Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Acha hadithi ya Shylock muyahudi na kilo ya nyama, sema taarifa zako sio sahihi na ujitoe kwenye mnakasha baada ya kutuomba radhi. Kwa uongo huu nani ataendelea kukusoma na kukuamini?Nguruvi,
Nimekusoma.
Tubaki hapa hapa au tusonge mbele?
Duh, siwezi kushindana na jini, mimi ni binadamu...naweza nikazaliwa sehemu moja tu, si kila sehemu Tanzania!
Ha ha haaaa...! Acha utani.
Mohamed Said, kwenye kundi la vipofu, mwenye chongo ni mfalme!
Sawa, hiyo iliandikwa kwenye gazeti la Raia Mwema na anayejitambulisha kama Mwandishi Wetu, huyu anaweza akawa mtu yeyote yule, je umesoma na hii Nani kama Mwalimu Julius Nyerere? iliyoandikwa kwenye gazeti hilo hilo?Yote yanawezekana kwa uwezo wa Allah.Lakini ikiwa unatamani kitu kipya ni HIKI.usisite kuleta jibu kumsaidi Mundungus ambaye bado hajarudi. Sidhani kama hiyo mpya imeandikwa na Mohammed Said.Ikiwa ni yeye basi natanguliza kuomba samahani.
Mohamed,
Nina swali jingine la ziada. Usichoke na maswali yangu, tafadhali. Mara kadhaa umezungumzia Christian lobby, sasa sijui hii Christian lobby ni akina nani. Niliwahi kufanya kazi katika bunge la Marekani na malobbyist wote wakifahamika pale wanapokuja kukutana na wabunge. Utasikia huyu ni lobbyist wa farmers union, lobbyist wa jews, etc. etc. But you could identify them. Sasa wewe unazungumzia Christian lobby in Tanzania in the abstract. Can you at least put a name or a face on them? Kama ni akina Peter Kisumo, John Malecela, at least tujue hawa akina Christian lobby ni akina nani. Ni hilo tu.
Ha ha haaaaa wafia dini utawajuwa tu. kwa taharifa yako mie nimeishi nyumba ya Sheikh Nurdin(kwa sasa ni marehemu)mtaa wa Udowe na sikukuu barabarani kabisaaa. Je unafahamu Sheikh Nurdin alitokea wapi hapa Tanganyika? Na je unafahamu baba yake ni nani? Musione watu tuko kimya mkaona kama hatujui hizo simulizi zenu za mitaa ya kariakoo...tukimwaga yetu hapa kwa hakika mtakimbia. ANGALIZO: mimi ni kijana ambae niko chini ya miaka 30 ki umri, so usiniulize maswali ya miaka ya 70 au 80 coz itakuwa lugha gongana.Sikukuu na Udowe nyumba ipi? hapo kuna ya Alamarhum Sheikh Hashim bin Abdallah, usoni kwake kwa kina Moshi (nyumba imebomolewa siku nyingi sana), upande wa pili kwa kina Mwita (wapo) usoni pembeni yake kwa Sharrif. Hiyo ndiyo udoe na Sikukuu. Lete habari zako.
Jasusi,
Nadhani nilipata kukugusia kuwa kulikuwa na TAA Political Subcommittee iliyoandika mapendekezo ya
katiba kwa Gavana Edward Twining.
Kamati hii iliundwa mwaka wa 1950.
Mapendekezo ya kamati hii yalizungumzwa katika mkutano wa kuasisi TANU 1954.
Yaliyokuwa katika mapendekezo yale ya Political Subcommittee hayana tofauti na yale TANU iliwasilisha
UNO 1955.
Na mengine mengi nikakueleza nikiamini utanielewa.
Kuna mengine sijayasema lakini kuhusu document hiyo nadhani unajua kuwa ilipotea na haionekani
popote.
Hiyo ''kunakili'' unasema wewe.
Mimi sijasema neno hilo.
Mimi sijasema uongo na ndiyo maana husema siku zote.
Nanyi andikeni huo ukweli tuusome.
Hivi unajua kama katika ile Political Subcommittee alikuwapo mwanasheria Earle Seaton kama mshauri
wa TAA toka 1950?
Unaijua style ya uandishi wa Seaton?
Unajua kuwa Seaton na Abdu walikuwa marafiki wakubwa?
Nadhani unatambua kwa nini nakudokeza haya.
Ha ha haaaaa wafia dini utawajuwa tu. kwa taharifa yako mie nimeishi nyumba ya Sheikh Nurdin(kwa sasa ni marehemu)mtaa wa Udowe na sikukuu barabarani kabisaaa. Je unafahamu Sheikh Nurdin alitokea wapi hapa Tanganyika? Na je unafahamu baba yake ni nani? Musione watu tuko kimya mkaona kama hatujui hizo simulizi zenu za mitaa ya kariakoo...tukimwaga yetu hapa kwa hakika mtakimbia. ANGALIZO: mimi ni kijana ambae niko chini ya miaka 30 ki umri, so usiniulize maswali ya miaka ya 70 au 80 coz itakuwa lugha gongana.
Unahifahamu nyumba ya wakina Shefa? Na jee unamfahamu Ahmed Said mjukuu wa mzee Nurdin? Na je unamfahamu yuleSikukuu na Udowe nyumba ipi? hapo kuna ya Alamarhum Sheikh Hashim bin Abdallah, usoni kwake kwa kina Moshi (nyumba imebomolewa siku nyingi sana), upande wa pili kwa kina Mwita (wapo) usoni pembeni yake kwa Sharrif. Hiyo ndiyo udoe na Sikukuu. Lete habari zako.
Mzee Saidi nguli wa historia unayekumbuka hata mambo yanayoonwa kuwa yalikuwa insignificant au irrelevant mfano Nyerere alikuwa navaa nini, habari za kina Juma mlevi, Nyerere alilala wapi akiwa Tabora, swali
"Je unawakumbuka kwa majina ni wazee gani waliopewa jukumu la negotiations za uhuru na waingereza na walichaguliwa na nani na kwa nini?''
Jasusi,
Mimi nimezaliwa karibia na Ikulu, karibia na uwanja wa golf, karibia na bahari.
Mwanza, Musoma, Shinyanga, Tanga, Bukoba, na kwingineko ni kuangaika tu na maisha.
Ha ha haaaaa wafia dini utawajuwa tu. kwa taharifa yako mie nimeishi nyumba ya Sheikh Nurdin(kwa sasa ni marehemu)mtaa wa Udowe na sikukuu barabarani kabisaaa. Je unafahamu Sheikh Nurdin alitokea wapi hapa Tanganyika? Na je unafahamu baba yake ni nani? Musione watu tuko kimya mkaona kama hatujui hizo simulizi zenu za mitaa ya kariakoo...tukimwaga yetu hapa kwa hakika mtakimbia. ANGALIZO: mimi ni kijana ambae niko chini ya miaka 30 ki umri, so usiniulize maswali ya miaka ya 70 au 80 coz itakuwa lugha gongana.
Siyo kweli, nyumba ya Sheikh Nurdin ipo mtaa wa udowe na sikukuu....mtaa wa kariakoo kuna nyumba ya wakina Malki na mzee Yasir jirani na plat pham....usiku vijana wanakesha sana wakiuza chipsi na juice za miwa. Nyumba ya wakina Malki kwa sasa imevunjwa na ina kesi mahakanani. Unamjua Kidusa na Amili?BD,
Kwa Sheikh Nurdin nyumba yake ni Sikukuu na Kariakoo.
Huko Sikukuu na Udoe ni kwa Mzee Mwita.
Inawezekana ni siku nyingi unachanganya mitaa.
Sawa, hiyo iliandikwa kwenye gazeti la Raia Mwema na anayejitambulisha kama Mwandishi Wetu, huyu anaweza akawa mtu yeyote yule, je umesoma na hii Nani kama Mwalimu Julius Nyerere? iliyoandikwa kwenye gazeti hilo hilo?
Ngoja niwawekee hii makala iliyoandikwa na Joseph Mihangwa katika gazeti la Raia Mwema toleo No. 156.eeeh, bwana eeh! nani kama Nyerere? I am a believer!
Mag,
Nani kipofu na yupi chongo hapa?
Matola,
Nilitaka kukuonyesha ustaarabu lakini inonekana ustaarabu
unapouweka sipo unakuwa umeudhulumu.
Ukweli ni kuwa raia wa Afrika Kusini hawakuwa na ruksa ya
kuingia Tanzania.
Hapana. Hii si kweli kabisa. Kama wewe ni mtafiri mahiri ungejua kwamba Nyerere hakutaka Biafra ijitenge kwa madai ya kunyanyaswa na waislamu. Nyerere alichukua muda kuleta upatanishi kati ya Gowon na Ojuku na Gowon akawa mkaidi. Wakati huo Waibo wakiendelea kuuawa kama wanyama na Wahausa. There was a pogrom against the Ibos in Nigeria. Ila kwenu ninyi kama Muislamu anaua Wakristo siyo nongwa, inaonekana. Kuna thread humu aliianzisha William Malecela kuhusu Biafra. Itafute. Tulimpa somo kule. Kwa hiyo usidanganye watu kwamba Nyerere alitaka Biafra ijitenge kwa sababu hizo alizotaja mfumo.Hili ni kweli kabisa.
Ritz, kuna misitu ambayo ukiingia unatakiwa uwe na zana hasa wala si visu vya kukatika mikate. Haya Ritz hebu tupe upande wa pili wa historia maana upande wa kwanza ndio huu.Unaijua historia ya Kariakoo wewe? Unajua kuwa wakati wa Mjerumani Kariakoo haikuwepo? Unajua Kariakoo ilikuwa ni shamba tu la Mjerumani alilolinunua kutoka kwa Sultani? Kwa ufupi ni kuwa baada ya vita vya kwanza vya dunia Kariakoo ilikuja kuwa kituo cha kijeshi na baadaye makazi ya kwanza ya African Carrier Cops (kariakoo). Unajua baada ya Uingereza kuiasisi Tanganyika kwa nini iliitwa nchi ya Rangi Tatu? Unajua ni mwaka gani iliamuliwa na serikali ya wakati huo kuligawanya hilo shamba kuwa viwanja na kuwapa "natives"? Unajua "natives" wa kwanza Kariakoo walikuwa ni wa jamii ipi? Usichokijua ni kama usiku wa giza, pole sana.
The Big Show,You have lost your mind..
Mission yenu imefeli na ukweli umesimama na kuaminiwa,endeleeni kupinga na kubeza.