Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mwanakijiji, niendelee ulipoachia. Wengine wanachukia wakidhani hii ni kumpinga Mohamed.
Kwa wenye kutumia akili zao sehemu kidogo tu hili ni somo zuri sana kuhusu statistic na jinsi gani zinavyoweza kuondoa maana halisi ya utafiti wa mtu kwa jinsi zilivyopikwa.

Kwanza kabisa Mohamed ameonyesha kuwa source ya data zake ni University of Dar es Salaam.
UDSM ni chuo kikuu kinachotambulika kimataifa na hivyo data zake ni za uhakika.

Lakini basi soma mwisho wa jedwali lake. Source yake nyingine ni Daily News (1979/80-1981/82 DailyNews
June 1979/1981).


Yaaani mtafiti anatafuta data magazetini! real!!



Zile alizopata UDSM nazo pia zina maswali muhimu sana. Angalia hapa chini
*
Official Statistics notavailable. Yaani anamaanisha mwaka 1974/1975 chuo kikuu hawana data.Inaingia akilini kweli.
Nina hakika hakutafuta data kwa kutumia reliable source vinginevyo nashawashika sana kukishangaa chuo kikuu kwa kutokuwa na data za enrollment za miaka hiyo miwili

Halafu hizi (
** Students selected forFaculty of Agriculture, Forestry and Veterinary Science and medicine not included.Source)
Kwamba data zake hazikujumuisha faculty tajwa. Mohamed alipaswa aeleze kwanini hakuzishirikisha faculty hizo katika study zake.
Hili lingekuwa ni moja ya limitation katika study yake na alipaswa azieleze. Kuziondoa tu kwa utasshi wake hakukidhi maana ya utafiti hata kwa bahati mbaya.

Kwa vile hakueleza ni ngumu kutumia neno UDSM as whole labda angesema sample data zake zimetoka faculty ABCD kwasababu ABCD na zitakapofanyiwa extrapolation basi zinaweza kutoa true conclusions kwasababu ABCD.

Na bado kuna maswali, hivi aliwezaje kujua kuwa Shukrani, bahati, zawadi, Mhina ni waislam au wakristo.
Kwamba mtu akiitwa Halima basi ni mwislam hata kama ameamua kumuenzi bibi yake ili hali yeye ana dini tofauti.
How did he come to the conclusion kwamba ABCD are christians or Muslims.

Ukisoma jedwali la Muslim vs Non muslims bado data zake ni raw. Mohamed anapaswa aeleze non muslims wanaundwa na kundi gani kwa kuonyesha makundi hayo kwa mchanganuo na namba zao za enrollment.
Waislam wenyewe wana groups kama Ismailia, Shia, Bohora, Sunni, Kadian, Sufi n.k. na hivyo kusema waisla as general bado haikidhi haja ya utafiti.

Hoja atakayokuja nayo ni kuwa waislam ni waislam bila kujali madhehebu na hapo tutamuuliza vipi Ismailia na Shia wawe tofauti katika elimu na wengine?

Kuondoa faculty za medicine, vet na Agric huenda ni kwa kutojua au kwa makusudi.
Nadhani lengo la Mohamed ni kutaka kuonyesha kuwa kukosekana au uwiano tofauti wa viongozi serikalini unatokana na chaguzi za kuingia chuo ambazo hufanywa systematic. Kwamba si rahisi kupata bwana shamba, afisa mifugo au dakatari katika fani ya utawala.
I could be wrong though! so the onus lies to Mohamed to prove me wrong!

Ukiangalia jedwali la shule za msingi kwenda sekondari bado Mohamed anajichanganya kama si kuchanganya umma.
Kwanini alichagua Dar es Salaama na kwa miaka miwili na wala siyo Tanga, Lindi au Musoma.

Wanajamvi ni lazima mambo ya kisayansi yafanywe kisayansi na kwa kuzingatia kanuni za kisayansi.
Hili la kubandika namba halafu tuambiwe ni ukweli haliingii akilini mwa wale wanaotumia sehemu za ubongo wao.

Huo alioufanya Mohamed si utafiti ni kitu kinachofanana na utafiti na pengine kingefanywa kwa uadilifu na umakini zaidi kingeweza kuwa utafiti.

Na mwisho, mleta mashataka ni Mohamed, mtafiti ni Mohamed na mtoa hukumu ni Mohamed.
[/SIZE]

1,unasema mleta mashtaka ni mohamed said?yepi hayo?,hapa hakuna mshitakiw,upande haswa unatuhumiwa ni huo mnaouteea nyinyi
2.mtafiti ni mohamed said,ndiyo ni kweli kbs,na wewe hujalazimishwa kuamin,kukubali wala kukimeza hiki kilichopo,ni khiyar yako,povu la nin?
3,mhukum ni mohamed said?,kivp ss,watu wa ajabu sana nyinyi,kusema kwa ukweli nyinyi kunawauma nini,kipi kinachowafanya mkeshe kupinga ukweli unaojitangaza wenyewe?
Kisha ulivo juha mwshon eti unasema mtafit ilibid asiishie tuh kufanya takwimu kwa dsm,angekwenda lindi,tanga n,k,?
Hizi tu ulizopewa za dsm sehem ambayo mtafit anaifaham in and out unapinga,je huko za lindi na tanga ungeamini?.
Na unajua maaana ya sampling?
Kihiyo na kanjanja mkubwa..
 
  • Thanks
Reactions: Ami
nayeye hayupo hapa kujitetea dhidi ya alichokiandika,yupo hapa kutoa elimu kwa wale ambao hawajui,na sio ninyi miliokalia ubishani tena kwa viroja bila hoja..
Ficha upumbavu wako tafadhali..

unathibitisha tu hoja yangu; nyie vijana endeleeni kuamini haya masimulizi ambayo mwanzoni wengine waliyapa heshima kidogo kuyaita "ngano" lakini kwa kweli ni porojo nyingi za kufurahisha baraza...
 
Matola,
Sawa.

Nakushukuru hilo sikuwa nalijua kuwa Makaburu
walikuwa wanaweza kuingia Tanzania.
Kwa Uandishi huu kweli wale vijana wasiokuwa na weledi hawawezi kukuepuka, maana umeiva na umekubuhu na unaweza kucheza rhumba kwa kadiri ya beat zinavyogeuka na ukaenda nazo sambamba. hongera sana Mzee.
 
Kwa Uandishi huu kweli wale vijana wasiokuwa na weledi hawawezi kukuepuka, maana umeiva na umekubuhu na unaweza kucheza rhumba kwa kadiri ya beat zinavyogeuka na ukaenda nazo sambamba. hongera sana Mzee.

Matola,

Nilitaka kukuonyesha ustaarabu lakini inonekana ustaarabu
unapouweka sipo unakuwa umeudhulumu.

Ukweli ni kuwa raia wa Afrika Kusini hawakuwa na ruksa ya
kuingia Tanzania.
 
please,no disrespect please,,
mzee ficha upumbavu wako tafadhali,huna na hutakuwa na mamlaka ya kusemea na kushikia akili zetu hata siku moja,kama wewe unaona sisi hatutumii akili zetu kwa kuskiliza na kupima hiki anachosema Moh Said,tuache na hiki tukiaminicho,
then hakuna mshitakiwa hapa,hamna uwezo wa kumshitaki wala kumtuhum Moh Said kwa alichokiandika,kipo ndan ya miaka 15 sasa,lait serikali ingekiona kitabu hiki ni controversial kingekipa Ban kama ilivofanya kwa kile cha mwembechai killings,
nayeye hayupo hapa kujitetea dhidi ya alichokiandika,yupo hapa kutoa elimu kwa wale ambao hawajui,na sio ninyi miliokalia ubishani tena kwa viroja bila hoja..
Ficha upumbavu wako tafadhali..

ficha upumbavu wako mwenyewe... Wewe hua hauna hoja zaidi ya mipasho?
 
Ngruvi,

Cecil Matola nimemtaja.
Ndiyo husema kabla ya kuandika si uchukue muda ukasoma kwanza?:

In 1929 Kleist and some close friends, namely, Mzee bin Sudi, a Manyema
Ibrahim Hamis, a Nubi,
Zibe Kidasi, AliSaid Mpima, Suleiman Majisu, Raikes
Kusi, Rawson Wattsand Cecil Matola founded the African Association. Kleist
was the founding secretary. At that time the Governor of Tanganyika was
Sir Donald Cameron who was the of the territory from 1925-1929.

Hapo kwenye mstari, Mzee bin Sudi Manyema na Ibrahim Hamis Nubi.
Kuna wakati Nguruvi alikuuliza vipi wengine watiwe kabila zao na wengine waachwe hivyohivyo
kama si hila ya kuonyesha Wamanyema, Wazulu na Wanubi walikuwa superior kuliko wengine,
uliruka kimanga ukasema hujaandika hivyo!

Licha ya chuki za Kidini kuna kingine tumepata "Ilm" kutoka kwako, mbaguzi.
 
unathibitisha tu hoja yangu; nyie vijana endeleeni kuamini haya masimulizi ambayo mwanzoni wengine waliyapa heshima kidogo kuyaita "ngano" lakini kwa kweli ni porojo nyingi za kufurahisha baraza...

Leo umegeuka kuwa msemaji wa wazee.
 
Ok..

Kwahiyo hii hapo juu kwasisi tusio jua historia isingewekewa msisitizo ndo ilikuwa imepita hiyo.. Ndo ingekuwa reference.

Stop! Kuna wengine wataamini hivyo milele.
Wewe hulijui darsa la Mzee MS na aina ya wanafunzi alionao. Wapo waliolala hata uwaamshe
hawatoamka katu. Na wapo waliogutuka lakini wanajifanya hamnazo!
 
Kwa Uandishi huu kweli wale vijana wasiokuwa na weledi hawawezi kukuepuka, maana umeiva na umekubuhu na unaweza kucheza rhumba kwa kadiri ya beat zinavyogeuka na ukaenda nazo sambamba. hongera sana Mzee.

Anamiliki fikra za wepesi na kuhatarisha amani ya wengi, ni wakuogopwa
 
Mzee Mohamed Said wapigania uhuru toka Afrika kusini waliingiaje Tanzania, au unakataa hapakuwa na kambi zao Morogoro Mazimbu.Kuna yule dereva Dumisani alisababisha kifo cha Sokoine alishi vipi Tanzania ?.


Matola,

Nilitaka kukuonyesha ustaarabu lakini inonekana ustaarabu
unapouweka sipo unakuwa umeudhulumu.

Ukweli ni kuwa raia wa Afrika Kusini hawakuwa na ruksa ya
kuingia Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Yerico kafanya nini?.
Yaani huu uzi umeufanya ndio historia?.Angalia vizuri hapa Yerico ametoa shutuma kuwa historia ya Mohammed Said na watu wametetea na Yerico mwenyewe hana hamu tena na huu mjadala kwani hana cha ziada kusema.

Yaani unaona kuwa naye hajatafiti? Amebuni hiyo story? Tofauti iliyopo kati yake na Sheikh ni kuwa Sheikh amechapisha hard copy na Yericko ametumia soft copy na kupinga 'upotoshaji' wa Mohammed Said.
 
Yaani unaona kuwa naye hajatafiti? Amebuni hiyo story? Tofauti iliyopo kati yake na Sheikh ni kuwa Sheikh amechapisha hard copy na Yericko ametumia soft copy na kupinga i'upotoshaji' wa Mohammed Said.

Anataka nami niandike kitabu jambo ambalo sio la lalazima katika kupinga upotoshaji wa kizandiki kama aliofanya Mohamed Said
 
In 1981 BAKWATA had ceased to be an arm of the Christian Lobby. Theorganisation was under the tutelage of Warsha. The letter was ignored.

When Sheikh Deedat went to pay courtesy call to the Vice-President Aboud Jumbe athis official residence, the subject of the letter from the Church requestingfor Sheikh Deedat to be restrained was brought up.

Mzee Said, Unatengeneza historia yako mwenyewe halafu unasema ni kweli...

Aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Pili wa Rais 1982 alikuwa ni Cleope D. Msuya... endelea kuwapata hawa wadogo zetu tu...

Hapa bado naomba usaidizi wa ufafanuzi.. historia imenishinda kidogo...
 
Nasema hivi mkisoma vitu lazima muangalie vizuri. Hiyo source ni university of Dar es Salaam, sasa soma ** halafu angalia amesemaje.

Pili, kuna faculty kama za Agriculture, medicine na Vet amesema hazikuwemo. Sasa utaongeleaje utafiti wa UD kwa ujumla halafu data zingine hazimo. Unawezaje conclude kuwa UDSM enrollment ilikuwa na matatizo kama hukuweza kupata data nyingine.

Pengine angesema data za Faculty ABCD hiyo ni tofauti na data za UDSM as whole.

Tatu, Unaweza kuamini kuwa UDSM inaweza kukosa data za enrollemnt katika mwaka fulani?

Nne, sijafanya utafiti kuhusu hili na hilo linanifanya nibaki uvunguni, lakini kwa mtu mwenye akili lazima kila anachotupiwa akitafakari. Mimi sisomi vitu kama ngano nasoma nikitafakari na naweza kukuonyesha kuwa hapo juu tu kwenye ** ni sehemu muhimu sana na msoma mashairi kama wewe huwezi kuona.

Tano, kama lengo lilikuwa kuonyesha dhulma, then dhulma hiyo lazima iwe na ukweli. Ukionyesha dhulma kwa uongo hapo tu utakuwa umefanya dhulma.

Sita, je discrepancy za Muslim/christians/ non muslims umeziona na je ni relevant kwako?
Ukisema unadhulumiwa na wakristo you must show the public where and how!
Ukisema non muslim tayari umeshaondoa dhana ya wakristo kudhulumu waislam na hiyo inaondoa legimate ya madai mengine kwa wakristo katika mtiririko wa tafiti.

Tumeelewana kijana!
Nimeziona,hata hivyo hili lisiwe nongwa.Unajuwa Mohammed Said ni binadamu hivyo hata angekuwa madhubuti kiasi gani hawezi kufanya kazi isiyokuwa na kasoro za hapa na pale.
Pamoja na hivyo hizi data alizotoa ilikuwa ni kisaidizi tu ya historia aliyokuwa anaandika.Maudhui makuu ni matukio ya kihistoria yaliyokuwa yametokea kabla na baada ya uhuru.Wahusika wakuu walikuwa ni Nyerere na wapigania uhuru aliokuja kuwapiga teke.Ukirudi kwenye msingi wa uzi huu na historia basi hata kama ukikutana na kasoro za hapa na pale atakuwa ametoa source za kutosha ambazo atakayeita ni ngano au ni uchochezi basi huyo ni mpuuzi wa mwisho.Upuuzi wake wala hautozuia wasomaji wengine kuamini historia hiyo iliyokuwa haikujulikana kabla.
Huu utiiifu wa kanuni za kitafiti naona mmezifanya kuwa ni jambo kubwa sana kiasi ya kutaka kututoa kwenye ajenda.Kumbuka hakuwa amefanya utafiti wa mfano kutoa kifaa bora cha kuingizwa kwenye injini za ndege za abiria kiasi kwamba kutowiana takwimu kidogo tu au kujitokeza kasoro baadae basi hakuvumiliki na inabidi ndege zote zishushwe chini kwanza kufanyiwa uchunguzi.
Zaidi ya hivyo ni kuwa yapo maandishi ambayo yalipaswa yawe makubwa zaidi kuliko kazi ya historia ya Mohammed Said na ambayo ukifuatilia tofauti zilizomo basi wala huwezi kuiweka nyumbani kwako.Naamini Nguruvi na Mwanakijiji mnazo Biblia zenu majumbani hebu jaribuni kufuatilia tofauti za aina hiyo.
 
Kabla ya Mohamed Said kuandika historia ulikuwa umepata kuwasikia kina Dr James Kwegyir Aggey, Phelps Stokes, Frederick Mchauru,
Swala si kuwasikiia tu, ila iwepo sababu ya kuwasikia.
Huyo mzee katuletea majina kwa nia ya kulisambalatisha taifa.
mnatuwekea majina na uchochezi juu.
Nini basi faida ya hayo majina?
 
Back
Top Bottom