS leadership that there was an organised Church resistance against Islam and Muslims, using the Christian leadership in the Party and government to subvert Islam.
The Christian leadership in state institutions was now using state power against Islam so as to have the Church not only in control of the government but in control of TANU as well.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]Proposal for an Islamic University,
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]In April, 1964 a strong delegation of the EAMWS consisting of Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Said Omar Abdallah, Tewa Said Tewa, EAMWS secretary Abdul-Aziz Khaki and a TANU elder, Mzee Mwinyijuma Mwinyikambi; Makisi Mbwana, Issa Mtambo, Omar Muhaji and Saleh Masasi left for a tour of Islamic countries to solicit financial support for the proposed Islamic University and to establish relations with the Muslim word. The government of the United Arab Republic of Egypt responded positively to the proposed Islamic University.
An agreement was signed in Cairo between Tewa Said Tewa on behalf of the EAMWS and Vice-President Sharbasy on behalf of the Egyptian government. The government of Egypt promised to build an Islamic University for the Muslim of Tanganyika to be owned and managed by the EAMWS.[1] Capital expenditure of the project was estimated at 55 million pounds sterling to be contributed by the United Arabic Republic of Egypt. From Egypt the delegation visited Jordan, Lebanon, Kuwait and Iraq.
This was a significant step in the history of Islam in Tanganyika. For almost a hundred years Tanganyika was open only to European countries and their various missionary organisations. For the first time in 1964, after almost a hundred years of colonialism, the country was opened up for contacts with the Muslim world.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 752, bgcolor: transparent"]The EAMWS delegation returned back in May and Tewa held a press conference in which he announced the construction of the Islamic University.
Soon after the delegation had returned from the Islamic countries, President Nyerere made a cabinet reshuffle. Tewa Said Tewa, Chairman of Territorial Council of the EAMWS, was dropped from the government and appointed Ambassador to the Peoples Republic of China; Tewa left for China to take up his new post in January 1965.
It was believed Tewas appointment to Peking was not unconnected with his efforts to mobilise Muslims and to unite them under one strong organisation.
By then a primary school education project approved by the Muslim Congress of 1962 were progressing well with schools being built in Ilala, Kigogo and Kurasini in Dar es Salaam; and Ruvu and Maneromango. The Maneromango primary school had a special significance because that was the first Muslim school ever built in Uzaramo. A secondary school project was also under way in Dar es Salaam, Kinondoni and Moshi, Kibohehe. The EAMWS had also concluded an agreement with the government of United Arab Republic of Egypt for thirty-five scholarships each year to enable Muslim students to study in Egypt. All in all, the EAMWS was very much alive and very active.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[1] Constitution, Rules and Regulation of theEAMWS (Chama cha Kustawisha Uislam Katika Afrika ya Mashariki)Dar es Salaam Printers Ltd., Reprint, 1960.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Posts zinapitiliza 8500 kichwa ni kingine, utumbo mwingine. Hakuna thread imewahi kuchangiwa na kunoga kama hii humu JF