Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Jamani uyu mtu Mohammed saidi si wa kubishana nae kwani uta aibika tu.Jamaa anashuka na data za hatari.kwanini watu wanaendelea kubisha wakati ukweli ushaainishwa?tungeni vitabu vya kwenu,ebu mwachine mshkaji.ukweli unauma............
 
Mzee ms,
Umekuwa kila ukiulizwa ukiilejea mifano hiyo hiyo na kusema ni mifano michache kama ya oic na ujenzi wa chuo.
Tupe na madhila mengine c kuludia mifano hiyo hiyo kila siku.
 
Nyambala,

Ukishajua mtu ni muongo hiyo ni sababu tosha ya kumpuuza.
Huwezi kupata chochote kutoka kwa muongo ila uongo zaidi.

Mzee ms,
Kweli leo nimekubali wewe umezaliwa kaliaakoo.
Kwa chenga za mwili ni balaaaa!!???????
Inakuwaje kila utakachao andika tukuli tu?
Leo nimekuvulia kofia mzee wangu.
 
the then Muhimbili,enzi ya mkoloni-- where exactly did we go wrong- education?? ufisadi? or what!!!

 
Wewe bingwa wa kutetea mfumo kirsto una tofauti gani na NECTA ukitupa division zero.

Nyie wafuasi wa Chadema wewe Mwanakijiji, Nguruvi3 na wenzako linapokuja suala la NECTA wote mnarudi CCM tena mnakuwa wakali kuzidi viongozi wa CCM...ha haa haaa!!
Sasa kama CCM inawadhulmu waislam kupitia NECTA wewe Ritz unangoja nini huko? kwanini muda wote unaitetea CCM?
 
Zanzibar nako kuna mfumo gani vile?
 
Bravo mzee Mohamed Said, umefanikiwa kuwapata kikwelikweli matutusa wakutosha kama hawa! Sasa hapa ni JF, huko kwenye mihadhara nadhani itakuwa balaa!
 
Kwahiyo wewe ulichokiandika hapa na maalim woko Mohamed akakuwekea "like" ya nguvu unaweza kuita ni mantiki ya hoja?Kama ni hivyo basi wewe na Mohamed wako mnamatatizo ya akili.
 
Mohamed kweli unamatatizo ya kufikiri! hivi hapa umeshinda kitu gani? umeshindwa kabisa kutetea upuuzi wako tangu mwanzo mpaka tulipofika hapa! uliishia kujaa hasira na kutoa majibu ya kitoto na kihuni "..eti na nyie andikeni histohisia ya wazee wenu.." umeishia kutoa dua kana kwamba sisi wote ni waislam wenzako, Mohamedi Pole sana, wewe na kundi la wapuuzi wenzako hamtakaa mshinde kwa sababu hamna msingi wowote wa madai yenu na wala hata hamjui mnadai kitu gani. Mohamed Saidi wewe ni bure kabisa, unachoweze wewe ni kusema uongo bila hata aibu! mtu mzima wa umri wako unajivunjia heshima, na wala hujui haya wala soni.
 
Mohamed Said,

Hebu tupe habari za huyu mtu Andrew Tindegebage.
 
Mohamed Said, Hebu tupe habari za huyu mtu Andrew Tindegebage.
Hapana Ritz, kama ni swali muulize hili; Kusema kweli sasa tumechoka na porojo, hadithi na histohisia, tunataka solution..."way forward" kuondokana na hiyo kadhia...
 
Last edited by a moderator:
Wala hakuna jazba solution wanatakiwa watoe serikali siyo mimi.
Duh! Ritz, lazima utakuwa unatania! unamaana serikali hii inayoundwa na chama chako kitukufu cha CCM chini ya ustaadh Jakaya Mrisho Kikwete!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…