Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kibaya zaidi kwa Mzee M.Saidi ni kuwa now days kariakoo yote inanunuliwa na inaendelea kununuliwa na watu wakuja wa makabila tafauti kutoka Mikoa ya Bara,wapemba na kidogo waarabu. Watu wananunua hayo magofu yenu ya zamani na wanapandisha magorofa. Yaani ukiona kuna gorofa jipya linajengwa ujue hapo rafiki yake au mfia dini wake Mohamedi Saidi
ndiyo keshanunuliwa na anaelekea kuanza maisha mapya maeneo ya Chanika kwa mgao wa pesa hiyo ya mirathi ya watoto 6 au 10....so day by day watu kama dizain ya mzee M.Saidi wanazidi kupungua kariakoo kwa kuuza magofu yao na kwenda kuishi nje ya mji huko!. Maana kwa mzee M.Saidi kwake yeye eneo la Kariakoo ndiyo Tanganyika mzima. Pole sana mzee wetu!
 
You have lost your mind..
Mission yenu imefeli na ukweli umesimama na kuaminiwa,endeleeni kupinga na kubeza.
 
Umekiandika kitu gani sasa?
invisible anatoa ushauri wa BURE kabisa wa kuficha ujinga kama huu..
 
Huijui Kariakoo wewe bora ungekaa kimya unadhani karikoo kama Kibosho.

Kariakoo sehemu kubwa inamilikiwa na wazawa, waarabu, wapemba, wachaga na wakinga nyumba zao zinahesabika.

Misheni kota ilikuwa sehemu maalumu kwa Wakirsto saizi yote inanunuliwa na waarabu "Wamaara"

Ungetueleza habari za Kibosho au Marungu hatupafahamu lakini siyo kariakoo.
 
Kwa taharifa yako nimeishi kariakoo karibu miaka 12 na nimehama hapa majuzi tu. naifaham kariakoo nje ndani.

Sasa kwa kukuonyesha kama nimekaa kariakoo acha nikuulize wewe na mwalimu wako M.Saidi kitu fulani.
 
Wewe umeishi miaka 12 mimi nimezaliwa kariakoo mtaa wa Angrey na nyumba yetu ipo mpaka leo wewe utanieleza nini kuhusu kariakoo naijua nje ndani.
 
Mzee Mohamed Saidi unamfahamu Sheikh Nurdin Husein Mahmud Shadhuly Iyashuruty Alghasan? Na je unamfahamu
Sheikh Husein bin Mahmud Alghasani?...tuanzie hapo kwanza kabla sijauliza mangine.
 
Wewe umeishi miaka 12 mimi nimezaliwa kariakoo mtaa wa Angrey na nyumba yetu ipo mpaka leo wewe utanieleza nini kuhusu kariakoo naijua nje ndani.
Inawezekana labda ni kweli ulizaliwa kariakoo...lakini hata hivyo ni kitu gani cha ajabu wewe kuzaliwa kariakoo? Kwani kuzaliwa na kuishi kwenye ilo gofu la urithi ndiyo unajiona mjanja na wamaana kushinda mtu yoyote? Kama kuzaliwa kariakoo ndiyo mpango mzima basi wakuja Nyerere asingekuwa Rais wa kwanza wa nchi hii na badala yake wakina Mshume Kiante ndiyo wangekuwa maRais wa kwanza wa nchi hii....so kuzaliwa kariakoo si chochote wala si mpango mzima. Ujanja ni kupata na si kuwahi.
 
Mzee Mohamed Saidi unamfahamu Sheikh Nurdin Husein Mahmud Shadhuly Iyashuruty Alghasan? Na je unamfahamu
Sheikh Husein bin Mahmud Alghasani?...tuanzie hapo kwanza kabla sijauliza mangine.

Sheiki Nurdin Hussein kati ya Masheikh walikamatwa kwa amri ya Nyerere na kuwekwa kizuizini.

Msikiti wake ule pale mtaa Sikukuu na Twiga.

Masjid Shadhuly,

Wewe kariakoo ulikuwa unakaa sehemu gani.

Soko la kariakoo pale pembeni kwenye paking ya magari ndiyo tulikuwa tunacheza mpira.
 
Wala mimi sijajisifia kwa kuzaliwa kariakoo hakuna cha ajabu wewe ndiyo unayasema hayo kuzaliwa kariakoo kitu gani.

Mimi nimepingana na wewe kuleta uongo kujifanya unaijua kariakoo na kuilezea hatuwezi kukaa kimya kuacha ukipotosha watu wengi wanatusoma.

Hayo mengine unayosema yamekuja baada ya kukutoa nishai.
 
Nimeishi Muheza,Agley,Udowe na Sikukuu. Hata hivyo hapo nimeuliza watu wawili tofauti na wewe umenipa jibu la mmoja tu.
Na je unajua ni kwanini aliwekwa kizuizini? Alikuwa Bakwata au swarsun?
 
Nimeishi Muheza,Agley,Udowe na Sikukuu. Hata hivyo hapo nimeuliza watu wawili tofauti na wewe umenipa jibu la mmoja tu.
Na je unajua ni kwanini aliwekwa kizuizini? Alikuwa Bakwata au swarsun?

ha haa haa!! Swarsun ndiyo nini? Aggrey nyumba gani?
 
Hujaridhishwa na vilivyopo sasa?

No uliahidi audio ukasema itamuumbua Mohamed.
Sie wengine twaisubiri kwa hamu ili umuumbue.

Mpaka leo huna ulichoprovide bali kumpaisha Mohamed angani.
Kama nilivyosema mwanzo nilikua simjui huyu mzee wala vitabu vyake ila umeniweka mdadisi nijue vitabu vyake zaidi.
 
MMM unaposema ume discredit ''utafiti'' naona wapo wanaoweza kutoa benefit of doubt ku-sooth nafsi zao.
Mimi nasema ni NULL AND VOID.

Tumejifanya mazumbu kuku na kukubali kuzijadili kama zilivyo, hata katika uzumbu kuku wetu wa kujifanya, Mohamed ameshindwa, nasema failed to stand and defend a single line. failure! Mo failed misereably to defend his own research methodology and findings scientifically.

Halafu bado anatumia neno research. Please tumia neno jingine ili researchers wasipate nausea.
Miaka 15 analisha vijana wetu ngano hii! Jamanani jamani ! eh mola.

Hilo la Kawawa linachekesha kweli. Hivi 1982 Kawawa alikuwa VP!
Alichokifanya ni kitu kinaitwa ''sensational news'' kwamba watu washtuke kuwa aliyekuwepo alikuwa VP.

Ni kile kile cha kuonyesha namba 18 Vs 82 huku akibadili maudhui ya ''reseach'' kila uchao.
Mara 18: 82 Muslim vs Christian, mara 18:82 Muslims vs Non Muslims. Ilimradi kuamsha hisia tu.

Ni kile kile cha hotuba ya karne ya Rehani Waikela ambayo nakala yake haipo duniani lakini tunaambiwa alisimama na kutaka kumbaraza Nyerere kwa bakora. Ushabiki ni kitu kibaya sana hasa kwenye intellectual discourse.
 
Kwa kweli mimis ina tatizo la yeye kutisimuliai mambo mbalimbali ya wazee wake lakini anapojaribu kutengeneza historia mpya ili kuonesha ukuu wa wazee wake kwa sababu ya dini zao na siyo kwa yale waliyoyafanya hapa tuna matatizo.
 
Hapana, Mohamed hawa si watu wa kuhurumiwa. Ni watu wanaoshughulisha akili zao. Kama unawahurumia kushughulisha akili hilo kuntu vinginevyo wanakuhurumia wewe.

Nani ataamini maongezi ya siri ya viongozi uliyoyapata wakati huna hotuba ya Waikela aliyoitoa hadharani.
Nani aamini habari za siri za maongezi ya viongozi wakati huna hotuba aliyotoa Nyerere kuaga mwaka 1985 hadharani.
Nani aamini wakati umechukua data za research daily news na kwasingizia UDSM.
Nania aamini wakati huwezi kusimama na kutetea research yako
Nani akuamini ukitudanganya kuwa Kawawa(tayari ni marehemu) alihutubia mwaka 1982 akiwa makamu wa rais.
 
Nguruvi,

Tawi la jani la mpapai.
Akili yangu inashughulika sana.

Angalia nimeandika maneno mangapi katika paper ngapi katika vyuo vingapi nimeandika vitabu vingapi.
Ukiwa unaona kosa, kosa, kosa, kosa, kosa...

Shylock na kilo ya nyama.
Sina la kusema zaidi.

Mkitaka tunaweza tukabaki hapa katika kosa, kosa, kosa...
Au tukaendelea na mjadala.

Data ya Daily News nimesingizia UDSM!
Hakika ni jambo la kuchekesha.

Ndugu yangu ushaandika chochote tukisome?
 
Nguruvi,

Nimekusoma.
Tubaki hapa hapa au tusonge mbele?
 
Mzee Mohamed Saidi unamfahamu Sheikh Nurdin Husein Mahmud Shadhuly Iyashuruty Alghasan? Na je unamfahamu
Sheikh Husein bin Mahmud Alghasani?...tuanzie hapo kwanza kabla sijauliza mangine.

BD,
Bahati mbaya siwajui hao masheikh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…