Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mohamed Said, unalalamika bila kujali madhara makubwa yatakayoletwa na mahubiri yako ya chuki kwa watanzania! Madai unayoyatoa yamechambuliwa kwa undani na ufasaha na huyu mtanzania mwenzetu, lakini wewe ukatoa majibu ya kihuni! na bado unadai tukuheshimu kwa lipi hasa? ebu jaribu kusoma tena busara hii;
Ushahidi kaambiwa kabisa wakati anapeleka CV zake kaambiawa kabisa nyie watu wa madrasa mnamatatizo.
Dogo katafuta kazi online kapata Japan saizi yupo huko.
Sijui unataka ushahidi gani tena.
Mzee ms,
Umemsoma nguruvi, je? Umemuelewa?
Mzee wangu kwanini huwa hukili mtu akiongea ukweli?
Haja ipo Mohamed Said, labda nikuulize, kama mnasafiri na chombo baharini ikatokea mmoja wenu anakitoboa chombo kwa makusudi ili maji yaingie na kukizamisha chombo chenu,je mtabaki mnamchekea na kumshangilia?G,
Silalamiki husema.
Kulalamika kunatokana na neno "ulalamishi."
Hapana haja ya kuvutana katika hili.
Rudi kinyumenyume:
Kwamba ratio vyuoni ikoje kati ya Waislam na Wakristo
Sekondari ratio ikoje na shule ya Msingi ration ikoje
Halafu unakuja huku uraiani kwenye maeneo yenye Waislam wengi (Pwani, Lindi, mtwara, Tanga, Kigoma)
mwamko ukoje kuhusu Elimu, vipi kuhusu shule za Seminari za Kiislam zipo kwenye hali gani.
Tena nenda hatua moja zaidi linganisha Maua Seminary, Marian girls, St Anthony nk nk ziko kwenye hali
gani na kina nani wana watoto huko.
Unaweza kuchepuka kidogo ukaangalia pia Wachaga, Wahaya, Wanyakyusa kule wanapotoka na mwamko wao
kwenye Elimu halafu piga hesabu mumo ratio ikoje kwa Waislam na Wakristo.
Halafu mbona umechagua nafasi za appointment. Hujafikiria pia madaktari. Nenda Muhimbili utafute akina Kimario
Edward, Swai John, Mwakingwe nk uone wako wangapi halafu linganisha idadi yao na akina Pazi nk.
Au na kwenye udaktari kuna Waislam wananyimwa fursa ya kutibu watu na uhaba woote wa madaktari nchi hii?
Tuambie nani huyo anawanyima watanzania fursa ya kupata matibabu tumlaani.
Je jibu hili nilitakiwa hadi nikutumie pm kama Ami anavyodai? Na ni sawa kwamba mi sijui hii ni forum? Sina interest ya kuendelea kujadiliana nawe. Asante kwa kujibu hata hivyo na sitoi comment yoyote kwa sasa.
uhuru day,nyerere,s car sorrounded by well wishers-back then it was all harmony unlike now,whereby a few bogus elements are pushing on a distabilising agenda
Nguruvi3,
Nimependa uchambuzi wako muruwa.
Naomba utupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto tukianza na Wizara ya Mambo ya Ndani, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Fedha, Wizara ya Afya, na Wizara zingine.
Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakisto Mawaziri na Manaibu wake.
Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.
Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto Makatibu Wakuu wa Wizara.
uhuru day,people go berserk-kwa mbali naona ki bajaj kumbe hizi bajaj ni za siku nyingi
Unaweza kujua vipi hiyo ratio? mbona unaomba kitu kisichowezekana? Hivi kweli unaweza kupata ratio hiyo? how? jaribu kupendekeza njia ya mtu kufanya...
Mohamed Said, wewe na Ritz mmepanga muwe mnaulizana vimaswali vya kishikaji ili wewe upate pa kutolea ngano zako na kujipatia ujiko wa bure. Walimu tunaita "guiding questions". Najua nia yako Mohamed ni kutaka kuudanganya umma kuwa Listowel hakuandika habari za kutosha kwa sababu alinyimwa taarifa na Abdu taarifa ambazo wewe ulikuja kupewa zote! loo!! aibu Mohamed!Ritz,
Unataka kumjua Judith Listowel.
Tuanze na cheo chake.
Huyu anaitwa Lady Judith Listowel.
Alikuwa mke wa Listowel ambae alikuwa gavana Ghana.
Huyu mama alikuwa ''entertainer'' wakati wa ujana wake na aliachana na
mambo haya alipoolewa na huyu Listowel ambae alilkuwa anatoka katika
koo za juu ''upper class'' za Kiingereza.
Judith Listowel asingelimjua Ally Sykes ila alipojulishwa kwake na Peter
Colmore.
Ally Sykes na Peter Colmore ''two of a kind'' wana kisa kirefu.
Nina makala nzima kuhusu watu hawa ukipenda naweza kukuwekea hapa.
Mie nikimjua Colmore toka utoto wangu kwa kuwa ofisi yake ya Dar es Salaam
ilikuwa nyumba ya tatu kutoka kwetu.
Akija kutoka Nairobi alikuwa pale.
Ilikuwa ni nyumba yake cum office.
Ally Sykes na Peter Colmore walikuwa marafiki toka 1942 wakiwa watoto kabisa
Nairobi na wakaja kufanya biashara pamoja na wote wakatajirika kufru kiasi Peter
Colmore aliwezakununua ndege yake binafsi na Rolls Royce Nairobi katikia miaka ya
1950.
Ally Sykes haitaji maelezo anafahamika.
Lady Judith Listowel alipotaka kuandika kitabu chake ''The Making of Tanganyika''
Listowel akendaNairobi kwa Colmore na Colmore akamuagiza kwa Ally Sykes Dar es
Salaam.
Hii ilikuwa 1962.
Nina mdogo wangu wakati huo ana miaka 8 yeye alimwona Judith Listowel kwa
macho yake mwenyewe na anasema alinipa hela na akafanya kituko kidogo.
Alikudua nguo mbele yake akatoa fedha katika nguo yake ya ndani.
Huyu mdogo wangu anasema alishtuka lakini Lstowel akamwabia asiogope.
Listowel alipokuwa Dar es Salaam akifanya utafiti wake mwenyeji wake alikuwa
Ally Sykes na Ally Sykes ndiye akimzungusha na gari yake huko na huko.
Binafsi nimesoma barua za mkono ambazo Listowel alimwandikia Ally Sykes akimuuliza
kuhusu hili na lile katika historia ya Tanganyika.
Abdu Sykes alipokutana na Listowel nyumbani kwake Magomeni Mikumi Abdu hakufunguka
kuhusu mchango wake katika kuasisi TANU.
Kisa nini?
Kisa kilikuwa Abdu na Kleruu walipokuwa wanaandika historia ya TANU baada ya uihuru
palitokea msuguano kidogo kwa kuwa Nyerere hakupenda historia ya TANU ianze nyuma
yake na kuasisiwa kwa African Association 1929.
Abdu hakusema lolote la maana kwa Listowel katika utafiti ule.
Nadhani haya yanatosha.
Mohamed Said, wewe na Ritz mmepanga muwe mnaulizana vimaswali vya kishikaji ili wewe upate pa kutolea ngano zako na kujipatia ujiko wa bure. Walimu tunaita "guiding questions". Najua nia yako Mohamed ni kutaka kuudanganya umma kuwa Listowel hakuandika habari za kutosha kwa sababu alinyimwa taarifa na Abdu taarifa ambazo wewe ulikuja kupewa zote! loo!! aibu Mohamed!
Michezo ya kipuuzi kihivyo mnweza ninyi na huyo mwalimu wenu Mohamed!Kama unaona kupanga ni rahisi nakupa ushauri jikusanyeni wote mpange maswali muulizane ili Mohamed Said akose hoja.
Michezo ya kipuuzi kihivyo mnweza ninyi na huyo mwalimu wenu Mohamed!
Mwangosi kauawa, Saroga kawekewa Tindikali, Kibanda yupo south, Ulimboka kang'olewa meno, maalbino wanauawa, padri kauawa hayo yote hayashughulishi fikra zako kuwa kuna ukiukaji sheria wa hali ya juu, jicho lako lipo kwa vijana wawili walioko magereza waliokamatwa kwa kuvaa kanzu!
Nguruvi3,
Nimependa uchambuzi wako muruwa.
Naomba utupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto tukianza na Wizara ya Mambo ya Ndani, Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Fedha, Wizara ya Afya, na Wizara zingine.
Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakisto Mawaziri na Manaibu wake.
Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya.
Halafu tupe "Ratio" ya Waislam na Wakirsto Makatibu Wakuu wa Wizara.
Na wewe rudi kinyumenyume mpaka NECTA utakutana na mfumo Kirsto.
Rudi kinyumenyume:
Kwamba ratio vyuoni ikoje kati ya Waislam na Wakristo
Sekondari ratio ikoje na shule ya Msingi ration ikoje
Halafu unakuja huku uraiani kwenye maeneo yenye Waislam wengi (Pwani, Lindi, mtwara, Tanga, Kigoma)
mwamko ukoje kuhusu Elimu, vipi kuhusu shule za Seminari za Kiislam zipo kwenye hali gani.
Tena nenda hatua moja zaidi linganisha Maua Seminary, Marian girls, St Anthony nk nk ziko kwenye hali
gani na kina nani wana watoto huko.
Unaweza kuchepuka kidogo ukaangalia pia Wachaga, Wahaya, Wanyakyusa kule wanapotoka na mwamko wao
kwenye Elimu halafu piga hesabu mumo ratio ikoje kwa Waislam na Wakristo.
Halafu mbona umechagua nafasi za appointment. Hujafikiria pia madaktari. Nenda Muhimbili utafute akina Kimario
Edward, Swai John, Mwakingwe nk uone wako wangapi halafu linganisha idadi yao na akina Pazi nk.
Au na kwenye udaktari kuna Waislam wananyimwa fursa ya kutibu watu na uhaba woote wa madaktari nchi hii?
Tuambie nani huyo anawanyima watanzania fursa ya kupata matibabu tumlaani.
Na wewe rudi kinyumenyume mpaka NECTA utakutana na mfumo Kirsto.
Huo Mfumo Kristo ndani ya NECTA ni kinyago mmekitengeneza wenyewe halafu kinawatisha.
Wewe ulipenya vipi kwenye huo mfumo. Ndugu zako walipenya vipi kwenye huo mfumo.
Mwema, Othman, Asharose n.k n.k walipenya vipi kwenye huo mfumo.......kwa sababu hawakuwa
kwenye nafasi walizonazo leo kabla ya kupitia NECTA.
Na ukisema walibahatika utakuwa umewafedhehesha sana. Na Mtu akitia juhudi kwenye Elimu unampongeza.
Wewe wape support hao wanaotangaza kuna Mfumo Kristo. Laiti ungejua itakuja kuwa kitanzi baadaye (kama
bado hakijawa) kwa hawa watoto wenu kwa kujihisi dhalili na kukata tamaa usingeunga mkono hizo ngano.
Tena kwa mwanafunzi mwenye bidii ndogo darasani ukimwambia kuna dude Necta linawapunja, ndio umempa
sababu za kuacha shule kabisa. Kama wa kike anaolewa kabisa, ataendeleaje na shule wakati hajui majaaliwa
yake?