THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mwanakijiji, niendelee ulipoachia. Wengine wanachukia wakidhani hii ni kumpinga Mohamed.
Kwa wenye kutumia akili zao sehemu kidogo tu hili ni somo zuri sana kuhusu statistic na jinsi gani zinavyoweza kuondoa maana halisi ya utafiti wa mtu kwa jinsi zilivyopikwa.
Kwanza kabisa Mohamed ameonyesha kuwa source ya data zake ni University of Dar es Salaam.
UDSM ni chuo kikuu kinachotambulika kimataifa na hivyo data zake ni za uhakika.
Lakini basi soma mwisho wa jedwali lake. Source yake nyingine ni Daily News (1979/80-1981/82 DailyNews June 1979/1981).
Yaaani mtafiti anatafuta data magazetini! real!!
Zile alizopata UDSM nazo pia zina maswali muhimu sana. Angalia hapa chini
*Official Statistics notavailable. Yaani anamaanisha mwaka 1974/1975 chuo kikuu hawana data.Inaingia akilini kweli.
Nina hakika hakutafuta data kwa kutumia reliable source vinginevyo nashawashika sana kukishangaa chuo kikuu kwa kutokuwa na data za enrollment za miaka hiyo miwili
Halafu hizi (** Students selected forFaculty of Agriculture, Forestry and Veterinary Science and medicine not included.Source)
Kwamba data zake hazikujumuisha faculty tajwa. Mohamed alipaswa aeleze kwanini hakuzishirikisha faculty hizo katika study zake.
Hili lingekuwa ni moja ya limitation katika study yake na alipaswa azieleze. Kuziondoa tu kwa utasshi wake hakukidhi maana ya utafiti hata kwa bahati mbaya.
Kwa vile hakueleza ni ngumu kutumia neno UDSM as whole labda angesema sample data zake zimetoka faculty ABCD kwasababu ABCD na zitakapofanyiwa extrapolation basi zinaweza kutoa true conclusions kwasababu ABCD.
Na bado kuna maswali, hivi aliwezaje kujua kuwa Shukrani, bahati, zawadi, Mhina ni waislam au wakristo.
Kwamba mtu akiitwa Halima basi ni mwislam hata kama ameamua kumuenzi bibi yake ili hali yeye ana dini tofauti.
How did he come to the conclusion kwamba ABCD are christians or Muslims.
Ukisoma jedwali la Muslim vs Non muslims bado data zake ni raw. Mohamed anapaswa aeleze non muslims wanaundwa na kundi gani kwa kuonyesha makundi hayo kwa mchanganuo na namba zao za enrollment.
Waislam wenyewe wana groups kama Ismailia, Shia, Bohora, Sunni, Kadian, Sufi n.k. na hivyo kusema waisla as general bado haikidhi haja ya utafiti.
Hoja atakayokuja nayo ni kuwa waislam ni waislam bila kujali madhehebu na hapo tutamuuliza vipi Ismailia na Shia wawe tofauti katika elimu na wengine?
Kuondoa faculty za medicine, vet na Agric huenda ni kwa kutojua au kwa makusudi.
Nadhani lengo la Mohamed ni kutaka kuonyesha kuwa kukosekana au uwiano tofauti wa viongozi serikalini unatokana na chaguzi za kuingia chuo ambazo hufanywa systematic. Kwamba si rahisi kupata bwana shamba, afisa mifugo au dakatari katika fani ya utawala.
I could be wrong though! so the onus lies to Mohamed to prove me wrong!
Ukiangalia jedwali la shule za msingi kwenda sekondari bado Mohamed anajichanganya kama si kuchanganya umma.
Kwanini alichagua Dar es Salaama na kwa miaka miwili na wala siyo Tanga, Lindi au Musoma.
Wanajamvi ni lazima mambo ya kisayansi yafanywe kisayansi na kwa kuzingatia kanuni za kisayansi.
Hili la kubandika namba halafu tuambiwe ni ukweli haliingii akilini mwa wale wanaotumia sehemu za ubongo wao.
Huo alioufanya Mohamed si utafiti ni kitu kinachofanana na utafiti na pengine kingefanywa kwa uadilifu na umakini zaidi kingeweza kuwa utafiti.
Na mwisho, mleta mashataka ni Mohamed, mtafiti ni Mohamed na mtoa hukumu ni Mohamed.[/SIZE]
1,unasema mleta mashtaka ni mohamed said?yepi hayo?,hapa hakuna mshitakiw,upande haswa unatuhumiwa ni huo mnaouteea nyinyi
2.mtafiti ni mohamed said,ndiyo ni kweli kbs,na wewe hujalazimishwa kuamin,kukubali wala kukimeza hiki kilichopo,ni khiyar yako,povu la nin?
3,mhukum ni mohamed said?,kivp ss,watu wa ajabu sana nyinyi,kusema kwa ukweli nyinyi kunawauma nini,kipi kinachowafanya mkeshe kupinga ukweli unaojitangaza wenyewe?
Kisha ulivo juha mwshon eti unasema mtafit ilibid asiishie tuh kufanya takwimu kwa dsm,angekwenda lindi,tanga n,k,?
Hizi tu ulizopewa za dsm sehem ambayo mtafit anaifaham in and out unapinga,je huko za lindi na tanga ungeamini?.
Na unajua maaana ya sampling?
Kihiyo na kanjanja mkubwa..